Kabla ya Bagamoyo, Palikuwepo na mpango wa Bandari ya Mwambani, Tanga

Kabla ya Bagamoyo, Palikuwepo na mpango wa Bandari ya Mwambani, Tanga

Beneficiaries watakutoa roho[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]

Fikiria kama mtu aliitoa mbadala wa mwwnaye aliyekamatwa na NGADA ambapo hukumu yake ingekuwa kukatwa kichwa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845]

Mengine semeni tuuuuuuuuuuuuuu

Chato watatukanwa hadi vitukuuu
Hivi unajua mtoto aliyebambwa na Ngada mpaka Leo anafanya biashara ya Ivory?
 
Hata kama mapendekezo ya mkataba hatujayaona na kuyasoma.

Hiki ulichoandika ni zaidi ya uongo.

Inaonyesha hata sheria za kodi kwa mujibu wa nchi yako huzijui.
Acha ushabiki, inaonesha hujui kwanini KAKOKO yuko huko aliko
 
Hata kama mapendekezo ya mkataba hatujayaona na kuyasoma.

Hiki ulichoandika ni zaidi ya uongo.

Inaonyesha hata sheria za kodi kwa mujibu wa nchi yako huzijui.

Jitahidi kuwa upadated kabla ya arguments, mapendekezo ya mkataba yanajulikana na kila serious citizen, yaelekea wewe wapenda blablatuuu
 
Wacha kusifia Marehemu, huyo Mkapa aliyeshindwa hata kupeleka lami kwao
The world isn't fare: wakijenga twawaponda , wasipojenga ni mafala, ila mara nyingine huwa nadhani too much nyumbani kwako kuliko pace ya wenyewe ni shida huko mbeleni. Wacha tujenge bandari ya bagamoyo kisha wabagamoyo watahamia kigoma 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩, manufaa ya bandari wataachiwa wahamiaji
 
Mkuu Gama.

Naomba tuanze jambo.

Kwa sasa inaweza ikaonekana kwamba hatuna msaada na wala nguvu zozote za kuwazuia hawa wapuuzi, majizi wa nchi hii.

Tutafute njia za kupambana na hawa watu, tusikubali kamwe kuwaacha wakichafua nchi yetu.

Kwa kuanzia naomba tutafute mchango wa mawazo, njia za wananchi za kuwakomesha hawa majizi. Tukusanye maoni.

Na kila inapowezekana, tusiwaonee haya, tuwataje tu kwa majina yao na vyeo vyao wanavyoshikilia serikalini au kwingine kokote.

Naomba yeyote mwenye mchango wa mawazo tafadhali tuungane kupambana na hawa wahujumu.

Mwanzo ni sasa, kabla hawajaungana tena huko serikalini na kufanya kazi ya kuwasambaratisha kuwa ngumu.
Tuwe kama Kenya walioandamana kudai imf wasitoe mikopo wakati mwingine tunavyokaa kimya inakuwa kama tumeridhika
 
Alikuwa na ujasiri, yuko kaburini. Mwamba amelala. Ni wakati wenu tumtukane matusi yote.

Hampata kiongozi kama huyu tena. Anawaambia watu ukweli live, hapo hapo. Ukizingua, Jamaa anatengua uteuzi bila kupepesa macho.

Kila kitu anataka kiende kwa wakati. Maskini wakienda hospitalini wapewe huduma, wakienda ofisi za serikali wasikilizwe.

Asante. Tunaishi na wahuni hawajali chochote kwa maskini. Madawa ya kulevya, wizi, ujambazi, wizi wa kodi zako, kwenda Dubai kwa mikutano, London kununua suti vyote poa tu.
View attachment 1750652
Jitahidi kuwa upadated kabla ya arguments, mapendekezo ya mkataba yanajulikana na kila serious citizen, yaelekea wewe wapenda blablatuuu
 
Atake asitake tutamuongezea - Ndugai

Alishauriwa vibaya-Ndugai

Mkubwa akishasema amna wa kuhoji- Ndugai

Sasa angemuongezea angemshauri lini na alikua anamuogopa at the same time atake asitake anamuongezea muda !?
 
View attachment 1750652
Jitahidi kuwa upadated kabla ya arguments, mapendekezo ya mkataba yanajulikana na kila serious citizen, yaelekea wewe wapenda blablatuuu
Hii takataka uloiweka hapa kila mtu kaiona.

Unafikiri watu wote wanaotaka terms na conditions za mkataba ziwekwe wazi wote tujue kilichomo hawajaona hii takataka yako?

Huyu anayeongea hapo alikua kinyago cha jiwe hawezi kuaminika kama ambavyo jiwe hawezi kuaminika.

Alitudanganya ATCL inapata faida na mpaka gawio ikatoa serikalini.

Kumbe ni hasara kwa miaka mitano mfululizo!

Atashindwaje kutudanganya kuhusu bandari ya bagamoyo isijengwe kwa kua tu bagamoyo haipo chato?

Serikali ipeleke mkataba bungeni ujadiliwe kwa uwazi kama haufai ukataliwe na kama unafaa bandari ijengwe.

Hatutaki habari za mtu mmoja kasoma yeye tu anakuja anatuambia mkataba mbaya na sisi tunashangilia as if tumeuona na kuusoma.
 
Tuwafichue na tuwaaibishe.

Tukiwa na ujasiri zaidi, hata mahakamani tuwafikishe panapokuwepo ushahidi wa kutosha.

Kosa litakuwa ni kuwaacha tu na kuendelea kuwachekea, na wakati mwingine hadi kuwasifu kabisa kwa ujasiri wao wa kufanya ufisadi!

Huwezi kucheka na nyani anayetafuna mahindi yako.
Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo mtu mmoja anakuwa na nguvu kama Mungu kelele zetu hazitafua dafu! Tunahitaji katiba ambayo kila mtu anaweza kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria. Ukweli uliopo sasa ni kuwa mahakama na bunge vinafanya kazi kumtegemea Rais. Bunge hili la Ndugai ambalo mtu akitishiwa kunyang'anywa kadi ananywea halitatufikisha po pote.

Kama tutakuwa na bunge na mahakama huru mambo haya yanaweza kujadiliwa kwa uhuru bila woga. Bunge ndiyo sehemu pekee tunaweza kupiga kelele na zikasikika.

Tuendelee kupiga kelele lakini kwa usiri uliopo ndani ya ofisi ya Rais ni vigumu kufanikiwa, tutakuwa tunaona mambo yakifanyika bila kujua hatma yetu kama Taifa.
 
Huyu anayeongea hapo alikua kinyago cha jiwe hawezi kuaminika kama ambavyo jiwe hawezi kuaminika.

Alitudanganya ATCL inapata faida na mpaka gawio ikatoa serikalini
Punguza hasira kisha ujue maana ya hasara
 
Mwambani ni wa serikali, bagamoyo ni uwekezaji (concession ya miaka 33) lakini pia tunakuwa na sheres tu. Ila tanga ni ya serikali. Ndio mjue tofauti
Mkuu tatizo hapa watu wengi wanaopinga mradi huu wala hawajui maana alisi ya uwekezaji, wanafikiri mradi wa Bagamoyo unagharimiwa na Serikali hivyo Serikali inawajibika kuingilia uendeshaji na ukusanyaji mapato wa Bandari ya B'moyo yaani Serikali iwanyanganye wawekezaji wa Kichina mradi wao walio ugharimia kwa fedha zao wakati Serikali haichangii hata senti tano!!

Sana sana wachina wanacho weza kufanya ni kuipatia Serikali ya Tanzania shares basi, sio kuwawekea masharti ya kuwakatisha tamaa - Wachina wa uwekezaji wa B'moyo wawe treated kama Wachina walio wekeza kwenye viwanda huko Mkulanga, sijawahi kusikia Serikali ikiwalalamikia Wachina wa Mkukanga kuhusu pango la aridhi - why pick on B'moyo port project, kuna nini cha ziada pale au mnataka kumukomoa nani?

Kwa nini JPM mkataba hakuweka wazi badala yake alikuwa ana pick pick vipengele fulani kwenye mkataba anaviwekea chumvi mno,anawalisha watanzania matango poli akiwa na lengo la kuhamasisha wananchi wapinge mradi wa B'moyo - mbona yeye akuweka wazi ujenzi wa International Airport kijijini kwake, watanzania wangapi wange support such white elephant project ambao utali cost Taifa letu an arm and leg Taifa eventually,haya tuje kwenye ujenzi wa Hospitali kubwa ya rufaa kwa ajili ya kanda ya ziwa - anajenga such big project kijijini/wilayani kwake ambako wakazi wake wala hawazidi laki nne badala ya kujenga hospitali ya rufaa mkoani Kagera wenye wakazi zaidi ya millioni sita,kajenga chuo wa watumishi wa Serikali Chato, kajenga makao makuu ya MSD kada ya ziwa kwenye wilaya yake, mwalo wa Chato ikajengwa bandari,Soko kubwa la samaki na kuwekewa mpaka kivuko, juzi juzi hapa sijui TANAPA ikajenga kitu gani pale kwa kujipendekeza tu, hayo yote hayasemwi badala yake baadhi ya watanzania wanashirikiana na majasusi wa magharibi kuipiga vita vya kiuchumi Taifa la China moja wapo ikiwa ni uwekezaji mkubwa kwenye masuala ya Bandari Duniani,wakitolea mfano wa ujenzi na uendeshaji wa Bandari ya Sri Lanka,cha ajabu hatujawahi kusikia Serikali ya Sri Lanka ikiwafungulia mashtaka Serikali ya China kwa utapeli au udanganyifu,propaganda za kuwachafua Wachina tunazisikia kutoka kwenye vyombo vya habari vya Amerika na Uingereza - hao ndio hawapendi ujio wa Wachina barani Afrika.

Back to the main point: tunakumbuka vizuri jinsi JPM alivyo shinikiza Mkapa aondoe Chato mkoani Kagera na kuhamishia mkoa mpya wa Geita kwa kisingizio kwamba mji wa Bukoba huko mbali sana na Chato, lakini wakazi millioni sita mkoani Kagera kufuata matibabu kwenye Hospitali ya rufaa inayo jengwa hapo Chato hilo yeye aliliona ni sawa tu umbali si kitu.
 
Moja ya utashi wa mchina ni nchi kutoendeleza bandari nyingine yoyote ndani ya nchi huku bandari ya bagamoyo ikifanya kazi bila kodi yoyote hivyo bila revenue yoyote kwa nchi
Serikali haiwezi/ haitakiwi kuhoji kwa miaka 99. Mkababa wa kihuni.
 
Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo mtu mmoja anakuwa na nguvu kama Mungu kelele zetu hazitafua dafu! Tunahitaji katiba ambayo kila mtu anaweza kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria. Ukweli uliopo sasa ni kuwa mahakama na bunge vinafanya kazi kumtegemea Rais. Bunge hili la Ndugai ambalo mtu akitishiwa kunyang'anywa kadi ananywea halitatufikisha po pote.

Kama tutakuwa na bunge na mahakama huru mambo haya yanaweza kujadiliwa kwa uhuru bila woga. Bunge ndiyo sehemu pekee tunaweza kupiga kelele na zikasikika.

Tuendelee kupiga kelele lakini kwa usiri uliopo ndani ya ofisi ya Rais ni vigumu kufanikiwa, tutakuwa tunaona mambo yakifanyika bila kujua hatma yetu kama Taifa.
Kuipata katiba mpya pia ni kuwategemea hao hao, sasa sijui itakuwaje mkuu wangu 'Ileje'.

Hizi kelele tunazopiga, ukweli ni kwamba hatujajua jinsi ya kuzipiga vizuri ili ziwastue hao wanaokwamisha kila kitu, huku wakiendelea na mipango yao ya kuiba mali za taifa letu.

Ninachohimiza hapa, na ambacho naomba mchango wa mawazo ya kila mchangiaji, je ni jinsi gani ya kuzipiga hizi kelele ili hawa watu wasiendelee kuzidharau kama ilivyo kawaida ya siku zote?

Hili ndilo ninaloomba msaada juu yake.

Ninachojua bila shaka yoyote ni kwamba wananchi wakizisikia kelele hizi, wakazielewa na kuziunga mkono, hakuna mpuuzi yeyote, si Ndugai wala nani anayeweza kuzipuuza.
Huo ndio utakaokuwa mwanzo wa kupata katiba mpya na mambo mengine yote tunayolilia yatawezekana.

Hivi ndivyo ninavyoliona hili.
 
Watanzania sijui tuna roho za namna gani tofauti na nchi nyingi duniani. Angalia waarabu walivyofanya kijana mmoja tu tena mmachinga aliuawa Tunisia, nchi zote za kiarabu kuanzia Algeria hadi Syria zilisisimka na kuanzisha vita dhidi ya watawala wanyanyasaji. Hapa kwetu kitendo cha Tundu Lissu kupigwa risasi kilitosha kuamsha vuguvugu la kudai haki lakini haikuwa hivyo. Halikadhalika uchaguzi mkuu uliopita usingewaacha baadhi ya viongozi wetu wa sasa salama.

Binafsi huwa sielewi ni malezi yetu au ni wingi wa makabila madogo madogo tuliyonayo yanayotufanya kukosa umoja na ushirikiano! Watanzania wengi hushangilia sana kusikia mwenzao mmoja kafukuzwa kazi hata bila sababu ya msingi na kufuata sheria. Tumejaa ubinafsi na kila mmoja anajijali binafsi na familia yake. Cho chote kinachomsibu jirani hakimuhusu na pengine hufurahia. Akionyesha kusikitika ni kwa unafiki tu.

Sasa ili kijinasua hapa tulipo kelele hazitasaidia sana. Kwanza kabisa hizo kelele hazitakuwepo zaidi ya kutoka kwa wapinzani wachache kama Mbowe na Lissu. Lakini pili kwa sababu ya propaganda za serikali dhidi ya hao wachache. Serikali itatumia dola kukandamiza kila aina ya kelele kama ilivyo sasa.

Tunachotakiwa kufanya ni kuyaomba mataifa makubwa kiuchumi na mashirika ya kimataifa kutusaidia. Tuliopo nchini tuendelee kukusanya ushahidi usioshaka namna ambavyo uhuru na haki zinavyogandamizwa. Waliopo nje ya nchi waendeleze harakati za kuelimisha kupitia vyombo vya habari na forums mbalimbali.
 
Bagamoyo imekuwa Bagamoyo, kisa, Kikwete alivunja ahadi ya ujenzi wa bandari Mwambani, Tanga.

Sasa makelele yanasikika kila sehemu kuhusu Bagamoyo, na hakuna anayekumbuka Mwambani ilikuwaje?

Eleza, Mwambani haikuwa na vigezo ilivyonavyo Bagamoyo?

Ile bandari itapitisha bidhaa za Uganda, Rwanda, hadi DRC, kama inavyoweza kufanya Bagamoyo, tena kwa umbali wa karibu zaidi.

Tuiache Dar ihudumu bila mwingiliano. Jenga Mwambani, achana na Bagamoyo.
Hizi kelele za Bagamoyo zina jambo zito nyuma yake! Wananchi tunatilia shaka nguvu nyuma ya huu mradi!
 
Watanzania sijui tuna roho za namna gani tofauti na nchi nyingi duniani. Angalia waarabu walivyofanya kijana mmoja tu tena mmachinga aliuawa Tunisia, nchi zote za kiarabu kuanzia Algeria hadi Syria zilisisimka na kuanzisha vita dhidi ya watawala wanyanyasaji. Hapa kwetu kitendo cha Tundu Lissu kupigwa risasi kilitosha kuamsha vuguvugu la kudai haki lakini haikuwa hivyo. Halikadhalika uchaguzi mkuu uliopita usingewaacha baadhi ya viongozi wetu wa sasa salama.

Binafsi huwa sielewi ni malezi yetu au ni wingi wa makabila madogo madogo tuliyonayo yanayotufanya kukosa umoja na ushirikiano! Watanzania wengi hushangilia sana kusikia mwenzao mmoja kafukuzwa kazi hata bila sababu ya msingi na kufuata sheria. Tumejaa ubinafsi na kila mmoja anajijali binafsi na familia yake. Cho chote kinachomsibu jirani hakimuhusu na pengine hufurahia. Akionyesha kusikitika ni kwa unafiki tu.

Sasa ili kijinasua hapa tulipo kelele hazitasaidia sana. Kwanza kabisa hizo kelele hazitakuwepo zaidi ya kutoka kwa wapinzani wachache kama Mbowe na Lissu. Lakini pili kwa sababu ya propaganda za serikali dhidi ya hao wachache. Serikali itatumia dola kukandamiza kila aina ya kelele kama ilivyo sasa.

Tunachotakiwa kufanya ni kuyaomba mataifa makubwa kiuchumi na mashirika ya kimataifa kutusaidia. Tuliopo nchini tuendelee kukusanya ushahidi usioshaka namna ambavyo uhuru na haki zinavyogandamizwa. Waliopo nje ya nchi waendeleze harakati za kuelimisha kupitia vyombo vya habari na forums mbalimbali.
Kuna internal genetic behaviour amabazo kiasili tumezipoteza kama wanadamu

Tupo tu kama mazezeta bendera fata upepo

Kuanzia viongozi wetu hadi wananchi

Tupo kama; manyani

Nyani anacheka kindule la mwenzake, kitu asichikifahamu kumbe wote wanakundule zinazofanana.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom