mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #221
Hapo safiHahahaaaa mkuu ujio wao kwako ni baraka tupu
lazima waje gunia lililo kobolewa la mpunga
karanga
maharage na viazi vilivyo kaushwa almaalufu michembe. huwa wanabeba kama wanahama mkuu. hata wasipokuja
utatumiwa tu hata uwe dar au mbeya
wakija mikono mitupu fukuza sio wasukuma wale.