Hivi unajua mtoto aliyebambwa na Ngada mpaka Leo anafanya biashara ya Ivory?Beneficiaries watakutoa roho[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Fikiria kama mtu aliitoa mbadala wa mwwnaye aliyekamatwa na NGADA ambapo hukumu yake ingekuwa kukatwa kichwa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845]
Mengine semeni tuuuuuuuuuuuuuu
Chato watatukanwa hadi vitukuuu
Ukionja nyama ya mtu huwezi kuachaHivi unajua mtoto aliyebambwa na Ngada mpaka Leo anafanya biashara ya Ivory?
Acha ushabiki, inaonesha hujui kwanini KAKOKO yuko huko alikoHata kama mapendekezo ya mkataba hatujayaona na kuyasoma.
Hiki ulichoandika ni zaidi ya uongo.
Inaonyesha hata sheria za kodi kwa mujibu wa nchi yako huzijui.
Wacha kusifia Marehemu, huyo Mkapa aliyeshindwa hata kupeleka lami kwaoKikwete aliondoka madarakani kwa shingo upande bado anatamani kuongoza nchi leo angekuwepo Mkapa wakina Ndugai wasingeropokaropoka maana angewashukia
Hata kama mapendekezo ya mkataba hatujayaona na kuyasoma.
Hiki ulichoandika ni zaidi ya uongo.
Inaonyesha hata sheria za kodi kwa mujibu wa nchi yako huzijui.
The world isn't fare: wakijenga twawaponda , wasipojenga ni mafala, ila mara nyingine huwa nadhani too much nyumbani kwako kuliko pace ya wenyewe ni shida huko mbeleni. Wacha tujenge bandari ya bagamoyo kisha wabagamoyo watahamia kigoma 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩, manufaa ya bandari wataachiwa wahamiajiWacha kusifia Marehemu, huyo Mkapa aliyeshindwa hata kupeleka lami kwao
Tuwe kama Kenya walioandamana kudai imf wasitoe mikopo wakati mwingine tunavyokaa kimya inakuwa kama tumeridhikaMkuu Gama.
Naomba tuanze jambo.
Kwa sasa inaweza ikaonekana kwamba hatuna msaada na wala nguvu zozote za kuwazuia hawa wapuuzi, majizi wa nchi hii.
Tutafute njia za kupambana na hawa watu, tusikubali kamwe kuwaacha wakichafua nchi yetu.
Kwa kuanzia naomba tutafute mchango wa mawazo, njia za wananchi za kuwakomesha hawa majizi. Tukusanye maoni.
Na kila inapowezekana, tusiwaonee haya, tuwataje tu kwa majina yao na vyeo vyao wanavyoshikilia serikalini au kwingine kokote.
Naomba yeyote mwenye mchango wa mawazo tafadhali tuungane kupambana na hawa wahujumu.
Mwanzo ni sasa, kabla hawajaungana tena huko serikalini na kufanya kazi ya kuwasambaratisha kuwa ngumu.
View attachment 1750652
Jitahidi kuwa upadated kabla ya arguments, mapendekezo ya mkataba yanajulikana na kila serious citizen, yaelekea wewe wapenda blablatuuu
Hii takataka uloiweka hapa kila mtu kaiona.View attachment 1750652
Jitahidi kuwa upadated kabla ya arguments, mapendekezo ya mkataba yanajulikana na kila serious citizen, yaelekea wewe wapenda blablatuuu
Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo mtu mmoja anakuwa na nguvu kama Mungu kelele zetu hazitafua dafu! Tunahitaji katiba ambayo kila mtu anaweza kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria. Ukweli uliopo sasa ni kuwa mahakama na bunge vinafanya kazi kumtegemea Rais. Bunge hili la Ndugai ambalo mtu akitishiwa kunyang'anywa kadi ananywea halitatufikisha po pote.Tuwafichue na tuwaaibishe.
Tukiwa na ujasiri zaidi, hata mahakamani tuwafikishe panapokuwepo ushahidi wa kutosha.
Kosa litakuwa ni kuwaacha tu na kuendelea kuwachekea, na wakati mwingine hadi kuwasifu kabisa kwa ujasiri wao wa kufanya ufisadi!
Huwezi kucheka na nyani anayetafuna mahindi yako.
Punguza hasira kisha ujue maana ya hasaraHuyu anayeongea hapo alikua kinyago cha jiwe hawezi kuaminika kama ambavyo jiwe hawezi kuaminika.
Alitudanganya ATCL inapata faida na mpaka gawio ikatoa serikalini
Mkuu tatizo hapa watu wengi wanaopinga mradi huu wala hawajui maana alisi ya uwekezaji, wanafikiri mradi wa Bagamoyo unagharimiwa na Serikali hivyo Serikali inawajibika kuingilia uendeshaji na ukusanyaji mapato wa Bandari ya B'moyo yaani Serikali iwanyanganye wawekezaji wa Kichina mradi wao walio ugharimia kwa fedha zao wakati Serikali haichangii hata senti tano!!Mwambani ni wa serikali, bagamoyo ni uwekezaji (concession ya miaka 33) lakini pia tunakuwa na sheres tu. Ila tanga ni ya serikali. Ndio mjue tofauti
Serikali haiwezi/ haitakiwi kuhoji kwa miaka 99. Mkababa wa kihuni.Moja ya utashi wa mchina ni nchi kutoendeleza bandari nyingine yoyote ndani ya nchi huku bandari ya bagamoyo ikifanya kazi bila kodi yoyote hivyo bila revenue yoyote kwa nchi
Kuna gesi pale chini.
Kuipata katiba mpya pia ni kuwategemea hao hao, sasa sijui itakuwaje mkuu wangu 'Ileje'.Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo mtu mmoja anakuwa na nguvu kama Mungu kelele zetu hazitafua dafu! Tunahitaji katiba ambayo kila mtu anaweza kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria. Ukweli uliopo sasa ni kuwa mahakama na bunge vinafanya kazi kumtegemea Rais. Bunge hili la Ndugai ambalo mtu akitishiwa kunyang'anywa kadi ananywea halitatufikisha po pote.
Kama tutakuwa na bunge na mahakama huru mambo haya yanaweza kujadiliwa kwa uhuru bila woga. Bunge ndiyo sehemu pekee tunaweza kupiga kelele na zikasikika.
Tuendelee kupiga kelele lakini kwa usiri uliopo ndani ya ofisi ya Rais ni vigumu kufanikiwa, tutakuwa tunaona mambo yakifanyika bila kujua hatma yetu kama Taifa.
Watanzania sijui tuna roho za namna gani tofauti na nchi nyingi duniani. Angalia waarabu walivyofanya kijana mmoja tu tena mmachinga aliuawa Tunisia, nchi zote za kiarabu kuanzia Algeria hadi Syria zilisisimka na kuanzisha vita dhidi ya watawala wanyanyasaji. Hapa kwetu kitendo cha Tundu Lissu kupigwa risasi kilitosha kuamsha vuguvugu la kudai haki lakini haikuwa hivyo. Halikadhalika uchaguzi mkuu uliopita usingewaacha baadhi ya viongozi wetu wa sasa salama.Kuipata katiba mpya pia ni kuwategemea hao hao, sasa sijui itakuwaje mkuu wangu 'Ileje'.
Hizi kelele tunazopiga, ukweli ni kwamba hatujajua jinsi ya kuzipiga vizuri ili ziwastue hao wanaokwamisha kila kitu, huku wakiendelea na mipango yao ya kuiba mali za taifa letu.
Ninachohimiza hapa, na ambacho naomba mchango wa mawazo ya kila mchangiaji, je ni jinsi gani ya kuzipiga hizi kelele ili hawa watu wasiendelee kuzidharau kama ilivyo kawaida ya siku zote?
Hili ndilo ninaloomba msaada juu yake.
Ninachojua bila shaka yoyote ni kwamba wananchi wakizisikia kelele hizi, wakazielewa na kuziunga mkono, hakuna mpuuzi yeyote, si Ndugai wala nani anayeweza kuzipuuza.
Huo ndio utakaokuwa mwanzo wa kupata katiba mpya na mambo mengine yote tunayolilia yatawezekana.
Hivi ndivyo ninavyoliona hili.
Hizi kelele za Bagamoyo zina jambo zito nyuma yake! Wananchi tunatilia shaka nguvu nyuma ya huu mradi!Bagamoyo imekuwa Bagamoyo, kisa, Kikwete alivunja ahadi ya ujenzi wa bandari Mwambani, Tanga.
Sasa makelele yanasikika kila sehemu kuhusu Bagamoyo, na hakuna anayekumbuka Mwambani ilikuwaje?
Eleza, Mwambani haikuwa na vigezo ilivyonavyo Bagamoyo?
Ile bandari itapitisha bidhaa za Uganda, Rwanda, hadi DRC, kama inavyoweza kufanya Bagamoyo, tena kwa umbali wa karibu zaidi.
Tuiache Dar ihudumu bila mwingiliano. Jenga Mwambani, achana na Bagamoyo.
Kuna internal genetic behaviour amabazo kiasili tumezipoteza kama wanadamuWatanzania sijui tuna roho za namna gani tofauti na nchi nyingi duniani. Angalia waarabu walivyofanya kijana mmoja tu tena mmachinga aliuawa Tunisia, nchi zote za kiarabu kuanzia Algeria hadi Syria zilisisimka na kuanzisha vita dhidi ya watawala wanyanyasaji. Hapa kwetu kitendo cha Tundu Lissu kupigwa risasi kilitosha kuamsha vuguvugu la kudai haki lakini haikuwa hivyo. Halikadhalika uchaguzi mkuu uliopita usingewaacha baadhi ya viongozi wetu wa sasa salama.
Binafsi huwa sielewi ni malezi yetu au ni wingi wa makabila madogo madogo tuliyonayo yanayotufanya kukosa umoja na ushirikiano! Watanzania wengi hushangilia sana kusikia mwenzao mmoja kafukuzwa kazi hata bila sababu ya msingi na kufuata sheria. Tumejaa ubinafsi na kila mmoja anajijali binafsi na familia yake. Cho chote kinachomsibu jirani hakimuhusu na pengine hufurahia. Akionyesha kusikitika ni kwa unafiki tu.
Sasa ili kijinasua hapa tulipo kelele hazitasaidia sana. Kwanza kabisa hizo kelele hazitakuwepo zaidi ya kutoka kwa wapinzani wachache kama Mbowe na Lissu. Lakini pili kwa sababu ya propaganda za serikali dhidi ya hao wachache. Serikali itatumia dola kukandamiza kila aina ya kelele kama ilivyo sasa.
Tunachotakiwa kufanya ni kuyaomba mataifa makubwa kiuchumi na mashirika ya kimataifa kutusaidia. Tuliopo nchini tuendelee kukusanya ushahidi usioshaka namna ambavyo uhuru na haki zinavyogandamizwa. Waliopo nje ya nchi waendeleze harakati za kuelimisha kupitia vyombo vya habari na forums mbalimbali.