Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Chale niutamaduni wa jamii husika kwakawaida baadhi ya dawa za asili zipo zinazo pandikizwa kwenye damu.
Hivo niwewe kuona umuhimu wakile unacho patiwa na wazee wamila zako au udharau. Binafsi nimeoa msukuma kuhusu Asili wasukuma nimoja ya jamii inayo heshimu sana mila zao.hivyo mimi ikafanya nione ndio mwanamke sahihi kwangu.
Mdharau asili hufa kikatili.
Uko sahihi na sababu kubwa wamecover eneo kubwa sasa niambie msukuma wa shinyanga mpaka aende mkoa wenye kabila lingine atasafiri kilometer nyingo sana,kwa hiyo ni rahisi kwao kudumisha mila kitu ambacho ni kizuri
 
😂😂 Bora ayo yanavumilika
Ushirikina hauvumiki kwangu,pata picha unatoka kaxini unakuta mke ametoka kuchoma madawa nyumba inanuka dawa hapo ngumu,mengine ya kaeaida
 
Walipomuunga mkono wote kwa ushenzi wa ndugu yao wakawa wanaona ni sawa tu kwa sababu ni kabila lao hadi leo sina hamu na mtu msukuma
Hii tabia ya kuungana mkono ndugu hata kwa maovu ni tabia ya makabila yote si Wasukuma tu, labda jamii au familia inayoamua kuishi kwa uadilifu, na kwa dunia ya sasa ni wachache sana
 
Nilipata demu wa kisukuma,sasa wakati tupo ndani akanikagua kisiri siri bila kujua,siku moja akaniuliza wewe mbona huna chale nikamwambia Mungu pekee atosha, alishangaa sana, nikamwambia chale sio mpaka uchanjwe zipo nyingine wireless gusa unate, Mpaka leo ananishangaa
 
Mchembe karanga na yoghurt ndiyo chakula pendwa kwao. Ila ni kabila linalo jali sana kwenye chakula hawana uchoyo kabisa kwenye msosi.
😂😂😂
 
Kuna jirani yangu mmoja hapa Dom ni askari polisi (huwa natoka na mkewe kisirisiri) huyu mwamba mkewe ni msukuma kuna kipindi alipata kutembelewa na timu ya watu 9 Yaani baba Mkwe na mama Mkwe,

wadogo wa mkewe na Kaka mkubwa wa mkewe akiwa na mke na watoto Yaani jamaa ailkosa nafasi ya kuwalaza wageni ikabidi aje kuomba nafasi nyumba moja ya mama mmoja mstaafu hapa jirani Yaani wageni walijaa nyumbani eti wamekuja kusalimia mke wa jamaa baada ya kujifungua halafu walikaa zaidi ya mwezi jamaa alinyooka maana budget ya siku ilipanda mara dufu!
mateso yote ayo bado na wewe unamnyanyasa
🤨
akijua atakuingiza kwenye bastola akutumie kama risasi
 
nipo kwao uku mniombe nisijepitiwa nikaozeshwa au nikadondokea mtego wa kupigwa faini 😃😃
 
Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini.

Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya.

Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa, kwa maana hazai ni ngumu mno, wana dawa za asili za kuzibua mirija ya uzazi iliyoziba nk.

Usishangae siku baba mkwe na mama mkwe na ndugu wengine wanakuja kwenu kuwatembelea bila taharifa na watakuongelesha kisukuma bila kujali kabila lako, watakaa hapo mpaka wachoke wenyewe usiwapangie muda wa kukaa.

Kama ulizoea kuwa kilo ya mchele ni watu 4 basi unajidanganya,kilo moja huliwa na watu 2 tu, awe mwanamke au mwanaume.
Unanitisha ndugu, maana majukumu yamenileta Usukumani, itabidi mke nitafute Dar nilipopazoea.
 
Kuna jirani yangu mmoja hapa Dom ni askari polisi (huwa natoka na mkewe kisirisiri) huyu mwamba mkewe ni msukuma kuna kipindi alipata kutembelewa na timu ya watu 9 Yaani baba Mkwe na mama Mkwe,

wadogo wa mkewe na Kaka mkubwa wa mkewe akiwa na mke na watoto Yaani jamaa ailkosa nafasi ya kuwalaza wageni ikabidi aje kuomba nafasi nyumba moja ya mama mmoja mstaafu hapa jirani Yaani wageni walijaa nyumbani eti wamekuja kusalimia mke wa jamaa baada ya kujifungua halafu walikaa zaidi ya mwezi jamaa alinyooka maana budget ya siku ilipanda mara dufu!
Kwenye kujazana ndo wanapoharibu, wapo kama wapare au watu wa Morogoro.
 
Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini.

Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya.

Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa, kwa maana hazai ni ngumu mno, wana dawa za asili za kuzibua mirija ya uzazi iliyoziba nk.

Usishangae siku baba mkwe na mama mkwe na ndugu wengine wanakuja kwenu kuwatembelea bila taharifa na watakuongelesha kisukuma bila kujali kabila lako, watakaa hapo mpaka wachoke wenyewe usiwapangie muda wa kukaa.

Kama ulizoea kuwa kilo ya mchele ni watu 4 basi unajidanganya,kilo moja huliwa na watu 2 tu, awe mwanamke au mwanaume.
Kilo moja ya mchele sisi Wasukuma huwa anakula mtu mmoja tu, ila mchele huwa hatuupendelei sana zaidi zaidi tunapenda kula ugali tena ule mkubwa kabisa
 
Na nyie mna cheat??
siwez kusema hapana,ila rate ni ndogo kulinganisha na makabila mengne!malezi yanahimiza heshima tofaut na malez ya kina JR huko kwingne!mwisho,wanawake wetu ni watamu sana!
 
Hii tabia ya kuungana mkono ndugu hata kwa maovu ni tabia ya makabila yote si Wasukuma tu, labda jamii au familia inayoamua kuishi kwa uadilifu, na kwa dunia ya sasa ni wachache sana
Wale jamaa walizidi aisee.....ushetani wa wazi kabisa nyeupe anaiita nyeusi na ni msomi
 
Back
Top Bottom