Kabla hujanunua godoro pitia hapa ujue lipi litakufaa

Hujioni wewe ndo mwenye maneno mengi kama kasuku, huna hata pesa ya matangazo unakuja kutangaza bure JF........punguza jazba hata kama magodoro yako ya kichina yamekudodea.
Hii inaitwa jino kwa jino
 
Huo ujazo umeandikwa kwenye godoro au ndiyo tuangalie nch zake..?!
 
Mkuu natamani kujua bei ya godoro tiba. Uzito wangu 75kg, nahitaji 5×6, itafaa pia nikijua bei ya 6×6. Asante.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kati ya jibu ambalo huwa mteja akinipa najua huyu kakimbia ni hili. Mteja akisha sema nitakutafuta kibongo kasepa usimuwazie.

Nitakutafuta,
Nitakuchek,
Ngoja nimuulize mtu chap nitakuchek
Hahaha kwa sasa wanarudi boss na ndio maana tunaanza na elimu na uzuri wa biashara anaweza asinunue huyu akanunua mwingine kikubwa ni aluta continua
 
Mkuu natamani kujua bei ya godoro tiba. Uzito wangu 75kg, nahitaji 5×6, itafaa pia nikijua bei ya 6×6. Asante.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Karibu sana boss godoro tiba huwa tunaangalia tatizo lako lina ukubwa kiasi gani pia hata umri kabla hujashauriwa lipi
Nikuombe tutafutane 0657050325 kwa ushauri zaidi boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…