frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 590
- 1,494
mbona mnatusimanga sana kwahyo Tanzania nzima kabila lipo moja tu sisi wasukuma achen hzo bhn mbona makanilia yapo mengi yana hzo sifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhasi unyama sana aisee, kumbe wana Hekima hivi 👏Huwa wanakuja na unga, maharagwe na mchele. Wakivimaliza ndio wanaondoka
Kumtamani tuuu! Mpelekee moto utembee zakoKuna huyu msukuma nilimtamani ila kwa huu wasifu nimeghairi.
Kwahiyo wasomi wana namna yao ya kukata ugali?😆😆😆kweli hili ni taifa la wapuuziUle ukataji wa ugali Mimi ndio wananiacha hoii kbsaa...Kuna namna yao Fulani ya ulaji wa ugali...hata awe msomii
Nilikuwa na lengo nikatafute mke wa kuoa huko ila mkuu nimepata hofuSababu kuna Wachawi na Wanga wengi ukienda usukumani mwepesi mwepesi huchukui round unazimwa unaenda na maji, kuna mother alipelekwa kikazi huko akapewa ABC zao akakaza kichwa kaenda akiwa mjamzito kilichomkuta sasa hatunae, usiwalaumu kwa kupigwa chale maana yake kuna Wachawi wengi wengi mno na waganga ni wa kumwaga na zinachomwa dawa asubuhi, mchana na usiku especially sehemu za biashara hakuna duka ambalo muuzaji hachomi dawa sio mama lishe sio yaan kila sehemu ambayo kuna biashara dawa zinachomwa lengo ni kufukuza wachawi na wanga ambao wanawanga huko muda wote sio asubuhi sio mchana sio usiku wao ni kuwanga tu
Wale jamaa walizidi aisee.....ushetani wa wazi kabisa nyeupe anaiita nyeusi na ni msomi
Nitajie msomi kwenye nchi hii ambaye nyeupe anaita nyeupe au kwasababu magufuli haukuwa unamkubali?Wale jamaa walizidi aisee.....ushetani wa wazi kabisa nyeupe anaiita nyeusi na ni msomi
siwez kusema hapana,ila rate ni ndogo kulinganisha na makabila mengne!malezi yanahimiza heshima tofaut na malez ya kina JR huko kwingne!mwisho,wanawake wetu ni watamu sana!
mdukuzi
Kuna kitu hamjui
Wasukuma nadhani ndiyo kabila ambalo ni wakarimu sona na sio wachoyo kama walivyo wachaga na wenzao .
Wasukuma wanaamini kuwa kutokana na wao kuwa sio wachoyo basi na wengine watakuwa hivyo hivyo pia kumbe ni kinyume kabisa no wonder wao kwao hata mkienda 20 watawapokea na kula mtakula na kusaza hata mwezi sababu wanachapa sana kazi na chakula kipo .
Sasa bahati mbaya huku mijini ni tofauti!
Mtu wali nusu mnakula wanne na vimatunda hapo wasukuma wakikutembelea utaona wanakunyonya na kumaliza uchumi wako!
Kumbe shida ni wewe mchoyo na mvivu kwa kisingixio cha bajeti .
Hata iwe vipi mtu hanyimwi chakula, ndiyo wanavyoamini wasukuma ila Tanzania ya sasa imejaa wachoyo na wavivu kujifanya mnaishi kama wazungu kumbe ujinga tu.
Hapo bado likizo mnaenda vijijini kwa hao hao ndugu zenu na mnarudi mjini na ndizi,mahindi, Mpunga,na mavitu mengine kibao .
Ila wakija mjini kuwatembelea mnanuna.
Tujitathmini..
Mimi sio msukuma lakini wasukuma nimeishi nao sana na nawafahamu vizuri sana.Mnachukuliaje wanawake wa mjini daslam?
Acha ujinga watz wote wachawiKuamini ushirikina hapa wamebobea
Uko sahihi,wasukuma ni wachaoakazi na wana nguvu,vyakuka tele,hawajawahi kuwa wachoyo wa chakula,lakin8 kwa dunia ya sasa watu wa mjini wanajibana sana chakula ndio maana nikatoa angaluzo kwa wale wanaotaka kuoa usukumani wajiandae kisaikolojia kwa hilo mimi binafsi nineishi nao vizuri nawajua sana,sikupata changamoto kuishi nao,tulienda sawamdukuzi
Kuna kitu hamjui
Wasukuma nadhani ndiyo kabila ambalo ni wakarimu sona na sio wachoyo kama walivyo wachaga na wenzao .
Wasukuma wanaamini kuwa kutokana na wao kuwa sio wachoyo basi na wengine watakuwa hivyo hivyo pia kumbe ni kinyume kabisa no wonder wao kwao hata mkienda 20 watawapokea na kula mtakula na kusaza hata mwezi sababu wanachapa sana kazi na chakula kipo .
Sasa bahati mbaya huku mijini ni tofauti!
Mtu wali nusu mnakula wanne na vimatunda hapo wasukuma wakikutembelea utaona wanakunyonya na kumaliza uchumi wako!
Kumbe shida ni wewe mchoyo na mvivu kwa kisingixio cha bajeti .
Hata iwe vipi mtu hanyimwi chakula, ndiyo wanavyoamini wasukuma ila Tanzania ya sasa imejaa wachoyo na wavivu kujifanya mnaishi kama wazungu kumbe ujinga tu.
Hapo bado likizo mnaenda vijijini kwa hao hao ndugu zenu na mnarudi mjini na ndizi,mahindi, Mpunga,na mavitu mengine kibao .
Ila wakija mjini kuwatembelea mnanuna.
Tujitathmini..
Niliishi Magu,nilipigiwa sana magoti,binti akikupa maji ya kunywa hakuna kusimama mpaka umalize majiMimi sio msukuma lakini wasukuma nimeishi nao sana na nawafahamu vizuri sana.
Wao wakipenda wamependa yaani hatanii
Sasa kuhusu wanawake wa dar sote tunajua tabia zao mbaya na za kimalaya kupitiliza hivyo kwa wasukuma ambaye kaja mjini leo lazima hapo ajae kwenye mfumo kwa kudhani kapata Mali safi kumbe gubegube
Na wala sio wasukuma tu bali hata wewe unaweza kuona umepata mke mzuri hapo mjini licha ya wewe kuishi mjini sana lakini kumbe umepigwa pakubwa sana sana .
Wanawake wa kisukuma wamefunzwa heshima sana anapiga magoti mpaka umalize kuongea mumewe ndiyo anaondoka!
Kweli? Mimi nishuhudia mtu na mkewe walimaliza kilo moja haukubaki hata ukokoKilo moja ya mchele sisi Wasukuma huwa anakula mtu mmoja tu, ila mchele huwa hatuupendelei sana zaidi zaidi tunapenda kula ugali tena ule mkubwa kabisa
Mkuu naona umekaa kibishi sana acha tukuache.Kiasi kinacholimwa hapo Magu au kule Shinyanga kinalingana na Mchele wa bonde la Usangu?
Ya kwenu ni michembe tu na ugali wa udaga basi
Uongo.Kiasili baba mkwe wa kisukuma akienda kwa mkwilima wake atalala siku1 ya pili atachinjiwa mbuzihalafu walikaa zaidi ya mwezi
Tabora ni wanyamweziMkuu naona umekaa kibishi sana acha tukuache.
lkn pokea taarifa hii Rwanda,uganga,kenya,kongo na burudi wanategemea sana mpunga kutoka tabora,shinyanga, na geita
🤣🤣🤣🤣Kwahiyo wasomi wana namna yao ya kukata ugali?😆😆😆kweli hili ni taifa la wapuuzi