Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

kumbuka chaneli ambazo huzipendi wengine tunazipenda like indian movies i like bollywood more
Wewe kama sio mesenja kwenye kampuni ya muhindi basi houseboy wa kanjibai......maana sampuli hiyo ndio wanatabia za kujipendekeza kwa wahindi.....yaani mara mbili useme wachina wanaeleweka na si wahindi........sasa unaelewa nini kwenye hicho unachotazama......ndio maana nchi haiendelei

SONY Xperia Z5 Premium
 
Decoder imezima kurudisha pale AZAM TV TAZARA wanasema hawawezi kutengeneza, nikauliza sababu ya kuzimika ni nini? wakasema ikiwa inawaka lakini hupati channel tunatengeneza lakini ikizimika wao wanchojua ni ununue Decoder nyingine kwa shs 80,000/=. Je hii ni sawa mbona Luku ikizima TANESCO wanaweka nyingine?. Naomba mwenye kujua anijuze mana tulikuwa wengi wenye tatizo hilo pale na hakuna msaada tuliopata. Nadhani ni mbinu ya Marketing Manager kumuonyesha bosi wake kwamba ving'amuzi vinauzwa sana
 
Mimi ninadhani malalamiko yako ni mlolongo wa tabia za siku hizi za kupenda kulalamika.
Hivi sasa kuna vituo kadhaa ambavyo hutoa huduma hii na wewe kama mteja una uamuzi wa kuchagua ukitakacho. Hiyo Azam unayoilalamikia, ina vifurushi kadhaa ambavyo mteja ana uamuzi wa kuchagua na kama ukitaka kupanua wigo wa chaneli basi ni shilingi elfu moja kwa siku na kama unaona hiyo ghali basi angalia TBC
 
Hizi Decoder ni maumivu wameamua kunyonya wabongo kwa staili yao kam
 
yaana jamaa wamevimba kichwa kisa ligi ya VPL
 
Naomba kujua hii channel e inapatikana kwe kingamzi gani wakuu
 
Kweli mkuu wanakata mpaka upige simu customers care ndo wakufungulie! so ndugu zetu wasio na taarifa wanalazimika kilipia wakati local channel ni bure
ko startime local chanel hawakat? mkuu mbona kuna mshikaji wang wamemukatia mwez huu hajalipia au huu uzi ni wa mwaka jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…