Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini.

Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida,usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya.

Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa,kwa maana hazai,ni ngumu mno,wana dawa za asili za kuzibua mirija ya uzazi iliyoziba nk.

Usishangae siku baba mkwe na mama mkwe na ndugu wengine wanakuja kwenu kuwatembelea bila taharifa,na watakuongelesha kisukuma bila kujali kabila lako,watakaa hapo mpaka wachoke wenyewe usiwapangie muda wa kukaa.

Kama ulizoea kuwa kilo ya mchele ni watu 4 basi unajidanganya,kilo moja huliwa na watu 2 tu,awe mwanamke au mwanaume.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu,

Umewachunguza wanawake wote wa Kisukuma na kuona wana chale mwilini?

Mamilioni yote ya wanawake wa Kisukuma?
 
Pia msisahau kuwa Wasukuma ndio kabila linaloongoza kwa ukarimu Tanzania nzima .. pia waasisi wa vuguvugu la mageuzi nchini walitoka Usukumani.. Nyanga Bob Makani (CHADEMA) Momose Cheyo, Kasela Bantu (UDP) Mapalala James,Lipumba Haruna (CUF) Fundikira Abdalah, Kasanga Tumbo(UMD) isitoshe kusema wasukuma ndio baba wa mageuzi hapa nchini....
 
Kuna huyu msukuma nilimtamani ila kwa huu wasifu nimeghairi.
Katika watu poa sana ni wasukuma, wanawake hawajui ku cheat halafu si waongo. Ukitaka kuongeza mke, mkeo anashangilia na kwenda kuanza undugu na bi mdogo bila shida!
Nilishuhudia mke mkubwa akihangaika kwa waganga hadi kwa mitume baada ya bi mdogo kukosa mimba muda mrefu. Alipopata mtoto bi mkubwa alishangilia sana.
Oa huyo msukuma ule mema ya nchi.
 
N
Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini.

Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida,usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya.

Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa,kwa maana hazai,ni ngumu mno,wana dawa za asili za kuzibua mirija ya uzazi iliyoziba nk.

Usishangae siku baba mkwe na mama mkwe na ndugu wengine wanakuja kwenu kuwatembelea bila taharifa,na watakuongelesha kisukuma bila kujali kabila lako,watakaa hapo mpaka wachoke wenyewe usiwapangie muda wa kukaa.

Kama ulizoea kuwa kilo ya mchele ni watu 4 basi unajidanganya,kilo moja huliwa na watu 2 tu,awe mwanamke au mwanaume.
Naomba niweke wazi mimi ni msukuma kiukweli kilo moja ya wali watu wanakula haswa wale wa vijijini. Ila mm binafsi nusu kilo namaliza Nina kgs 61 body weight kilo siwez kufuta
 
Back
Top Bottom