Poleni sanaFoleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni.
Hizi points hua zinatubeba mkuu[emoji116][emoji116]poor infrastructure
Kweli kabisa mi niliahidi mhe raisi akitangaza tu kujenga barabara hii kutoka kibaha Hadi Moro kuwa njia sita mi nitaanza kabisa kumpigia kampeni mapemaaaapoor infrastructure
Rushwa Ndugu na Mizengwe!! Kwani hiyo mizani Bei Gani!? Vijana waliopo Kwenye mizani wanajiona wameyawini Maisha, wanafanya changeover huwa si pungufu ya masaa matatu!! Watu hawana pa kulalamikia ila ni KERO sana!!Mzani wa kizamani alafu mibovu, hata hapo vigwaza ni mitihani mitupu
Mshauri tena na huyu mama tozoMwaka 2017 nilimshauri bwana yule kufunga matumizi ya mzani wa Mikese kwa kuwa matumizi ya mzani uliopo katika mkoa wa Pwani na ule wa Kihonda na Mikumi tayari ilikuwa inakidhi mahitaji ila kwa 'ujeuri' wake, akapuuzia. Endeleeni kuisoma namba ..
Sahizi yupo mwingine tena mama toa ushauri upya.Mwaka 2017 nilimshauri bwana yule kufunga matumizi ya mzani wa Mikese kwa kuwa matumizi ya mzani uliopo katika mkoa wa Pwani na ule wa Kihonda na Mikumi tayari ilikuwa inakidhi mahitaji ila kwa 'ujeuri' wake, akapuuzia. Endeleeni kuisoma namba ..
Nilitoka Dar saa 6:00 kamili mchana nimefika saa 12:30 jioni! Gari za kutoka Moro kwenda Dar zitakuwa zilifika zaidi ya saa sita usiku.Foleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni.
Magari yaliyotoka Dar es Salaam asubuhi ya saa 12 leo tarehe 14 Mei 2023 yamefika Dodoma saa 10 Jioni badala ya saa saba Mchana.
Magari yanayoenda Bukoba, Kigoma, Mwanza, Musoma, Tabora Singida n.k, ndo yameanza kufika Dodoma saa kumi badala ya saa saba mchana.
Mpaka muda huu foleni na inaenda kidogo kidogo sana.
Mizani ya Mikese ilifungwa waliruhusu magari yapite bila kupimwa, hivyo haihusiki na foleni kwani mengi yalikwama huku yakiwa yameipita mizani pande zote mbili.Foleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni.
Magari yaliyotoka Dar es Salaam asubuhi ya saa 12 leo tarehe 14 Mei 2023 yamefika Dodoma saa 10 Jioni badala ya saa saba Mchana.
Magari yanayoenda Bukoba, Kigoma, Mwanza, Musoma, Tabora Singida n.k, ndo yameanza kufika Dodoma saa kumi badala ya saa saba mchana.
Mpaka muda huu foleni na inaenda kidogo kidogo sana.
Mshauri tena na huyu mama tozo
Sahizi yupo mwingine tena mama toa ushauri upya.
[emoji3][emoji3][emoji3] usichoke ni nchi yako nawe bado unaishi tena humu humu Tanganyika, toa ushauri tu.Aaah! Mimi nimeshachoka na mambo ya nchi hii. Mniache nipumue! [emoji41][emoji41][emoji41]
Acha shutuma za uongo.Mzani wa kizamani alafu mibovu, hata hapo vigwaza ni mitihani mitupu