Kabla ya kuingia itikadi ya msimamo mkali Mashariki ya Kati ilikuwa huba ya kisomo, uvumbuzi na utulivu

Kabla ya kuingia itikadi ya msimamo mkali Mashariki ya Kati ilikuwa huba ya kisomo, uvumbuzi na utulivu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kabla ya wengi wa vijana wa kiarabu na kiajemi kurubuniwa ufahamu wao na mindset zao kuwa engineered katika fujo, force na chaos while kutupilia mbali utu na teknolojia, mahala pale palikuwa penye utulivu na intelect ya kutosha.

Pafyumu
Kinu cha kusindika miwa
Incense Burners
Vifaa na elimu ya unajimu
Uboreshaji wa kazi za ngozi
Mifumo ya umwagiliaji
Aljebra
Sabuni ngumu
Distillation ya mafuta ya taa

Na vingine vingi sanaa....

Beirut illitwa paris ya mashariki ya kati
Syria ndio ilikuwa kinara wa vivutio vya kale

Kongole kwa UAE kuachana mambo ya itikadi kali na kuendeleza kile ancestors wake wa kweli walichokifanya.
 
Nchi kama Qatar na Saudia Arabia zimejengeka vzr kimiundombinu na kiuchumi, hawawezi kujiingiza kwenye siasa za kivita mana wanajua hasara kubwa watakayoiingia, hizi nchi huwezi kuja kusikia wanaleta chokochoko kwa USA na Ulaya.
 
Tatizo ni moja tu USA kwa kumtumia Israel basi, hayo ya itikadi kali ni silaha mojawapo wanayoitumia. Wafadhili ni wao wa hayo makundi na si wengine.
 
Tatizo ni moja tu USA kwa kumtumia Israel basi, hayo ya itikadi kali ni silaha mojawapo wanayoitumia. Wafadhili ni wao wa hayo makundi na si wengine.
Duh nisingekutana na comment kama hii ninge log out

Kwahiyo kumbe shida ni america?
 
Back
Top Bottom