zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ukiondoa huduma ile ni kazi anafanya kutengeneza faida na yeye ajenge maisha yake, sometimes kabla hujamjudge mtu tofauti try to wear his shoes, pamoja na negativity zote za watu kusema in a negative way but yote kwa yote yeye ndio anajua zaidi kuliko weweKazingua big time
Punguza kuwanga mzee wangu huu ni uchawi pro maxSubiri kwanza maisha ya mfunze
Kwa sababu hata wewe ukivichoka viatu vyako vya zamani ulivyovichoka na huna pa kuvipeleka unaweza kuvichoma bila mtu kukuuliza kwanini umechoma makubazi yako? Si ya kwako au?Sijaelewa, kachoma gari?! Kwanini?
Naam hili ndio jibu la upendo zaidi
Yote ni sababu ya mkataba wa management unaelekeza nini? Endorsement zote haziendi kwa msanii direct zinaenda kupitia kwa management kwanza booking service zote haziendi kwake yeye km yeye zinapita kwenye management na management ikisema kuna kazi sehemu nenda kafanye wewe km wewe umesaini mkataba utakataa? Unajua kuna vitu kabla ya kujudge kaeni chini kwanza mfikirieAnguko lake lilianzia pale alipoenda kukata mauno Fiesta.
Hayo mengine ni ziada.
Sasahivi tuna Goodluck new version wa kuitwa Lwaga
Ngoma ikivuma sana hupasuka.
Management ikampeleka FiestaYote ni sababu ya mkataba wa management unaelekeza nini? Endorsement zote haziendi kwa msanii direct zinaenda kupitia kwa management kwanza booking service zote haziendi kwake yeye km yeye zinapita kwenye management na management ikisema kuna kazi sehemu nenda kafanye wewe km wewe umesaini mkataba utakataa? Unajua kuna vitu kabla ya kujudge kaeni chini kwanza mfikirie
Hujanielewa na kuwaelewesha watu wenye mihemko km yako ni kipengele sanaManagement ikampeleka Fiesta
Naye kama Mtumishi wa Mungu akakubali kabisa?! Bila kuona tatizo lolote.
Ila analiona tatizo kwenye gari
Kwenye fiesta aaaaahhh!!
šššSijaelewa, kachoma gari?! Kwanini?
Hawa wanamjudge mtu ambae hawamchangii chochote kwenye career yake it's like they don't know apart from singing he is doing music business to make profitMaelezo ni mengi sana lkn je?? Nyie manjua sana kuliko yeye
Wewe unaonaga anaimba nini Gospel au Bongofleva?Kwanza Hajajipambanua, Ni Gospel Singer Au M Bongo Fleva
Itapendeza zaidiTumuombee
100% true sio kwamba ameshinikizwa na mtu ni maamuzi yake binafsi, kwa hio anajua good and bad ya kile anachofanya wewe haujui zaidi kuliko yeye maana wewe sio yeye (mleta mada)Wewe mleta mada ni ZWAZWA, Gozbert anajua alichokifanya.
Hakika some people inabidi wawaishe mile mbe wakachekiwe akili kujudge cha mtu kisichokuhusu wewe kinakuuma nini?Mtu mwenye akili timamu hawezi andika hivi, Gozbert ni nani yako? Unamlisha? Wewe ndo unayempa anachokitaka. Mungu wake ndo amemshauri hivyo.
Muulize tena akijibu nitagMali za kichawi zinarudishwa?
UKipewa hirizi na mganga ukiamua kuokoka unaichoma sio kuirudisha ,nakubaliana na wewe jamaa yuko sahihiKuhusu gari ni kuchoma or kurejesha
Angeuza mngesema hana hela,angempa mtu hasa mwanamke mngesema malaya,kulikua na option 2 tu.
Kuchoma or kurejesha
Soma mkataba wako mpaka mwisho usisaini mkataba bila kuusoma wote ikiwezekana waombe wakupe ukalale nao uchambue kifungo baada ya kifungo ndio uweke sahihi yako la sivyo mkataba utakufunga km sio kukuaibisha kabisaVijana wa mikoani wakifka dar wanachanganyikiwa na umaarufu na wengi huishia kubaya au kufilisikaš¤