Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

Hili swali hata kadinari Protase Rugambwa pamoja na pengo yamkini hata kwa Id fake hawawezi wakakujibu
Mbona amkuniuliza mimi ili swali ...mimi nina majibu kamili tatizo leni ni kukosa akili jibu la ili swali lipo wazi kabisa na linajulikana vizazi na vizazi
 
Jibu mkuu
Unatakiwa kujua kitu kinaitwa PURE RELIGION ni nini? .....binadamu ana ufunuo ndani yake wa kujua mema na mabaya kiasili ...hata ADAMU na HAWA walipokula tunda walipata huo ufunuo wakajua mema na mabaya ...dini ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kutokutenda mabaya ....kumbukeni kabla ya maandiko haya tuliyo nayo sasa, ufunuo ulio tumika kumu hukumu mtu ni dhamira ya moyo mwake mtu mwenyewe.

DINI MSINGI WAKE NI KUJUA MEMA NA MABAYA ...ndiyo maana ikaandikwa hao wasio fikiwa na neno la mungu watahukumiwa na dhamira zao wenyewe maana ndani ya mwanadamu mungu kafanya kujua mema na mabaya kiasili, kama nyuki wajuavyo wajibu wao bila ya kwenda shule hivyo hivyo kujua mema na mabaya kupo ndani ya mioyo yetu ....je adamu na hawa walikuwa na biblia au msahafu ? Je walimjua Yesu na mafundisho yake je walimjua muhammad na mafundisho yake ? Kumbukeni kaini alimuua ndugu yake na hakukua na sheria ya usiue mbona mungu alimuhesabia uovu ? KWA SABABU ALITENDA LILE TENDO NA DHAMIRA YAKE ILIKUWA NI KUTENDA LISILO JEMA BALI LILILO OVU ....HIVYO DHAMIRA YAKE ILIMSHUHUDIA HATIA ...
Dhambi ni kujua HAKI na BATILI MOYONI MWAKO KISHA UKATENDA BATILI DHIDI YA HAKI ....Hivyo kama hao watu walitenda MEMA NA HAKI wata hukumiwa peponi na kama walitenda MABAYA NA BATILI wata hukumiwa motoni ....dhamira zao zitawashuhudia.
 
Hamna aliyesema wanaenda wapi kwa usahihi
Watu wanaeleza Historia

Walikuwa hawajaui , hawajapata hiyo injili ,
Kama hawakupata wangejuaje?
Na wameenda wapi
Je wamechomwa moto au wanaenda mbinguni?
Kuna maswali mengine watajibu malaika aisee😂🤣
 
Unatakiwa kujua kitu kinaitwa PURE RELIGION ni nini? .....binadamu ana ufunuo ndani yake wa kujua mema na mabaya kiasili ...hata ADAMU na HAWA walipokula tunda walipata huo ufunuo wakajua mema na mabaya ...dini ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kutokutenda mabaya ....kumbukeni kabla ya maandiko haya ufunuo ulio tumika kumuhukumu mtu ni dhamira ya moyo mwake mtu mwenyewe

DINI MSINGI WAKE NI KUJUA MEMA NA MABAYA ...ndiyo maana ikaandikwa hao wasio fikiwa na neno la mungu watahukumiwa na dhamira zao wenyewe maana ndani ya mwanadamu mungu kafunya kujuq mema na mabaya kiasili kama nyuki wajuavyo wajibu wao bila ya kwenda shule hivyo hivyo kujua mema na mabaya kupo ndani ya mioyo yetu ....je adamu na hawa walikuwa na biblia au msahafu ? Je walimjua Yesu na mafundisho yake je walimjua muhammad na mafundisho yake ? Kumbukeni kaini alimuua ndugu yake na hakukua na sheria ya usiue mbona mungu alimuhesabia uovu ? KWA SABABU ALITENDA LILE TENDO NA DHAMIRA YAKE ILIKUWA NI KUTENDA LISILO JEMA BALI LILILO OVU ....HIVYO DHAMIRA YAKE ILIMSHUHUDIA HATIA ...
Dhambi ni kujua HAKI na BATILI MOYONI MWAKO KISHA UKATENDA BATILI DHIDI YA HAKI ....Hivyo kama hao watu walitenda MEMA NA HAKI wata hukumiwa peponi na kama walitenda MABAYA NA BATILI wata hukumiwa motoni ....dhamira zao zitawashuhudia
Naomba namimi kuuliza swali, je ukivunja sheria ya nchi bila kujua dola itaku-consider?
 
MUNGU wa ISRAELI amehakikisha historia tangia mwanzo wa ulimwengu na binadamu wa kwanza imeandikwa, rekodi ya vizazi na vizazi imetunzwa kwa umahiri kupitia uzao wa YESU.

Na ametoa unabii wa yote yatakayotokea hadi YESU atakaporudi.

Wanaomkubali YESU hawako gizani. Wanajua walipotoka na wanajua wanapoenda.

Waabudu dini za mababu, specifically I'm referring to Africans, si tu wanaabudu roho waovu, lakini pia wananing'inia tu. Hawana msingi.

Mafundisho yao hayajulikani. Chanzo chao wenyewe sijui kama wanakijua. Chanzo cha ulimwengu na lengo la ulimwengu sijui wanasemaje kuihusu. Sijui wanajua nini kuhusu huu Ulimwengu unapoenda.

Mostly nikiwasikia wao ni kuomba mafanikio tu. Wakatoe kafara wakamuombe baba yao aliyekufa awabariki. Wanaishi kwa ajili ya hiyo miaka 80 wafanikiwe wafe.

They don't tell us where they came from or where there're going. Sijui kwanini nimekumbuka The God's Must Be Crazy.

Huwezi kuwa serious kuhusu historia kama hujamtambua YESU.
 
Mimi mtu akiniuliza kuhusu ambao walikufa kabla ya YESU kufufuliwa wanaenda wapi kwanza namuuliza kama anaamini kuwa YESU alifufuliwa.

Kama haamini ameshaharibu msingi, there's no point discussing a matter that depends on what you have rejected. Kupotezeana muda.
 
You are so damn right!!
 
Kwahiyo kila sheria ina exceptions si ndio?
Dini ina sheria mbili
1)sheria ya asili ya nafsini (kujua mema na mabaya ) na
2)sheria za nyakati ndiyo maneno na vitabu vya dini ....
Kidini unaweza kuua kubaka kuiba ila ukitubia una samehewa kidunia sivyo uwezi kufanya uhalifu wa kuua watu wasio na hatia kisha ukaenda mahakamani ukakili na kuomba msamaha na kuachiwa kwa sababu umeomba msamaha ....hivyo usichangaye hukumu za mungu na wanadamu
 
That’s what I wanted to understand(majibu yako hapa), Thank U Sir 🫡
 
Unatakiwa kujua kitu kinaitwa PURE RELIGION ni nini? .....binadamu ana ufunuo ndani yake wa kujua mema na mabaya kiasili ...hata ADAMU na HAWA walipokula tunda walipata huo ufunuo wakajua mema na mabaya ...dini ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kutokutenda mabaya ....kumbukeni kabla ya maandiko haya ufunuo ulio tumika kumuhukumu mtu ni dhamira ya moyo mwake mtu mwenyewe

DINI MSINGI WAKE NI KUJUA MEMA NA MABAYA ...ndiyo maana ikaandikwa hao wasio fikiwa na neno la mungu watahukumiwa na dhamira zao wenyewe maana ndani ya mwanadamu mungu kafanya kujua mema na mabaya kiasili, kama nyuki wajuavyo wajibu wao bila ya kwenda shule hivyo hivyo kujua mema na mabaya kupo ndani ya mioyo yetu ....je adamu na hawa walikuwa na biblia au msahafu ? Je walimjua Yesu na mafundisho yake je walimjua muhammad na mafundisho yake ? Kumbukeni kaini alimuua ndugu yake na hakukua na sheria ya usiue mbona mungu alimuhesabia uovu ? KWA SABABU ALITENDA LILE TENDO NA DHAMIRA YAKE ILIKUWA NI KUTENDA LISILO JEMA BALI LILILO OVU ....HIVYO DHAMIRA YAKE ILIMSHUHUDIA HATIA ...
Dhambi ni kujua HAKI na BATILI MOYONI MWAKO KISHA UKATENDA BATILI DHIDI YA HAKI ....Hivyo kama hao watu walitenda MEMA NA HAKI wata hukumiwa peponi na kama walitenda MABAYA NA BATILI wata hukumiwa motoni ....dhamira zao zitawashuhudia.
Dhambi ni NADHARIA tu

Mema, maovu na haki ni MTAZAMO tu

Mfano
Kula nguruwe kunywa pombe ni DHAMBI kwa Waislam lakini sio kwa Wakristo wa RC
Kuoa wake wengi ni Dhambi kwa Wkristo lakini Sahihi kwa Waislam

Bangi ni Kosa OVU Tz lakini ni HALALI Jamaica
Kuna mambo mengi sana ambayo ni KOSA jamii A lakini ni SAHIHI jamii B

Uli unielewe vizuri ni hivi, Kukitokea Janga mfano korona tuliona makanisani na misikitini watu wakifanya SALA za kuomba Mungu atuepushe na janga kwasababu wanaamini na kuona ni SAHIHI......... Zamani kabla ya Dini hizi kunajamii likitokea Janga wanatoa kafara kwa kuua watu tena kikatili ikiwemo kuchomwa moto ukiwa hai ili janga hilo liishe.
Kuna jamii zilikua zinaona ni SAHIHI kabisa kuua mtoto kilema kwasbabu ukimuacha ni LAANA kwenye ukoo
Na mambo mengine mabaya kabisa LAKINI jamii iliamini na kusheherekea kama ni mambo MEMA na SAHIHI.
Je hawa wanahukumiwa vipi?

Sisi tuna bahati sana tumezaliwa kizazi ambacho Dunia imekua CIVILIZED kitambo....... Zama hizo kabla ya hizi dini mpya na civilization watu walikua wanafanya mambo ya HOVYO sana kwa mtazamo wa kizazi hiki na dini mpya lakini wenyewe walikua wanao sawa sawa kabisa
 
Dhambi ni NADHARIA tu

Mema, maovu na haki ni MTAZAMO tu

Mfano
Kula nguruwe kunywa pombe ni DHAMBI kwa Waislam lakini sio kwa Wakristo wa RC
Kuoa wake wengi ni Dhambi kwa Wkristo lakini Sahihi kwa Waislam

Bangi ni Kosa OVU Tz lakini ni HALALI Jamaica

Uli unielewe vizuri ni hivi, Kukitokea Janga mfano korona tuliona makanisani na misikitini watu wakifanya SALA za kuomba Mungu atuepushe na janga kwasababu wanaamini na kuona ni SAHIHI......... Zamani kabla ya Dini hizi kunajamii likitokea Janga wanatoa kafara kwa kuua watu tena kikatili ikiwemo kuchomwa moto ukiwa hai ili janga hilo liishe.
Kuna jamii zilikua zinaona ni SAHIHI kabisa kuua mtoto kilema kwasbabu ukimuacha ni LAANA kwenye ukoo
Na mambo mengine mabaya kabisa LAKINI jamii iliamini na kusheherekea kama ni mambo MEMA na SAHIHI

Sisi tuna bahati sana tumezaliwa kizazi ambacho Dunia imekua CIVILIZED kitambo....... Zama hizo kabla ya hizi dini mpya na civilization watu walikua wanafanya mambo ya HOVYO sana kwa mtazamo wa kizazi hiki na dini mpya lakini wenyewe walikua wanao sawa sawa kabisa
Endelea kujifunza nilicho eleza huko mbele utakutana na fafanuzi yangu ...hiyo fafanuzi yako ni aina mojawapo ya dini za nyakati hata ndani ya uislamu kuna kipindi pombe ilinywewa na aikuwa dhambi hadi muhammad alikunywa pombe na maswahaba na baada ya nyakati huyo muhammad na maswahiba wakahalamishiwa pombe ...huko mbele nimeeleza kuna misingi miwili ya DINI
1)dini ya asili (kujua mema na mabaya ndani ya dhamira yako )
2)dini za nyakati (hapa ndiyo unakuta mitume na manabii na nafundisho na sheria na vitabu vya dini)
 
swali lingine linakuja watu wa mashariki ya mbali kama Budha,Tao,Hindu,Shikh,Shinto ambao neno mbinguni kwa hawalijui.Na hawaamini kwenye supreme being na dini za Ibrahim hawazijui wala hawajui kulikuwa na YESU na mtume MOHAMED nao watakwenda wapi?
Mimi hakika dini za mababu ningezikuta ningeabudu hizo.
Hivi wamissionari wasingekuja tungetawaliwa? Hivi waarabu wasingekuja kungekuwa na utumwa?
 
Endelea kujifunza nilicho eleza huko mbele utakutana na fafanuzi yangu ...hiyo fafanuzi yako ni aina mojawapo ya dini za nyakati hata ndani ya uislamu kuna kipindi pombe ilinywewa na aikuwa dhambi hadi muhammad alikunywa pombe na maswahaba na baada ya nyakati huyo muhammad na maswahibawakahalamishiwa pombe ...huko mbele nimeeleza kuna misingi miwili ya DINI
1)dini ya asili (kujua mema na mabayq ndani ya dhamira yako )
2)dini za nyakati (hapa ndiyo unakuta mitume na manabii na nafundisho na sheria na vitabu vya dini)
Mkuu nilikunukuu ulipoandika kwamba "ambao hawajafikiwa na habari za Mungu watahukumiwa kwa DHAMIRA zao"

Ndio nimeuliza vipi hao ambao walifanya mambo ambayo ni maovu kwa mujibu wa maandiko na kwa mujibu wa civilization tuliona yao sasa lakini kwa zama zao ilikua ni sahihi na DHAMIRA njema?
 
Back
Top Bottom