KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mwambani ni wa serikali, bagamoyo ni uwekezaji (concession ya miaka 33) lakini pia tunakuwa na sheres tu. Ila tanga ni ya serikali. Ndio mjue tofautiMwambani iendelezwe Bagamoyo iachwe tu kama ilivo
Umekuwa mpole sana siku hizi kwema!?Mkuu kalamu1 hapa umeongea point!
CONCESSION KWA VASCO DAGAMA YA KUMTOA MWANAE KUTOKA KWA WACHINA BAADA YA KUKAMATWA NA NGADA!!!Mwambani ni wa serikali, bagamoyo ni uwekezaji (concession ya miaka 33) lakini pia tunakuwa na sheres tu. Ila tanga ni ya serikali. Ndio mjue tofauti
Kwanini Wachina wanataka Bagamoyo na si wambani Tanga?Bagamoyo imekuwa Bagamoyo, kisa, Kikwete alivunja ahadi ya ujenzi wa bandari Mwambani, Tanga.
Sasa makelele yanasikika kila sehemu kuhusu Bagamoyo, na hakuna anayekumbuka Mwambani ilikuwaje?
Eleza, Mwambani haikuwa na vigezo ilivyonavyo Bagamoyo?
Ile bandari itapitisha bidhaa za Uganda, Rwanda, hadi DRC, kama inavyoweza kufanya Bagamoyo, tena kwa umbali wa karibu zaidi.
Tuiache Dar ihudumu bila mwingiliano. Jenga Mwambani, achana na Bagamoyo.
Kwema maisha yanaendelea!Umekuwa mpole sana siku hizi kwema!?
Mwambani ni wa serikali, bagamoyo ni uwekezaji (concession ya miaka 33) lakini pia tunakuwa na sheres tu. Ila tanga ni ya serikali. Ndio mjue tofauti
Nadhani wewe tupo siku nyingi humu sijatarajia comment isiyo na busara kutoka kwako. Form six kajiunga mwaka 2012?std six mmefungua shule leo nadhani
wahi shule, usije jukwaa hili kwa akili hizi za kitoto
Nadhani wewe tupo siku nyingi humu sijatarajia comment isiyo na busara kutoka kwako. Form six kajiunga mwaka 2012?
Wenyewe waliokwisha kula mlungula wa mchina wakikusikia watasema wewe ni msukuma. Njaa mbaya sana, hasa njaa ya mashindano tuuuuuuuuuBagamoyo imekuwa Bagamoyo, kisa, Kikwete alivunja ahadi ya ujenzi wa bandari Mwambani, Tanga.
Sasa makelele yanasikika kila sehemu kuhusu Bagamoyo, na hakuna anayekumbuka Mwambani ilikuwaje?
Eleza, Mwambani haikuwa na vigezo ilivyonavyo Bagamoyo?
Ile bandari itapitisha bidhaa za Uganda, Rwanda, hadi DRC, kama inavyoweza kufanya Bagamoyo, tena kwa umbali wa karibu zaidi.
Tuiache Dar ihudumu bila mwingiliano. Jenga Mwambani, achana na Bagamoyo.
Mradi wa Bagamoyo haukuwa na mpango wa shares za Serikali, walioenda ku-negotiate walipewa chao kisha mwekezaji akapewa kila kitu: Tittle deed 99 years, no land rent, no property taxMwambani ni wa serikali, bagamoyo ni uwekezaji (concession ya miaka 33) lakini pia tunakuwa na sheres tu. Ila tanga ni ya serikali. Ndio mjue tofauti
Wachina walialikwa ili mwalikaji apate chake, na alipata ndiyo maana aliyekwamisha anatukanwa kila aina ya mabaya, na bado, watu wake wataipata: Mungu atuhurumieKwanini Wachina wanataka Bagamoyo na si wambani Tanga?
Yana mwisho, Mungu wa kweli atajioneshaCONCESSION KWA VASCO DAGAMA YA KUMTOA MWANAE KUTOKA KWA WACHINA BAADA YA KUKAMATWA NA NGADA!!!
Mwache aendelee kutaja majina ya watu, ila ukweli unajulikananiliwahi kumsikia Rais Kikwete akisema kwamba mradi wa bandari ya bagamoyo uliletwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda baada ya kufanya ziara nchini China
Mwache aendelee kutaja majina ya watu, ila ukweli unajulikana