Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Sitasahau kuna Msukuma mmoja ni binti nilikutana naye nikamwelewa nikapiga sound akatiki alipokuja gheto nimelala nae siku moja kesho yake wakati anaondoka si akaondoka na rimoti ya fane Homebase kaweka kabisa kwenye mkoba wake ety😂.

Sasa ile natafuta rimoti kama siku 3 baadae siioni likanijia wazo nimuulize kama hajaiona ndio ananiambia aliweka kwenye mkoba akajisahau na kuondoka nayo hadi kwao mwanza dah nikasema hawa watu kweli ushamba umewazidi aisee
 
Back
Top Bottom