Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

Iyo LG yako iko vp mkuu mana ata mimi nina LG

Yangu N tolea jipya kbsa ya mwaka 2015 made in korea_angalizo zpo made in egypt na tolea la 2015 hivo n vzur kuichukua hii model #32LF5100-TA inch 32
 
Chuki zakidini hazina nafasi udini pela huko ITV basi
 
Azam Tv wapo mbali sana kukinganisha na Tv zingine humu nchini
 
Azam Tv wapo mbali sana kukinganisha na Tv zingine humu nchini
ni kwel ila nao wameanza chuki za kike, leo hawakuonesha mchezo wa yanga wala kutangaza habari za yanga, hata kuzizungumzia tu nahisi wameanza kuleta yale mambo ya kususa, hapo ndo wanalipo niboa balaaa
 
ni kwel ila nao wameanza chuki za kike, leo hawakuonesha mchezo wa yanga wala kutangaza habari za yanga, hata kuzizungumzia tu nahisi wameanza kuleta yale mambo ya kususa, hapo ndo wanalipo niboa balaaa
Hukuangalia kuanzia saa 12 hadi saa 1,walitangaza ushindi na wachambuzi walikuwapo
 
Mh mkuu wiki ijayo nilipanga nikanunue basi hela hii nmpa mchepuko aendee saloon
 
wazo kama langu
 
Kila king'amuzi kinatolewa malalamiko aisee!

Dstv bei ya vifurushi iko juu

Azam wanachannel za hovyo na wanapisha hadi local chanel

Star times kinascratch sana

Continental ni kama star times.

Vipi kuhusu TING?
naona digitek wamepona
 
Hivi ni za kihindi au kiarabu mimi huwa nazoziona ni za kiarabu nyingi

SONY Xperia Z5 Premium
 
Hizo ob van na studio za kisasa ni zao wala hazinisaidii chochote, mi nataka channel za maana we unaongelea mambo ya studio za kisasa
Huyo akili hana......sisi hizo OB Van ndizo tunanunua tunafunga kuangalia vipindi....?!


Hawa ndio sampuli ya watu anakwenda hotelini anapewa chakula kibaya na kilichoharibika ila anaishia kusifia vyombo walivyoandalia chakula badala ya kujali afya yake.....

SONY Xperia Z5 Premium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…