Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Hii ni kweli nilishangaa huko Magu mzee na heshima zake tena msabato ana wake wawili live
 
Uko sahihi,resources kama ardhi ni changamoto kwa hiyo wanaume wengi hujiongeza kutafuta ardhi popote pale.

Tofauti na wanawake wa kisukuma ukitaka kumuoa ukimwambia tukaishi mkoa wa mbali yuko radhi avunje hiyo ndoa ila sio kwenda ugenini
 
Obheja mimi wa Dar sasa nishampenda msukuma sasa[emoji23][emoji23]
kuwa na heshima tu,na uanze jeramba la kusonga ugali mgumu na kutikisa maziwa kwenye kibuyu!karibu nyumbani shemeji
 
kuwa na heshima tu,na uanze jeramba la kusonga ugali mgumu na kutikisa maziwa kwenye kibuyu!karibu nyumbani shemeji

Woyi sio wakijijini ni wa mjini ni zile familia wote wasomi… sizani kama bado wapo primitive kiasi cha kutaka iwe lazima mimi kujua kupika hivyo
 
Wewe mwamba unajiamini unatoa code
Ngoja wakudake upakwe wese[emoji3][emoji1787]
 
Woyi sio wakijijini ni wa mjini ni zile familia wote wasomi… sizani kama bado wapo primitive kiasi cha kutaka iwe lazima mimi kujua kupika hivyo
kuna siku mtaenda kutembelea ndugu,au utakuwa mpenz mtazamaji?anyway people change,lakin ni vyema kudokoa vitu fulan ili usiwe mgen sana!
 
Si unamuoa msukuma mwenzako afande?
Hivi hiyo chale kwanza inakuaje yani?
chale nimekua naziona sijui ilikuwaje, ila wanasema ni imani yao kuwa wanalindwa zidi ya uchawi. tangu nikue nikajitambua sioni tena faida yake
 
Mbona umefungua saana code,umejiweka wazi na umemuweka wazi mke wa Askari kujulikana

Jirani yako
Askari polisi
Mkewe unaetembea nae ni msukuma

Alishatembelewa na familia nzima
Askari akiiona hii,ameshapata mchoro
Kweli kabisa ameweka code peupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…