Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
amna kitu wanakumbuka au kusikia . we tried.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeleta huu uzi kuonyesha unafaiki wako.Ndio maana siku zile ulikuwa unabisha nilikuacha nikajua kuna siku utajikanyaga,leo nimekukumbisha.Yani umehangaika kuenda kutafuta mada ambayo niliyeiandika najua nilichokiandika ila wewe ndiye ambaye umeshindwa kukielewa halafu unasema eti nimejikanyaga, msimamo wangu ni ule ule wala sijabadili maneno na wala hakuna sehemu niliyojikanyaga, ila wewe ni either umeamua kujitoa ufahamu au una kichwa kigumu
Huyo niliyemquote anaonesha wazi yeye ni wale wa mfumo dume na kwenye mfumo dume siku zote ni jukumu la mwanaume kutafuta pesa na kuhudumia familia, lakini cha ajabu analalamikia hilo jukumu ndio maana nikamuuliza alitaka jukumu la mwanaume liwe lipi, kwenye 50/50 tu ndio inatakiwa wanaume na wanawake wasaidiane kwenye majukumu na si vinginevyo
Sasa wewe umetoka from nowhere umevamia mada kwa ujasiri wote nikajua utakuwa na la maana la kuandika, kumbe unarudia yale yale ambayo nilishakufafanulia hoja ni kwamba kama unataka mfumo dume basi tafuta pesa hudumia familia, kama unataka 50/50 basi saidiana majukumu yote na mkeo ikiwemo kazi za ndani na usidai mamlaka ya kumtawala mkeo
Wewe hukusoma uzi wangu wote ulisoma kichwa cha habari tu hebu kasome uzi ndio urudi hapa, ungesoma uzi wangu wote usingekuja na hizi pumba maana waliouelewa uzi wangu wakisoma unachoandika hapa watakushangaa, hakuna unafiki hapo msimamo wangu wa siku zote ni huo huo kwamba kama mmeikubali 50/50, basi saidianeni majukumu yote msichague na kama mnataka mfumo dume basi timizeni majukumu yenu, sijawahi kubadili huo msimamo na sitakaa nibadiliNimeleta huu uzi kuonyesha unafaiki wako.Ndio maana siku zile ulikuwa unabisha nilikuacha nikajua kuna siku utajikanyaga,leo nimekukumbisha.
Yaani mpaka ulicho ongea jana umekisahau, leo unarudi kule kwenye mfumo dume.
Yaani ww mwenye unashindwa kutunza kumbukumbu ya ulicho kiandika ndio unieleweshe mimi.Hapo sijascreenshot ya comment zako ulizokuwa unanijibu.Wewe hukusoma uzi wangu wote ulisoma kichwa cha habari tu hebu kasome uzi ndio urudi hapa, ungesoma uzi wangu wote usingekuja na hizi pumba maana waliouelewa uzi wangu wakisoma unachoandika hapa watakushangaa, hakuna unafiki hapo msimamo wangu wa siku zote ni huo huo kwamba kama mmeikubali 50/50, basi saidianeni majukumu yote msichague na kama mnataka mfumo dume basi timizeni majukumu, yenu sijawahi kubadili huo msimamo na sitakaa nibadili
Wewe sema tu kwamba hukubaliani na mada yangu ila siyo unisingizie mimi kwamba nimebadili maneno, usilazimishe kwamba mimi sikumbuki nilichokiandika kumbe ni wewe tu ndio hutaki kukubaliana na ukweli, na mimi nasubiri ulete screenshots za comments zangu ili uzidi kuumbuka maana huko ndio nakumbuka nilikufafanulia vizuri kabisa hoja yangu wewe zilete hapaYaani ww mwenye unashindwa kutunza kumbukumbu ya ulicho kiandika ndio unieleweshe mimi.Hapo sijascreenshot ya comment zako ulizokuwa unanijibu.
Huji helewi ndio maana nilikuacha,ila leo umejikanyaga.Wewe sema tu kwamba hukubaliani na mada yangu ila siyo unisingizie mimi kwamba nimebadili maneno, usilazimishe kwamba mimi sikumbuki nilichokiandika kumbe ni wewe tu ndio hutaki kukubaliana na ukweli, na mimi nasubiri ulete screenshots za comments zangu ili uzidi kuumbuka maana huko ndio nakumbuka nilikufafanulia vizuri kabisa hoja yangu wewe zilete hapa
Hata kuandika kwenyewe mtihani "huji helewi" ndio nini lete hizo screenshots vipi mbona ghafla umepunguza spidi ya kuleta ushahidi, zilete hapa ili tuone kati ya mimi na wewe nani kajikanyaga wewe itakuwa umenifahamu juzi, wanaonifahamu tangu najiunga jf wanaijua misimamo yangu sijawahi kupindisha maneno wala kubadilikaHuji helewi ndio maana nilikuacha,ila leo umejikanyaga.
Bora hiyo ela ya kuchapisha ununue sigara uvute.Huu uzi ngoja nikauchapishe....[emoji3][emoji120][emoji120][emoji120]
Acha kucomplicate ndoa wewe... wewe ni aina ya mwanaume dhaifuHii ni topic nzuri sana. Napenda sana watu ambao wanataka kuwaona watu wengine wafanikiwe kwenye mahusiano.
Naomba niongeze vitu viwili tu:
1) Kuna wataalamu wa ndoa na mapenzi ambao wanafanya pre-marital counseling kwa bei nafuu -- in some cases, chini ya laki moja kwa session moja. Ni muhimu kuwe na mtu neutral kabisa kwenye kuongelea na kujadili vitu vigumu ambavyo watu watakutana navyo kwenye ndoa. Wanafamilia na marafiki watakupa ushauri, lakini, hao ni watu ambao hawako 100% neutral kwenye mahusiano yenu. It's important kutafuta mtaalam - msomi kabisa na sio mtu feki atakayewadanganya na kuwaibia hela zenu - ambaye atawasikiliza wote wawili na kuwaeleza ukweli wote wa maisha ya ndoa.
2) Kama kuna utofauti mkubwa wa umri, ni muhimu sana kuelewa tofauti zakiumri zilizopo kwenye mahusiano yenu. Mahusiano yenye age gap (10years+) yanazidi kuwa kitu cha kawaida, kwahiyo umri na mambo yanayohusu umri yanazidi kuwa muhimu kuzingatia. Kwa mfano, kama wewe una miaka 40 na mke wako ana miaka 25, ni muhimu wewe kama mwanaume uelewe kwamba generation yake ni watumiaji wa simu siku nzima. Matumizi ya simu masaa yote ni kitu cha kawaida kwa mke wako. Na kama wewe ndiyo mke, ni muhimu uelewe kwamba matumizi ya simu masaa yote siyo kitu cha kawaida kwa mume wako unless kazi yake inahitaji awe macho kwenye matime zone tofauti. Mfano mwingine, kama wewe umemzidi mke wako sana kiumri, ni muhimu uelewe kwamba kwenye mazoezi na vyakula, yeye anaweza kuwa more relaxed kuliko wewe kwa sababu ya umri wake mdogo. Ukishafika umri mkubwa, mwili wako umeshapitia mambo mengi. Kwahiyo ni lazima uzingatie afya yako differently ili kuepuka matatizo ya uzeeni (e.g., ili kuepuka matatizo ya magoti, mabega, na mgongo, ni muhimu usiinue vyuma vyenye uzito wakutisha.) Na wewe kama mke mwenye umri mdogo, zingatia mabega na mahipsi ya mume wako. Kama mtaenda kwenye masherehe sherehe basi uelewe hawezi kukatika kwenye dancefloor sherehe nzima, so ukishamwona anasweti sweti kaa chini muenjoy mziki.
Hii ni topic nzuri sana, asante OP!
Mkuu mbona unapoteza muda kwa huyu Jadda binti mwenye sonona? Huyu alipigwa tukio na sharobaro aliyempenda akili yake imekuwa kama imewehuka hivi.Ngoja nikukumbusha naona memory yako ujazo wa kisoda.
View attachment 2939300
Tatizo lako hujihelewi unakaza fuvu kama sanamu la Posta. Leo ndio unajua mwanaume hatakiwi kudiscuss maswala ya bili na mwanamke. Ila kwenye uzi wako umeandika tofauti.
View attachment 2939317
Leo eti unataka kujua jukumu la mwanaume ni lipi wakati juzi umekazania 50-50.Husikiongee kile husicho weza kukiishi hawa ww mwenyewe, kwani huna tofauti na mnafiki.
Hii imeenda ila sio kwa wanawake mambwa wa kitanzania akili mavi tupu na funza juuKabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha
1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations
2.Mitindo ya malezi, maana kuna watu wanapenda malezi ya kizungu na wengine wanapenda malezi ya ukizingua ni viboko
3. Mtazamo kuhusu mikopo. maana kuna watu wanapenda kukopa na kuna watu hawapendi kukopa lazima mjuane kila mmoja yupo upande gani
4. Madeni ya nyuma mliyonayo. ni vizuri ukajua mwenza wako kama anadaiwa kiasi gani kabla hamjafunga ndoa
5. Jadilini kuhusu imani za kidini, maana mtu anaweza kuwa KKKT ila anapenda mikesha ya manabii. ili kwenye ndoa usishangae atakapokuwa anaenda mikesha hiyo. msigombane
6. Jinsi ya kushughulika na familia zenu yaani wakwe na mawifi na hata kuishi na ndugu .
7. Imani gani itawekwa kwa watoto wenu
8. Trauma za utotoni ambazo umepitia ili mwenza asikushangae kipindi una Anxiety ama uoga wa jambo fulani
9. Matarajio ya Tendo la ndoa ama sex. kama umezoea mechi kali. Sex drive yako ipo juu ni vizuri kumueleza mwenza wako mapema. Pia kama mzee wa mapenzi ni uchafu unapenda chumvini na oral sex zote. Mwenza wako akujue. maana unaweza kuwa wewe mpenda kunyonywa huku mwenza wako hapendi anaona kinyaa
10. Matarajio kwa mwenzi, vizuri ukamueleza mchumba wako kwamba una expect nini kutoka kwake kwenye ndoa
11. Matarajio ya kifedha. ni vizuri kujadili views zenu kwenye maswala ya utafutaji pesa na hata utumiaji pesa. kuna watu wanapenda simple life na kuna watu wanapenda life lenye heka heka za utumiaji pesa kuanzia harusi tu anataka ya kutrend instagram .
12. Historia ya afya ya familia zenu. msifichane hili lina umuhimu mkubwa.
13. Historia ya afya ya akili. muhimu pia kujadili hili ili mwenza wako akuelewe ajue jinsi ya kudili na wewe ukivurugwa kuepusha mauaji ama divorce
14. Orodha ya ndoto zenu. ni lazima muambiane ndoto zenu mapema. ili mwenza asishangae kipindi unafanya jambo fulani. mfano unaacha kazi Bank na kwenda kujiajiri Sokoni mwenza asipige kelele za ajabu
14. Makazi ya familia yawe wapi ? hii muhimu sana kujua base yenu itakuwa wapi.. maana isije kuwa mke anapenda kuishi dar es salaam na mume anapenda kuishi morogoro ama mwanza. ikaja leta makelele
15. Kazi na elimu zenu ni muhimu muambiane ukweli. isije kuwa mwenza anajua anaolewa na professa mtarajiwa kumbe mume huna malengo hayo ya kielimu na hata ka certificate ka amazon college huna
16. Jadilini kuhusu maoni ya kisiasa na chochote kingine kinachokuja akilini maana Upendo HAUTOSHI.View attachment 2936439