Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

Kwa hiyo, mataifa haya tuliyonayo yalitokana na kusambaratika kwa mnara wa Babeli!?
 
Kwa hiyo, mataifa haya tuliyonayo yalitokana na kusambaratika kwa mnara wa Babeli!?
Alitenganisha binadamu kulingana na lugha.


"Mwenyezi-Mungu akasema, “Tazama, watu hawa ni taifa moja na wote wana lugha moja; huu ni mwanzo tu wa yale watakayoyafanya. Lolote wanalokusudia kulifanya watafanikiwa.

Haya, na tushuke chini na kuivuruga lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”

Hivyo, Mwenyezi-Mungu akawatawanya mahali pote duniani, nao wakaacha kuujenga ule mji.


Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani."
Mwanzo.11.6-9.BHN

Ukimchukua ng'ombe kutoka Dar ukampeleka India ataweza kuelewana na ng'ombe wenzie. Sawa na nyani, punda, mbwa n.k. Wanyama wana lugha moja despite their geographical distance.

Ukimtoa binadamu leo kutoka Urusi umpeleke Ukerewe hawaelewani.

Hata wataalam wa lugha wanasema: tofauti na walivyotegemea kutokana na nadharia ya uongo ya mageuzi (Evolution), walitegemea lugha zote zingekuwa zimetokana na lugha moja ya zamani, lakini wameona lugha zilizopo duniani zimetokana na makundi tofauti ya lugha yasiyofanana.

Na cha kushangaza zaidi, sehemu zenye aina nyingi za lugha ni sehemu ambazo watu wako karibu karibu, tofauti na sehemu ambazo watu wametawanyika wako mbali mbali kama kwenye Arctic, lugha ni chache huko.

Hawa wanasayansi wa uongo (wana mageuzj) wanasema historia ya lugha ni kitendawili (paradox).

Walio nuruni wanajua hamna kitendawili chochote: MUNGU alitenganisha binadamu kulingana na lugha, ili mpango wake wa ukombozi wa watoto wake utimie.

He required man to fill the earth as he instructed Adam and Eve. And he needed to set some apart to show the difference between himself and his adversary.

The LORD intended to delay the process and effects of globalisation. He probably also had other intentions I'm unaware of yet.

 
Kwa umakini na uyakinifu hebu soma ulichokiandika na ukitafakari kitimamu
 
Kwa umakini na uyakinifu hebu soma ulichokiandika na ukitafakari kitimamu
Haujatoa kasoro yoyote zaidi ya kuni dismiss tu kiholelaholea and basically question my reasoning and intelligence. This is very easy to do, I will do the same to you:

Wenye tafakuri makini, wenye akili timamu, akili kubwazz, wasomi mahiri, wanaojitambua, wanaojua walikotoka na wanapoenda, watafuta kweli, walio nuruni wote wanamuamini YESU!

Kwaheri.
 
Biblia imeletwa na wakoloni achana na hiyo mistari hoja inaongelea kabla ya ujio wa wakoloni wazee wetu wakifa walikuwa wanaenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…