Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia hadi chalinze tupo mikeseHuenda kuna ajali
Tupo mikese gari hazitembei naskia hadi chalinzemda huu au?
kama unaemdesh gari hapo.shida sanaTupo mikese gari hazitembei naskia hadi chalinze
Hakuna Gari inatembea aiseekama unaemdesh gari hapo.shida sana
Shida nini lakini?Toka mchana watu wanalalamika
mzee kikubwa ufike salamaHakuna Gari inatembea aisee
Hapo kila siku jioni kuna shida sana hapo sijui shida nini .......unapiteza masaa ya kutoshaFoleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni.
Magari yaliyotoka Dar es Salaam asubuhi ya saa 12 leo tarehe 14 Mei 2023 yamefika Dodoma saa 10 Jioni badala ya saa saba Mchana.
Magari yanayoenda Bukoba, Kigoma, Mwanza, Musoma, Tabora Singida n.k, ndo yameanza kufika Dodoma saa kumi badala ya saa saba mchana.
Mpaka muda huu foleni na inaenda kidogo kidogo sana.
Umefika wapi saa 12.30.Nilitoka Dar saa 6:00 kamili mchana nimefika saa 12:30 jioni! Gari za kutoka Moro kwenda Dar zitakuwa zilifika zaidi ya saa sita usiku.
Jana mbio za mwenge zilikua Msata njia ya Tanga.Mbio za mwenge
Morogoro, ninazungumzia Dar kwenda Morogoro tulitumia saa sita na nusu!Umefika wapi saa 12.30.
Uhovyo wetu umetufanya tuwasifu kwa jinsi wanavyojitajirisha kwa kutuibia pesa zetu huku wakitunyamazisha kuwajadili.Jana mbio za mwenge zilikua Msata njia ya Tanga.
Matokeo ya kuichagua CCM mnayaona LIVE bila chenga.
SGR ingekua inafanya kazi kero ingepungua Sana.
Exuberant primitive elite wanashindana kununua malori na mabasi. Mara huyu kaingiza Lori 500 Mara yule kaingiza mabasi Mia, wakati hao hao ndio wanatia sahihi SGR ijengwe kimagumash.
Nasi tulidhani ni mbio za mwenge lakini hatukuuona huo mwenge eneo hilo licha ya kuambiwa ulipita Jumamosi.Mbio za mwenge
Lakini ratiba ya mwenge haitavurugika. Iwe mvua, iwe jua. Barabarani mwenge una right of way. Inabidi msimame mwenge upite. Sasa najiuliza huu mwenge una manufaa kwa Nani haswa?Yaani tumekaa sana kwakweli, tulitakiwa kuingia mjini saa nne lakini tumeingia saa tisa za usiku na sijui shida nini. Ratiba zote zimevurugika hapa.
Duh! Hii hatariMorogoro, ninazungumzia Dar kwenda Morogoro tulitumia saa sita na nusu!