Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu,

Umewachunguza wanawake wote wa Kisukuma na kuona wana chale mwilini?

Mamilioni yote ya wanawake wa Kisukuma?
 
Pia msisahau kuwa Wasukuma ndio kabila linaloongoza kwa ukarimu Tanzania nzima .. pia waasisi wa vuguvugu la mageuzi nchini walitoka Usukumani.. Nyanga Bob Makani (CHADEMA) Momose Cheyo, Kasela Bantu (UDP) Mapalala James,Lipumba Haruna (CUF) Fundikira Abdalah, Kasanga Tumbo(UMD) isitoshe kusema wasukuma ndio baba wa mageuzi hapa nchini....
 
Kuna huyu msukuma nilimtamani ila kwa huu wasifu nimeghairi.
Katika watu poa sana ni wasukuma, wanawake hawajui ku cheat halafu si waongo. Ukitaka kuongeza mke, mkeo anashangilia na kwenda kuanza undugu na bi mdogo bila shida!
Nilishuhudia mke mkubwa akihangaika kwa waganga hadi kwa mitume baada ya bi mdogo kukosa mimba muda mrefu. Alipopata mtoto bi mkubwa alishangilia sana.
Oa huyo msukuma ule mema ya nchi.
 
N
Naomba niweke wazi mimi ni msukuma kiukweli kilo moja ya wali watu wanakula haswa wale wa vijijini. Ila mm binafsi nusu kilo namaliza Nina kgs 61 body weight kilo siwez kufuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…