Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahahaUKipewa hirizi na mganga ukiamua kuokoka unaichoma sio kuirudisha ,nakubaliana na wewe jamaa yuko sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaUKipewa hirizi na mganga ukiamua kuokoka unaichoma sio kuirudisha ,nakubaliana na wewe jamaa yuko sahihi
Mvua gani wewe acha kujitoa akili hapa mvua zipi unazungumzia?Subiri akila mvua muende nae....kosa jinsi
Sasa kuna wapuuzi wanasema kakosea kakosea wapi hapo?UKipewa hirizi na mganga ukiamua kuokoka unaichoma sio kuirudisha ,nakubaliana na wewe jamaa yuko sahihi
Na wewe bado dish lako halijatulia emu liweke sawa kwanzaMie ninachoshangaa ameenda kununuliwa gari na kachukuliwa nyota yake saivi anaongea unajua atairudishaje??
Sio rahisi. Humu watu kama yule mzee wapo wengi.
Ila unahela ni bossy nanistar unakuja kwa mshirikina kuchukua uchawi . Unakushinda unaanza kuongea watu nani alikutuma kwenda kula amini za waovu . Na umekabidhiwa text .
Mrudie Mungu wako
Nasema ukweli naumekasirika ndio zenu humu ndio maana siingiagi sana humu maisha yaendee mna chukuliaga wanawake nyota na kila kitu mmh tumeipitiaNa wewe bado dish lako halijatulia emu liweke sawa kwanza
Issue sio management issue mkataba wake na management yake ulikua unasemaje?Samahani mkuu,
Hivi kuwa na management nzuri ni kutoboa?
Kuna wasanii wengi wamekuwa chini ya hizi managament na bado walikua watumwa!
Umemaanisha au limekutoka?Gozbert usivunjike moyo mwanetu huku mbinguni tuna kuaminia Nipo na malaika Gabriel,Moses tuna play magoma yako daily
Dish hili bovu kabisa friji lako litakua haligandishiNasema ukweli naumekasirika ndio zenu humu ndio maana siingiagi sana humu maisha yaendee mna chukuliaga wanawake nyota na kila kitu mmh tumeipitia
Nime maanisha Kwan ulikuwa unatakaje?Umemaanisha au limekutoka?
Nataka ukaimbe mbinguni nyimbo zote za Gozbert na kundi la malaika upo tayari kufanya hivyo?Nime maanisha Kwan ulikuwa unatakaje?
Kwani wewe ndio shetani mwenyewe au Unajikuta Mungu? Unatoa wapi mamlaka ya kuamrisha malaika?Nataka ukaimbe mbinguni nyimbo zote za Gozbert na kundi la malaika upo tayari kufanya hivyo?
Sasa wewe si umeandika nini pale juu? Aisee unavuta mpapai au majani ya mgomba?Kwani wewe ndio shetani mwenyewe au Unajikuta Mungu? Unatoa wapi mamlaka ya kuamrisha malaika?
SahihiHehe madhabau za watu zinapambana acha tuone mtanange
Navuta matako yakoSasa wewe si umeandika nini pale juu? Aisee unavuta mpapai au majani ya mgomba?
Mganga wako yule unaempelekeaga kuku hua akishachukua kuku anakurudishia au ndio anakua ameshaenda nae km atamla kitoweo au atamuuza ili aingize pesa wewe hilo halikuhusu akiamua amtupe au amchome moto haikuhusu pia ni wa kwake sio wa kwako tenaIla angerudisha kiroho safi
Report ya pepo aliekosea njia pepo toka hapaNavuta matako yako
Acha umama wewe pepo hatoki kisenge namna hyo..Report ya pepo aliekosea njia pepo toka hapa
Yeye ndio anaejua zaidi nini kimejiri na nini kimetokea zaidi, kwa kujua zaidi muulize yeyeNi kama upepo uvumao upendako, na hazichunguziki. Haya mambo ndivyo yanavyotakiwa kuwa, ukijua unaamua.