Kabla ya kufika Mizani ya Mikese, Morogoro kuna foleni kubwa sana, msaada kutoka kwa mamlaka

Kabla ya kufika Mizani ya Mikese, Morogoro kuna foleni kubwa sana, msaada kutoka kwa mamlaka

Rushwa Ndugu na Mizengwe!! Kwani hiyo mizani Bei Gani!? Vijana waliopo Kwenye mizani wanajiona wameyawini Maisha, wanafanya changeover huwa si pungufu ya masaa matatu!! Watu hawana pa kulalamikia ila ni KERO sana!!
Wanakera sijawahi ona! Na kinacho gharimu ni kuchezea mzani mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mizani ya Mikese ilifungwa waliruhusu magari yapite bila kupimwa, hivyo haihusiki na foleni kwani mengi yalikwama huku yakiwa yameipita mizani pande zote mbili.
Hii ni kweli. Foleni ilisababishwa na mambo mengine ikiwemo malori kuharibika, mwenge, na malori yenyewe kuwa mengi sana njiani pande zote
 
Back
Top Bottom