inategemea na engine pia cc 3000 hazina soko watu wanazitupaImeuzwa Brevis M4 nikishuhudia...sasa sikujua kama ilikuwa na shida iliyojifivha au ni ile ile kasumba ya kusema zinakunywa sana mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba C si hoja....zipo C zimetunzwa na kuna D zimetepeta kama bamia iliyochemshwa....duh kumbe unazungumzia namba C?
hata 3.5 unapata
Imeuzwa Brevis M4 nikishuhudia...sasa sikujua kama ilikuwa na shida iliyojifivha au ni ile ile kasumba ya kusema zinakunywa sana mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi.Namba C si hoja....zipo C zimetunzwa na kuna D zimetepeta kama bamia iliyochemshwa....
Watanzania wengi tunashikishwa kwa sababu huwa tunanunua plate number na low mileage..
Hatuangalii uzima wa mashine na geabox..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe model no. NikuungisheKuna jamaa kanipa Audi yake nimsaidie kuuza.
Bonge La mtihani,sidhani kama itauzika
ukipata namba D mkuu ya 4M niunganishe kuna wababe wa vita wanazitafuta Ila isiwe cc30004M unapata mkuu asiyeamini ana lake sema ndo ubora unaweza ukawa hafifu.
Bora nikae kwenye hiyo engine ya cc3000 kuliko kuwa na kikagari ambacho kikiua oxygen sensor tu, unapata ukichaa...wakina Aud hao..inategemea na engine pia cc 3000 hazina soko watu wanazitupa
Mkuu hiyo harrier ulikuwa unatengeneza kwa 3M ilikuwa na matatizo gani?Hahaha...gari za mzungu Tamu sana lakini ujiandae kiuchumi na kisaikolojia...wakati mwingine unaweza kuwa na hela likakorofisha kadude kadogo tu, mafundi wakachemka..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kingine kinachowakimbiza watu kwenye Brevis ukiacha suala la mafuta kama wengi wanavyolalamika, ni ile engine ya D4....unajua tena wabongo si watunzaji...D4 inataka service ya uhakika ya engine oil, plugs genuine, na mafuta si kuweka kituo ni kituo..lazima uwe na vituo vyenye uhakika mfano Puma na Total.....ukipata namba D mkuu ya 4M niunganishe kuna wababe wa vita wanazitafuta Ila isiwe cc3000
wa Harrier siyo mimi mkuu...mcheki BavariaMkuu hiyo harrier ulikuwa unatengeneza kwa 3M ilikuwa na matatizo gani?
eeh eeh, niko nyuma ya dunia sana kumbeduh kumbe unazungumzia namba C?
hata 3.5 unapata
Mkuu Harrier ilikuwa na tatizo gani ukatengeneza kwa 3m ?Nina Harrier niliipeleka akanipa invoice ya 4.6M. Nikachukua list yake nikaenda pale Toyota Kkoo nikanunua vifaa mwenyewe. Mpaka nafunga vifaa vyote gharama ikaja kama 3M. Alizidisha cha juu kama 1.6 kwenye vifaa pekee.
Ha ha nimemcheki mkuu, nnayo yangu nataka kujiandaa
Ukiona hivyo ujue sio levo yako. We baki na toyo yako. Cha msingi utoke point A to BKudadeki hii ni hasara.
yaani 3m inakatika kama masihara wakati huo ni mtaji wa biashara kabisa.
Bora tubaki na toyota zetu tulizozizoea tu misifa mingine tuweke pembeni tu
Ukiona hivyo ujue sio levo yako. We baki na toyo yako. Cha msingi utoke point A to B
A4Nipe model no. Nikuungishe
mbona D4 za kill time watu wanapambana nazo?Kitu kingine kinachowakimbiza watu kwenye Brevis ukiacha suala la mafuta kama wengi wanavyolalamika, ni ile engine ya D4....unajua tena wabongo si watunzaji...D4 inataka service ya uhakika ya engine oil, plugs genuine, na mafuta si kuweka kituo ni kituo..lazima uwe na vituo vyenye uhakika mfano Puma na Total.....
Hapa ndiyo wabongo tunapifeli..[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
nitabaki na PassoBora nikae kwenye hiyo engine ya cc3000 kuliko kuwa na kikagari ambacho kikiua oxygen sensor tu, unapata ukichaa...wakina Aud hao..
Sent using Jamii Forums mobile app
unachukua unahamia garageeeh eeh, niko nyuma ya dunia sana kumbe
Na mimi nilishtuka kidogo nilipoona haiakisi uhalisia.Kwa 4M kaongeza chumvi Ila kwa 5M unapata