Kama haya anayoyaongelea Bwa.Kakoko ni ya kweli basi huo Mkataba ni wa OvyoMradi wa Bagamoyo haukuwa na mpango wa shares za Serikali, walioenda ku-negotiate walipewa chao kisha mwekezaji akapewa kila kitu: Tittle deed 99 years, no land rent, no property tax
View attachment 1750319
Kwanini Wachina wanataka Bagamoyo na si wambani Tanga?
Mkuu Gama.Wachina walialikwa ili mwalikaji apate chake, na alipata ndiyo maana aliyekwamisha anatukanwa kila aina ya mabaya, na bado, watu wake wataipata: Mungu atuhurumie
..niliwahi kumsikia Rais Kikwete akisema kwamba mradi wa bandari ya bagamoyo uliletwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda baada ya kufanya ziara nchini China.
..tunatakiwa tujiulize kama tunahitaji bandari ya bagamoyo au la. kama tunaihitaji tuangalie option ya kujenga wenyewe, au kujenga kwa ubia na muwekezaji mwenye masharti mazuri.
Mkuu JokaKuu,..niliwahi kumsikia Rais Kikwete akisema kwamba mradi wa bandari ya bagamoyo uliletwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda baada ya kufanya ziara nchini China.
..tunatakiwa tujiulize kama tunahitaji bandari ya bagamoyo au la. kama tunaihitaji tuangalie option ya kujenga wenyewe, au kujenga kwa ubia na muwekezaji mwenye masharti mazuri.
Na mimi nikuulize swali, Mwambani ina ubaya gani, kwa nini iwe Bagamoyo, ambayo ipo jirani sana na Dar es Salaam...Je, mradi wa bandari ya bagamoyo ni mzuri au mbaya?
..kama ni mradi mzuri, je tujenge wenyewe, au tushiriane wa wawekezaji?
..Nini hatima ya bandari ya Dsm ikiwa tutaamua kujenga bandari Bagamoyo?
Tumeiuza nchi kwa wachina sababu ya toto lililopaswa kuuawa!!! Tena toto lenyewe tukalipa na ubunge!?! Kwa maneno ya maalim Seif "huu ni uha.ni.thi."CONCESSION KWA VASCO DAGAMA YA KUMTOA MWANAE KUTOKA KWA WACHINA BAADA YA KUKAMATWA NA NGADA!!!
Kwanini Wachina wanataka Bagamoyo na si wambani Tanga?
Mkuu JokaKuu,
Uhitaji wa bandari kama hiyo upo sana, lakini haya yanayosikika sasa hivi yanatia wasiwasi sana.
Inakuwaje mara tu baada ya kuondoka aliyewanyang'anya wapigaji, hata mwezi haujapita kukawa na kelele nyingi kiasi hiki kwenye hii miradi miwili ya Bandari na ule wa umeme?
Hii inaonyesha wazi kwamba walaji hawana subira hata kidogo?
Hii ni hatari sana, hasa kwa huyu mama, sijui kama na yeye yumo kwenye kundi hilo, au yupo tayari aunganishwe, vinginevyo naona hali yake ikiwa ngumu sana kama asipokaza shingo kikwelikweli!
Hawa watu hawana aibu kabisa, wanajitoa waziwazi kusukuma mipango yao iende mbele!
Unadhani hawajitambui; wanajitambua sana. Tatizo lao ni ubinafsi, ulafi na kusahau maslahi ya wengi.Unajua tuna viongozi wa ajabu sana. Hawajitambui.
Hii nchi itakuwa chini ya China, US, Europe baada ya miaka 200. Weusi wote wataķuwa wameuwawa.
Kama walivyofanya kwa Red Indians in USA, Australian blacks, and South America.
Ni nchi yenye rasilimali nyingi sana iliyobaki huru. Ila uzalendo umekwisha.
Unadhani hawajitambui; wanajitambua sana. Tatizo lao ni ubinafsi, ulafi na kusahau maslahi ya wengi.
Hili ndilo tatizo.
Tuwafichue na tuwaaibishe.Tunafanyaje?
Tuanze na kumuondoa mnafiki "KAZI" kwenye kiti cha mbele maana yeye amejitanabaishaMwanzo ni sasa, kabla hawajaungana tena huko serikalini na kufanya kazi ya kuwasambaratisha kuwa ngumu
Beneficiaries watakutoa roho🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓Hivi kuna ugumu wowote mkataba huu wa bandari ya Bagamoyo kuwekwa hadharani ili Watanzania wenye nchi yao wajue kila kilichomo ndani yake? Kuna nini ndani ambacho kikiwekwa hadharani kitafanya nchi iwe hatarini? Ni nini hicho, ambacho hakitakiwi kujulikana hadharani Bali kiwe sirini daima.?
Baada ya mwendazake kwenda zake sasa nyani wana mamlaka juu ya mahindi yetuTuwafichue na tuwaaibishe.
Tukiwa na ujasiri zaidi, hata mahakamani tuwafikishe panapokuwepo ushahidi wa kutosha.
Kosa litakuwa ni kuwaacha tu na kuendelea kuwachekea, na wakati mwingine hadi kuwasifu kabisa kwa ujasiri wao wa kufanya ufisadi!
Huwezi kucheka na nyani anayetafuna mahindi yako.
Moja ya utashi wa mchina ni nchi kutoendeleza bandari nyingine yoyote ndani ya nchi huku bandari ya bagamoyo ikifanya kazi bila kodi yoyote hivyo bila revenue yoyote kwa nchi..Nini hatima ya bandari ya Dsm ikiwa tutaamua kujenga bandari Bagamoyo
Hata kama mapendekezo ya mkataba hatujayaona na kuyasoma.Moja ya utashi wa mchina ni nchi kutoendeleza bandari nyingine yoyote ndani ya nchi huku bandari ya bagamoyo ikifanya kazi bila kodi yoyote hivyo bila revenue yoyote kwa nchi