Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

Hivi bado kuna watu wanahangaika na Azam tv. Mimi nilipapalika pale mwanzo nikanunua viwili kwa fujo cha sebuleni na chumbani sasa hivi walivyoondoa Itv, Startv na chanel ten vyote nimepiga chini nimerudi startime sina mpango nao kabisa. Kama kuna anyetaka nimpe bure
 
Sio lazima kununua Azam tv,sasa wewe kwa mtazamo wako Startimes na Azam tv bora nn,kwa uwezo wako wakufikilia,roho mbaya haitakusaidia
 
Yaani tv station za kupata bure kwenyevdish la ft 6 na 8 ndo mnauziwa.wacha niendelee na fta
 
Azam channel alizoanza nazo mwaka 2014 tulizokuwa tunalipia elf 12500 kazigawa tu nakuziongezea bei channel ya movie ya kulingia ni mbc2 ambayo kwenye easy tv naipata kwa 9000 mwanzo ilipokuwa azam elf12500 hadi 15000 kwa channel zote nilikuwa nalipia waangalie rekod zangu za miaka hiyo lakini sasa naona yamenishinda nyumbani kwanza sikaii narudi usiku tu nachezea laptop yangu kwa kununua 1gb ya halotel natumia siku 2 kwahiyo kwa mwezi gb15=elf15000 nafurahia maisha kuliko kulipia king'amuzi bahati mbaya tu passaka nimelipia baada ya kuja wageni nikawa sina jinsi, waongeze channel za maana kama NAT WILD nk yaani zile walizoanza nazo zibaki kwa bei ileile lakin zile mpya ndo waongeze bei
ASANTENI.
 
Mimi nadhani bora kutonunuwa decoder yoyote ile, Watanzania kila sekta tunaibiwa kwenye mitandao ya simu ndio sina hata cha kusema ni majizi matupu.
Mkuu bora kununua satellite dish na kupata channel zote za bure (FTA) bila kiulipia airtime package ya kila mwezi
 
Ni matumaini yangu kuwa wengi ni buheri wa afya na manaendelea vema na majukumu ya kila siku!

Ukweli kuwa wengi wetu tuna mategemeo makubwa kutoka Azam tv tofauti na ukweli ulivyo...

Lengo la Uzi huu si kuharibu biashara ya Azam Bali kueleza uma ukweli halisi wa mambo!

So nitaelezea mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kununua Azam TV.

1. Bei ya decoder hubadilika wakat wowote bila taarifa! mwezi wa 1,2016 nimenunua 140,000 hadi sasa tar 7 Marc imefika 170,000.

2. Channel ya kawaida tuu kama BBC, Fox, CNN, AL-Jazeera, France 24, mpaka ulipe 20,000 kwa mwezi.

3. Sinema zetu utapata bongo movie za 2005 kushuka chini Mara nyingine movie hurudiwa kwa week Mara 3, No latest movie ujue hivyo!

4. Organization ya channel iko hovyo! Unaweza kulipwa kifurushi cha 12,000 lakini kupata channel moja hadi nyingine ni shughuli! Channel za kihindi tu ndo ziko pamoja!

5. Tegemea kupata channel kibao za kiarabu na nyingine zisizoeleweka ni lugha gani!

6. Wapenzi wa channel "e" mujue kuwa haipo Azam TV!

7. Ukienda kununua watakuambia vipeperushi vya list za channel na bei ya vifurushi vimeisha maana wanajua ukiangalia channel zao na bei utaghairi kununua" maana haviendani!

............ ......
UPDATES
8.Azam wamefanya mabadiliko ambayo wameongeza gharma ya tsh 3,000 kwa kila kifurushi hivyo kufanya kifurushi cha bei ya CHINI KABISA kuwa 15,000 ambacho ni Sports.

>kimsingi gharama hizi ni kwa ajili ya channel moja tuu ya Azam sports ambayo huonyesha La Liga kwa kuwa channel za Man u, Liverpool na Madrid hazionyeshi mech live zaidi ya marudio na kutangaza Club zao
Thanks..

penda cha nchini kwako yaan 15000 nayo unaona big deal. kwa mwezi kweli wanaume wa Dar ni jipu wakati ukipita bar unamaliza 50000 kwa siku Dar siendi kama wanaume ndo mko hivi
 
Kwa kweli azam ni majambazi
penda cha nchini kwako yaan 15000 nayo unaona big deal. kwa mwezi kweli wanaume wa Dar ni jipu wakati ukipita bar unamaliza 50000 kwa siku Dar siendi kama wanaume ndo mko hivi
 
Mkuu bora kununua satellite dish na kupata channel zote za bure (FTA) bila kiulipia airtime package ya kila mwezi
Hivi vinapatikana bado? Na bei take ikoje??
 
Alafu kukiwa na wingu kidogo tu la mvua Azam inakata.
 
King'amuzi cha kuaminika ni DSTV, kimesheheni channels za uhakika.
Waliponikosha zaidi ni pale walipoiweka emmanuel tv
 
Nimekuwa nikifuatilia sana hii habari ya 6ft dish kupata free to air channel, kwa bahati nimeanza kujuzwa toka 2014 na kufuatilia na ikawa kwenye dhamira kuinunua .
Masikitiko niliyonayo ni kuacha ving'amuzi vya azam, dstv na startimes kisa malipo madogo ya mwezi na kuingia huku.
Nime make pesa nimenunua leo, vijana toka saa sita mchana mpaka saa 12wanaangaika kuiset mwishowe zipo channel tatu tu naambiwa kuna kitu kitapatikana kesho kwa eneo lako inabidi kifungwe.
Ajabu kwa watz wanaochambua ni wachache sana sijui hawana smartphone kwani wengi wakiuliza hawajibiwi kwa wakAti.
Kuna forums humu ya haya madish wakenya wanarespond faster sana lkn ni kwa maeneo yao.
Sasa najiona inabidi nitafute tu azam kwani hata wale mafundi wamenishangaa sana wananiambia wana muda hawajafunga haya madish ya futi 6 siku hizi ni hivi hivi vya continental, azam, startimes na zuku.
 
Aisee pole sana. Wengi hatupo technical. ..tuna siasa nyingi sana. Mwishow wa siku unafanya maamuzi ambayo unajutia kwa kuingia gharama zaidi
 
Nadhan kila mtu ni jins alivyovutiwa AZAM sijutii kuwa nayo maana kama ktk movie kuna MBC 2,3, MAX,african cinema,Channel O,Mtv,aljazeera,BBC,france 24,NHK na bloomberg na DW,,zinatosha sana
National geographic,discovery science ,,,,hiz local channel sio mpenz kiviile
 
Mi nmenunua LG Yang ina decoder ndan kwa ndan maana m habar ndo ktu cha msing kwang hvo cna stress za malipo ya kila mwezi[emoji4]
 
Back
Top Bottom