Kabla ya kufika Mizani ya Mikese, Morogoro kuna foleni kubwa sana, msaada kutoka kwa mamlaka

nimepita jioni kwa shida sana, nilitumia masaa manne toka bwawani mpaka mikese. na hakuna ajali ila nasikia ni manbo ya mwenge
 

Attachments

  • 41978B30-45BE-412C-B736-FC3B7CA331FE.jpeg
    966.6 KB · Views: 3
  • IMG_2096.jpeg
    752.1 KB · Views: 3
Hapo kila siku jioni kuna shida sana hapo sijui shida nini .......unapiteza masaa ya kutosha
 
Mbio za mwenge
Jana mbio za mwenge zilikua Msata njia ya Tanga.
Matokeo ya kuichagua CCM mnayaona LIVE bila chenga.
SGR ingekua inafanya kazi kero ingepungua Sana.
Exuberant primitive elite wanashindana kununua malori na mabasi. Mara huyu kaingiza Lori 500 Mara yule kaingiza mabasi Mia, wakati hao hao ndio wanatia sahihi SGR ijengwe kimagumash.
 
Uhovyo wetu umetufanya tuwasifu kwa jinsi wanavyojitajirisha kwa kutuibia pesa zetu huku wakitunyamazisha kuwajadili.
 
Yaani tumekaa sana kwakweli, tulitakiwa kuingia mjini saa nne lakini tumeingia saa tisa za usiku na sijui shida nini. Ratiba zote zimevurugika hapa.
 
Yaani tumekaa sana kwakweli, tulitakiwa kuingia mjini saa nne lakini tumeingia saa tisa za usiku na sijui shida nini. Ratiba zote zimevurugika hapa.
Lakini ratiba ya mwenge haitavurugika. Iwe mvua, iwe jua. Barabarani mwenge una right of way. Inabidi msimame mwenge upite. Sasa najiuliza huu mwenge una manufaa kwa Nani haswa?
Mwigulu? Makamba? Kihongosi?
Wananchi? Walimu? Binafsi haunisaidii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…