Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

Azam hamna kitu kabisa wakuu, wamenikera sana kukata channel za ndani pale kifurushi kinapoisha! Wanabakiza tbc 1 tu! Nimerudi Startimes
Karibu sana
 
Hizo decoder zote mnaumizwa tu, bora usiwe na kitu. Ukiweza jichinje na Dstv premium 219,000/= kila mwezi.
 
Azam TV kuanzia Channel ya Movie walichemsha kabisa ubora 0
Ubunifu wa vipindi ni -0
Watangazaji ni -3
Vipindi vyao ndio 0 kabisa
Azam wengi tulitegemea itakuwa zaidi ya hap wengine ila ndo kwanza anajikongoja

Dstv mwaka wa 8 sasa no regrets
Naongezea Startimes ili nipte Bundesliga na Seria A
Azam RIP

Tatizo kubwa la Azam wameweka Udini sana kuliko Ubora wa mtu
 
Sina nia ya kutangaza biashara hapa ila niseme ukweli mambo iko Zuku pekee sina shaka.
 
Mkuu unafikiri kuna asiejua ubora wa DSTV? Ni ile bei yake tu inatukimbiza wengine ila DSTV haina mpinzani. Wakati Azam wanaingia niliangalia list ya vipindi vyao sikuona sababu kwanini niache STARTIMES, na niliwaambia watu wengi mbona hio Azam inazidiwa na Startimes?

Startimes naangalia kwasababu ya NBA,E,e[south africa],BBC,ALJAZEERA,CNBC,NAT GEO,BUNDESLIGA
 
Azam nami hivi sasa wameanza kunikera hasa baada ya kuitoa channel E
 
Kwani hizo hamna DSTV?
 
Dahh! Chuki mbaya lakin?anyway mpenda ganda la ndizi...mimi na enjoy na azam yangu,hakuna cha takataka ya dstv wala siju king'muzi gani!
 
Yaani ndio decorder zote zilivyo wanalipisha stations ambazo zinapatikana bure. Kama hizo Al-Jazeera etc.
Mi starehe yangu mpira tu. So nakula mechi kwa streams sina shida ya decorder ya mtu yyte hata dstv sihitaji
 
Kusini mwa jangwa la sahara hakunaga kama DSTV mtaluka luka ila mtakuja tu DSTV
 
Yaani ndio decorder zote zilivyo wanalipisha stations ambazo zinapatikana bure. Kama hizo Al-Jazeera etc.
Mi starehe yangu mpira tu. So nakula mechi kwa streams sina shida ya decorder ya mtu yyte hata dstv sihitaji
Mkuu upo sahihi, m sa iv na streamika tu mech zote, ila cjajua kuzipata za hapa bongo, unaweza kunisaidia kuzipata kwa sim yangu?
 
Kweli mkuu wanakata mpaka upige simu customers care ndo wakufungulie! so ndugu zetu wasio na taarifa wanalazimika kilipia wakati local channel ni bure
Hachaeni unafiki nyie hata hicho king'amuzi kweli hamna,mimi sijawahi kuona wakikata kunakipind nimesafiri miezi mitatu nimerudi nimekuta channel za ndani zipo
 
Mkuu mbona kwangu hiyo French 24 CNN na zingine tu kwenye other channels kwangu hazishiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…