Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Heheh! WALOKOLE WA KUCHOVYA.Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Subiri kwanza maisha ya mfunzeGood luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya management yake kuacahana alinyanganywa Accounts zake zote digital online ikiwemo YouTube.
Kosa kubwa ambalo amelifanya ni kukosa watu smart wa kumshauri nini hasa afanye.
Mziki unahitaji PESA, na uwekezaji mkubwa.
Sasa ikiwa hauna management nzuri utawezaje kutoboa.
I fell sorry to this guy kuamini Kuwait kalogwa while the problems ni PESA .
Boss wake wa zamani ndo huyu huyu Kwa sasa anamdhamini Obby Alpha.
HakikaSubiri kwanza maisha ya mfunze
HakikaKazingua big time
Sijaelewa, kachoma gari?! Kwanini?Kazingua big time
Taarifa muhimu hiziGood luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya management yake kuacahana alinyanganywa Accounts zake zote digital online ikiwemo YouTube.
Kosa kubwa ambalo amelifanya ni kukosa watu smart wa kumshauri nini hasa afanye.
Mziki unahitaji PESA, na uwekezaji mkubwa.
Sasa ikiwa hauna management nzuri utawezaje kutoboa.
I feel sorry to this guy kuamini Kuwait kalogwa while the problems ni PESA .
Boss wake wa zamani ndo huyu huyu Kwa sasa anamdhamini Obby Alpha.
Kuhusu gari ni kuchoma or kurejeshaGood luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya management yake kuacahana alinyanganywa Accounts zake zote digital online ikiwemo YouTube.
Kosa kubwa ambalo amelifanya ni kukosa watu smart wa kumshauri nini hasa afanye.
Mziki unahitaji PESA, na uwekezaji mkubwa.
Sasa ikiwa hauna management nzuri utawezaje kutoboa.
I feel sorry to this guy kuamini Kuwait kalogwa while the problems ni PESA .
Boss wake wa zamani ndo huyu huyu Kwa sasa anamdhamini Obby Alpha.
Mpuuzi tuuu...amejiroga mwenyewee huyooo....sasa ndio kajiharibia kabisa atajuta maisha yooteGood luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya management yake kuacahana alinyanganywa Accounts zake zote digital online ikiwemo YouTube.
Kosa kubwa ambalo amelifanya ni kukosa watu smart wa kumshauri nini hasa afanye.
Mziki unahitaji PESA, na uwekezaji mkubwa.
Sasa ikiwa hauna management nzuri utawezaje kutoboa.
I feel sorry to this guy kuamini Kuwait kalogwa while the problems ni PESA .
Boss wake wa zamani ndo huyu huyu Kwa sasa anamdhamini Obby Alpha.
Ni kama upepo uvumao upendako, na hazichunguziki. Haya mambo ndivyo yanavyotakiwa kuwa, ukijua unaamua.Akili za kilokole