MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Kwanza Hajajipambanua, Ni Gospel Singer Au M Bongo Fleva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenye akili timamu hawezi andika hivi, Gozbert ni nani yako? Unamlisha? Wewe ndo unayempa anachokitaka. Mungu wake ndo amemshauri hivyo.Mpuuzi tuuu...amejiroga mwenyewee huyooo....sasa ndio kajiharibia kabisa atajuta maisha yoote
Si alisema alikuwa ana Miliki Herrier kabla hajapewa Benz?Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya management yake kuacahana alinyanganywa Accounts zake zote digital online ikiwemo YouTube.
Kosa kubwa ambalo amelifanya ni kukosa watu smart wa kumshauri nini hasa afanye.
Mziki unahitaji PESA, na uwekezaji mkubwa.
Sasa ikiwa hauna management nzuri utawezaje kutoboa.
I feel sorry to this guy kuamini Kuwait kalogwa while the problems ni PESA .
Boss wake wa zamani ndo huyu huyu Kwa sasa anamdhamini Obby Alpha.
Mali za kichawi zinarudishwa?Ila angerudisha kiroho safi
Sijamfatilia sana, lakini nimeitazama ile video siku anapewa gari na "nabii" aliulizwa kama ana gari au laa, akasema ana Harrier; sasa ukisema jamaa hajawahi kua na gari, I think humtendei haki. Again, huyu "nabii" imani yake imekua mbona inalalamikiwa na watu wengi sana? Mfatilie hata yule jamaa alishindaga BSS ya kina Salama Jabir, bwana mwinjilist Pascal, anamchanaga mara nyingi sana kwamba the guy sio mtumishi wa Mungu, Lema pia aliisha mchana sana kwamba ile imani ya huyo "nabii" is not Christianity. Again, Christina Shusho nae alivoendaga akapata mgao wa ile Tsh 10M, nae akakengeuka vibaya hadi kumuacha mumewe; hatujui mengi kuwahusu kina Gozibarti lakini imani ya "nabii" is too controversialGood luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya management yake kuacahana alinyanganywa Accounts zake zote digital online ikiwemo YouTube.
Kosa kubwa ambalo amelifanya ni kukosa watu smart wa kumshauri nini hasa afanye.
Mziki unahitaji PESA, na uwekezaji mkubwa.
Sasa ikiwa hauna management nzuri utawezaje kutoboa.
I feel sorry to this guy kuamini Kuwait kalogwa while the problems ni PESA .
Boss wake wa zamani ndo huyu huyu Kwa sasa anamdhamini Obby Alpha.
Eti nabii MkuuSijamfatilia sana, lakini nimeitazama ile video siku anapewa gari na "nabii" aliulizwa kama ana gari au laa, akasema ana Harrier; sasa ukisema jamaa hajawahi kua na gari, I think humtendei haki. Again, huyu "nabii" imani yake imekua mbona inalalamikiwa na watu wengi sana? Mfatilie hata yule jamaa alishindaga BSS ya kina Salama Jabir, bwana mwinjilist Pascal, anamchanaga mara nyingi sana kwamba the guy sio mtumishi wa Mungu, Lema pia aliisha mchana sana kwamba ile imani ya huyo "nabii" is not Christianity. Again, Christina Shusho nae alivoendaga akapata mgao wa ile Tsh 10M, nae akakengeuka vibaya hadi kumuacha mumewe; hatujui mengi kuwahusu kina Gozibarti lakini imani ya "nabii" is too controversial
Haa haa ha; ndio maana nimeweka alama za " "mahali pote nilipo nukuu cheo chake.Eti nabii Mkuu
Subiri akila mvua muende nae....kosa jinsiMtu mwenye akili timamu hawezi andika hivi, Gozbert ni nani yako? Unamlisha? Wewe ndo unayempa anachokitaka. Mungu wake ndo amemshauri hivyo.
Samahani mkuu,Sasa ikiwa hauna management nzuri utawezaje kutoboa.
I feel sorry to this guy kuamini Kuwait kalogwa while the problems ni PESA .
Boss wake wa zamani ndo huyu huyu Kwa sasa anamdhamini Obby Alpha.
Sio kumdhamini ni anamsimamia kwa njia zile zile alizotumia kwa Gozbert sasa subiri mlio utakaotoka kwa huyo Obby unaemuona anamaana kuliko Goodluck Gozbert, Gozbert wherever you're we're here to support you wewe fanya uachie mangoma sisi tutaya-push, hii ni new era that's the meaning of burning the old oneBoss wake wa zamani ndo huyu huyu Kwa sasa anamdhamini Obby Alpha.
Atajichoma mpaka yeye mwenyewe yaan unakaa na management ya kinyonyaji unafurahia? Jamaa sawa wamemtaitisha vibaya pasina kujua ila kabla ya yote sasa hivi afanye mambo kisheria zaidi na asiingie mikataba mibovu sababu ya njaa za muda mfupi huku management ikipiga mahesabu ya profit za miaka 100 na zaidi yaan nyimbo za Gozbert zitailipa previous management yake for the rest of their life as long as zinauzika kwenye digital platformsSasa obby alpha si atachoma nyumba!
You see this? Sasa hapa ndio wanasheria wanapokua na manufaa ya kukagua mikataba kandamizi km hii wewe huwezi ukafanya kazi kwa mkataba wa namna hio yaan unachukua 10 then management inakomba 90 nzima hio haikubariki kabisa that's nonsense, wanaomuona Gozbert hayupo sawa mimi nawashangaa maana naona km amepata mwamko ndani yake kujisimamia yeye anafanya kazi ile ni kazi ukiondoa hudumaNilichosikia tangu aanze msndja wake alikuwa mjanja kuliko yeye, anapewa less than 10% akawa anaona ni pesa huku meneja na mengineyo 90%
Kutoboa kwake ilikuwa kutojua anapigwa na meneja mlafi na mwizi wa yake.
Utaanza kujuta wewe na ukoo wako nyinyi ndio wale wachawi aliokua akiwaona kwenye lile gari ndio maana kalipiga kiberiti haya nendeni mkaroge kwengineMpuuzi tuuu...amejiroga mwenyewee huyooo....sasa ndio kajiharibia kabisa atajuta maisha yoote
Management 90%Kajishusha sana, pamoja na hit songs zote zile
Kweli umaarufu ni utumwa.