Kabla siku hazijaenda sana: Bunge litunge sheria vyama vya siasa kutopiga kampeni kabla ya uchaguzi

Kabla siku hazijaenda sana: Bunge litunge sheria vyama vya siasa kutopiga kampeni kabla ya uchaguzi

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi.

1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe wanaongea na wananchi wao.

2: Mikutano ya ndani ya kisiasa hiyo ibaki wakiimarisha vyama vyao.

Tuwe wawazi maamuzi haya ya JPM yalileta utulivu mkubwa kisiasa.

Nyongeza
Kama itawapendeza Bunge litunge sheria kuiongoza NEC isiruhusu mgombea kuahidi vitu ambavyo atavitekeleza nje ya miaka 5 anayoomba apewe kuongoza.

Hii ni kitutega wananchi ili tumpe tena Muda amalizie wakati kufanya hivyo ni nje ya mkataba wa box la kura. Hii ndio imepelekea watu kutamani wengine watawale milele bila kukumbuka tuna mikataba ya miaka mitano mitano.
 
Achana na maamuzi Ya jiwe mkuu , ngoja tuendelee na utaratibu Wa kufuata katiba inasemaje
 
Kifurushi cha ujinga kama huu kimetangulia kaburini...
 
Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi.

1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe wanaongea na wananchi wao...
Wewe bora Corona ikupitie tu
 
Back
Top Bottom