Rushwa Ndugu na Mizengwe!! Kwani hiyo mizani Bei Gani!? Vijana waliopo Kwenye mizani wanajiona wameyawini Maisha, wanafanya changeover huwa si pungufu ya masaa matatu!! Watu hawana pa kulalamikia ila ni KERO sana!!
Nipo kwenye tasnia na ninacho kuambia ndicho chenyewe! Hapo vigwaza tu kwenyewe sensor zipo na hazifanyi kazi, na si kwamba ni mbovu, basi tu ni hujuma na kuleta misongamano isiyo na tija
Mizani ya Mikese ilifungwa waliruhusu magari yapite bila kupimwa, hivyo haihusiki na foleni kwani mengi yalikwama huku yakiwa yameipita mizani pande zote mbili.