Kabla ya Good luck Gozbert kuchoma gari angeanza na kujiuliza maswali yafuatayo

Kabla ya Good luck Gozbert kuchoma gari angeanza na kujiuliza maswali yafuatayo

Kazingua big time
Ukiondoa huduma ile ni kazi anafanya kutengeneza faida na yeye ajenge maisha yake, sometimes kabla hujamjudge mtu tofauti try to wear his shoes, pamoja na negativity zote za watu kusema in a negative way but yote kwa yote yeye ndio anajua zaidi kuliko wewe
 
Sijaelewa, kachoma gari?! Kwanini?
Kwa sababu hata wewe ukivichoka viatu vyako vya zamani ulivyovichoka na huna pa kuvipeleka unaweza kuvichoma bila mtu kukuuliza kwanini umechoma makubazi yako? Si ya kwako au?
 
Anguko lake lilianzia pale alipoenda kukata mauno Fiesta.
Hayo mengine ni ziada.

Sasahivi tuna Goodluck new version wa kuitwa Lwaga
Ngoma ikivuma sana hupasuka.
 
Anguko lake lilianzia pale alipoenda kukata mauno Fiesta.
Hayo mengine ni ziada.

Sasahivi tuna Goodluck new version wa kuitwa Lwaga
Ngoma ikivuma sana hupasuka.
Yote ni sababu ya mkataba wa management unaelekeza nini? Endorsement zote haziendi kwa msanii direct zinaenda kupitia kwa management kwanza booking service zote haziendi kwake yeye km yeye zinapita kwenye management na management ikisema kuna kazi sehemu nenda kafanye wewe km wewe umesaini mkataba utakataa? Unajua kuna vitu kabla ya kujudge kaeni chini kwanza mfikirie
 
Management ikampeleka Fiesta
Naye kama Mtumishi wa Mungu akakubali kabisa?! Bila kuona tatizo lolote.

Ila analiona tatizo kwenye gari
Kwenye fiesta aaaaahhh!!
 
Management ikampeleka Fiesta
Naye kama Mtumishi wa Mungu akakubali kabisa?! Bila kuona tatizo lolote.

Ila analiona tatizo kwenye gari
Kwenye fiesta aaaaahhh!!
Hujanielewa na kuwaelewesha watu wenye mihemko km yako ni kipengele sana
 
Maelezo ni mengi sana lkn je?? Nyie manjua sana kuliko yeye
Hawa wanamjudge mtu ambae hawamchangii chochote kwenye career yake it's like they don't know apart from singing he is doing music business to make profit
 
Wewe mleta mada ni ZWAZWA, Gozbert anajua alichokifanya.
100% true sio kwamba ameshinikizwa na mtu ni maamuzi yake binafsi, kwa hio anajua good and bad ya kile anachofanya wewe haujui zaidi kuliko yeye maana wewe sio yeye (mleta mada)
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi andika hivi, Gozbert ni nani yako? Unamlisha? Wewe ndo unayempa anachokitaka. Mungu wake ndo amemshauri hivyo.
Hakika some people inabidi wawaishe mile mbe wakachekiwe akili kujudge cha mtu kisichokuhusu wewe kinakuuma nini?

Kachoma cha kwake na wewe basi tafuta cha kwako kipige moto kabla hajafanya alijiridhisha kwamba yupo sahihi kwa kila hatua atakayoipitia
 
Vijana wa mikoani wakifka dar wanachanganyikiwa na umaarufu na wengi huishia kubaya au kufilisika🤔
Soma mkataba wako mpaka mwisho usisaini mkataba bila kuusoma wote ikiwezekana waombe wakupe ukalale nao uchambue kifungo baada ya kifungo ndio uweke sahihi yako la sivyo mkataba utakufunga km sio kukuaibisha kabisa
 
Back
Top Bottom