Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

Namba 9 , huyo Malila ndio nani nimsome some post zake na kakubless na post gani haswa in particular?!
 
Wanaume wenyewe wengine wakaenda na kuoa Tanga, inasemekana ndo kwenye mapenzi lkn kutwa kuhangaika😁😁 na wadada wa bara πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Ingekua vyema angeongea na wanaume wenzie so sie tunaotongozwa .
 
πŸ˜€πŸ˜€

Safi.
Hakuna kukauka ngozi.
Kama namuona shem wangu anavyo glow hapoπŸ˜€
 
prida
Mkuu Nakuombea utoke salama ila kwa sharti moja tuu... Usituletee li-CCM lingine...
Hawa tulionao wanatosha jamani
Worry out.
Tumbo langu haliwezi hifadhi taka na kama ni taka ya aina hiyo bora ifie huko tumboni isione mwanga wa dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…