Uchaguzi 2020 Kabla ya hii miaka mitano haijaisha, uwezo wa Mungu utakuwa umejidhirisha kwa wanaotuhumiwa kuhujumu uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Si lazima iwe leo au kesho kama unavyofikiri wewe.
Hata wewe keshokutwa unaweza kutokuwapo katika hii dunia sasa kwani una mkataba na mungu?
Unaweza kutangulia kabla ya huyo unaedhani.
 
Wameanza kupukutika mkuu
 
Kunywa maji upunguze stress za maisha yako!
 
Magufuli hakufaa hata kuwa mwenyekiti wa kijiji , nchi imekwama kibwege sana !
Sema umekwama wewe! Kila ufanyacho unafeli ulikuwa unamsema vibaya Mh. Tulia lakini sasa ni Naibu Spika tena, Ndugai ni Spika tena na Rais Magufuli anaendelea kupeta tu!
 
Haya mazuri yote unayotamani yawepo Tanzania, yamesheheni sana tu, sema mmejifunza muda mrefu kutazama mambo kwa jicho la "tea-sir" la KUPINGA "killer key-two," ndiyo maana weusi na gizagiza na utusitusi ni second necha ya mawazo na maneno yenu. Njooni, ulimwengu uko huku!
 
Magufuli hakufaa hata kuwa mwenyekiti wa kijiji , nchi imekwama kibwege sana !
Adui yako akiku-sea-fu sana na "chicken-shangilia" jiulize tena umekosea wapi. Akikukosoa na kukupinga, endelea hivyohivyo bila kubadili kasi, welekeo na approach.
 
Mungu huyuhyu aliehalalisha Africa kua bara la kitumwa? Mungu huyuhuyu anaetuletea viongozi vuvuli wa Mzungu? Hakika ni heri tukatwe vichwa ili viote vingine vyenye mitzamo mbadala
 
Amerika na Ulaya wapinzani hawaonekani kuwa ni wahaini,vyama vyao vinaachiana kuongoza nchi hata kwa muhula mmoja inatosha,wanafanya siasa za kiutu
 
Dua kuku hili,afu ni kosa kubwa sana kumwona Mungu ni muuwaji wa wanadamu,umejuaje Mungu ndio kapanga utawala huu na una hakika gani hawapendi watawala?
 
I got same vision and I don't know why. God remember us.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Imani hata wewe unaweza kujiaminisha ni Mungu.
Sawa hata mie nikijiaminisha kuwa ni mungu ndio imani hiyo na tunaweza kujadili kuwa ni sahihi ama si sahihi ila ukileta habari za uthibitisho hapo hatujadili tena imani.

Kwa sababu kungekuwa na uthibitisho basi suala la Mungu lisingekuwa imani.
 
Mkuu, wanalazimika kutumia figisu, hila, mizengwe, wizi, uonevu, utekaji, udanganyifu, rushwa, nk.. maana bila hayo, saivi likely wangekuwa ndo wapinzani
 
Amen, na iwe hivyo
 
..huwa ninajiuliza....hivi wakiacha chaguzi zikafanyika kwa haki na wakapatikana watu kwa haki shida iko wapi?...mbona nchi nyingi tu za kiafrika kama malawi wamefanya chaguzi za haki na viongozi wamepatikana na maisha yanaendelea...watu wanakua na raha gani kuwadhulumu wenzao haki zao??....hii kitu inachangia sana waafrika kurudi nyuma...maana unawatawalaje watu wanaojua umewadhulumu....yani kwanini tuliwakataa wakoloni weupe wakati nasi tunafanyiana yale yale tuliyoyakataa wakati wa ukoloni??
 
Kama ni hivyo basi africa ingekuwa powerful continent.
Africa isingekuwa masikini hata.
Wakoloni wasingetufanya watumwa.

Pia kikubwa waafrika wasingekuwa na ufahamu uliodumaa au Ujinga.
 
Mwaka 2015 ulibwabwaja hivyo hivyo! Ngoma hadi 2025!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…