Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mleta mada hujaelewa kabisa nilichoandika. Tofautisha nchi na inch. Pia nimeuliza SI Unit maana kwenye soda umeweka ujazo wa 350ml. Mbona kwenye godoro hujaweka? Sasa mtu ataelewaje ujazo wa 18 au 20? Ungesema ujazo wa soda 350 mtu angejua nini? Hivyo naomba tena usome post yanguMkuu hapa tunazungumzia Tanzania tulipo na hizi kampuni ni zetu hapa hapa
Pia kuli attack kampuni moja kwa moja sio vizuri kibiashara ni kosa ushauri zaidi njoo namba zetu hizo boss
Pia hizo za kichina nyingi ni fibre zingine huwa pia za upepo
Nizidi kukukaribisha zaidi mkuu ukiwa na swali au lolote namba zetu zipo wazi kwako nikushukuru sana kwa maswali yakoMleta mada hujaelewa kabisa nilichoandika. Tofautisha nchi na inch. Pia nimeuliza SI Unit maana kwenye soda umeweka ujazo wa 350ml. Mbona kwenye godoro hujaweka? Sasa mtu ataelewaje ujazo wa 18 au 20? Ungesema ujazo wa soda 350 mtu angejua nini? Hivyo naomba tena usome post yangu
Kwa uzi wako huu bila shaka wewe ndio wa kushauriwa ili uweze kuwa na marketing strategy nzuriNizidi kukukaribisha zaidi mkuu ukiwa na swali au lolote namba zetu zipo wazi kwako nikushukuru sana kwa maswali yako
Karibu sana 0657050325 magodoro bei poa huduma safi muda wote na ushauri bure
Usafiri bure pia
Kwa dar na dodoma pia Arusha
😄😄😄😄😄😄nami najiunga kucheka japo sio mazuriDuh nimecheka mpaka kupaliwa na dawn yote hii🤣🤣
Ndiomana akasema wale ambao hawjakimbia physics watamuelewa na kwa swali lako hili unadhihirisha hata physics ya form one huijui maana maneno DENSITY, MASS, MATTER yasingekuwa mageni kwako. Hapa limetumika moja tu density je angeelezea full details za utengenezaji wake hata kunusa huu Uzi usingeunusa🤣🤣🙌
Asanteeee sana chiefKwa uzi wako huu bila shaka wewe ndio wa kushauriwa ili uweze kuwa na marketing strategy nzuri
Kama hili sh.ngap mkuu?!View attachment 3029533muda wa shule kufungua hizi ni godoro za wanafunzi kwa yule unayependa mtoto wako alale pazuri hili ujazo wake ni 24 hapa awe mzito kupita kiasi sio shida zake hizo godoro litahimili hayo yote
Hii spring 6x6 unauzaje
Karibu sana Sir hapo kuna dodoma lenyewe kuna inchi 8 na inchi 10Hii spring 6x6 unauzaje
Una risiti ya EFD au magodoro ya dili (wizi)?Zipo 5x6 na 6x6 boss bei hizi [emoji116]View attachment 2902683
Mkuu kuna biashara inafanyika bila mashine ya EFD kweli? Tunauza godoro mpya tu naUna risiti ya EFD au magodoro ya dili (wizi)?
sh ngap 6*6
Kuna dodoma 640000 boss inchi 8 na inchi 10 ni 715000sh ngap 6*6