BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Foleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni.
Magari yaliyotoka Dar es Salaam asubuhi ya saa 12 leo tarehe 14 Mei 2023 yamefika Dodoma saa 10 Jioni badala ya saa saba Mchana.
Magari yanayoenda Bukoba, Kigoma, Mwanza, Musoma, Tabora Singida n.k, ndo yameanza kufika Dodoma saa kumi badala ya saa saba mchana.
Mpaka muda huu foleni na inaenda kidogo kidogo sana.