Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya management yake kuacahana alinyanganywa Accounts zake zote digital online ikiwemo YouTube.
Kosa kubwa ambalo amelifanya ni kukosa watu smart wa kumshauri nini hasa afanye.
Mziki unahitaji PESA, na uwekezaji mkubwa.
Sasa ikiwa hauna management nzuri utawezaje kutoboa.
I feel sorry to this guy kuamini Kuwait kalogwa while the problems ni PESA .
Boss wake wa zamani ndo huyu huyu Kwa sasa anamdhamini Obby Alpha.