Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mleta mada hujaelewa kabisa nilichoandika. Tofautisha nchi na inch. Pia nimeuliza SI Unit maana kwenye soda umeweka ujazo wa 350ml. Mbona kwenye godoro hujaweka? Sasa mtu ataelewaje ujazo wa 18 au 20? Ungesema ujazo wa soda 350 mtu angejua nini? Hivyo naomba tena usome post yanguMkuu hapa tunazungumzia Tanzania tulipo na hizi kampuni ni zetu hapa hapa
Pia kuli attack kampuni moja kwa moja sio vizuri kibiashara ni kosa ushauri zaidi njoo namba zetu hizo boss
Pia hizo za kichina nyingi ni fibre zingine huwa pia za upepo