Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

Unajua mda mwengine kama bado unaishi na wazazi akili pia ina lose mjue.
Nimetoa ushauri unatoa kashfa.
Au nwenzangu hujui kuwa kuna madishi ambayo hayatumii ving'amuzi vya kulipia? Pia jifunze kuheshimu watu wote unaowafahamu na usio wafahamu.
JF tunatumia majina na utambulisho wa bandia, kuna siku utakuja tukana baba yako, mjomba wako etc.
 
Du! Nilikuwa na mpango wa kununua Azam sasa itabidi niendelee na kastartimes kangu. Asante kwa taarifa mkuu.
 
KUNA WATAALAMU WANAKIFANYIA. MAMBO HIKO KING'AMUZI BAADHI YA CHANNEL MUHIMU UTAZIONA BURE ATA USIPOLIPA
 
Hawa jamaa ni jipu ambalo halina mtumbuaji Mimi natumia AZAM TV tangu mwaka Jana lakini sina hamu nayo natamani sana hata nipate mteja nimuuzie imenichosha sana! Yaani wezi mpaka wanaboa huduma mbovu matangazo yao ni tofauti na huduma vifurushi vingi mno Mara lipia 6000 upate hiki, ongezea tena 15000 upate hiki na ukitaka hiki lipia shilingi kazaa! Wizi mtupu kwa anaetaka kununua asidhubutu kwa sababu atapata hasara
 
Hivi TCRA wapo?..Wanafahamu malalamiko haya ya wadau.Tafadhali mtoa uzi,peleka haraka malalamiko yako TCRA hapo Ubungo ama kupitia email yao.Kama maafisa wa TCRA wapo humu JF fuatilieni msije kugeuka jipu.
 
Hachaeni unafiki nyie hata hicho king'amuzi kweli hamna,mimi sijawahi kuona wakikata kunakipind nimesafiri miezi mitatu nimerudi nimekuta channel za ndani zipo
acha kulipia mwezi huu uhakikishe mkuu smtms practise makes......
 
Hawa jamaa ni jipu ambalo halina mtumbuaji Mimi natumia AZAM TV tangu mwaka Jana lakini sina hamu nayo natamani sana hata nipate mteja nimuuzie imenichosha sana! Yaani wezi mpaka wanaboa huduma mbovu matangazo yao ni tofauti na huduma vifurushi vingi mno Mara lipia 6000 upate hiki, ongezea tena 15000 upate hiki na ukitaka hiki lipia shilingi kazaa! Wizi mtupu kwa anaetaka kununua asidhubutu kwa sababu atapata hasara
Hahaha u sound like my father akiwa analalamika haelew gharama halisi ya vifurushi vya azam
 
Mmmh! Chanel e? Ndo ipi hiyo labda? EAST AFRICA ama? Loh? Then hiyo sinema zetu ndo inaboa balaa wanaweka mifilamu ya ajabu ! Wiki nzima hiyohiyo hata ukisema leo nibadilishe radha khaa hovyo!! Kama vipi wafanye kila chanel kulipia 500 kwa mwezi unachagua unayotaka kuliko kutuwekea michanel kibaaao isiyo na tija! Hivi ile "bukkede"sijui nini ni lugha gani ile ?teh Wabadilike bwana!!!
Etv ni ya South Africa mle zimejaa channel za Uganda kama bukede wao nikuongea kiganda mwanzo mwisho
 
Fanya utafiti mkuu jarib kuangalia Zuku, cmntiental au Digitek ila jiridhishe kwanza kabla hujanunua! lengo la Uzi huu ni usijenunua then ukajuta!
Ukitaka kufa na pressure nunua continental decoder wale wanapoteaga hewani hata mwezi mzima afu unaambiwa satellite imepotea hewani hahah
 
Back
Top Bottom