Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Wewe kwako huyo mungu wa kweli ni yupi, na anakusaidiajeKama unamuamini Mungu wa kweli, sasa kabuli la babu yako nila nini?? unaenda kutafuta nn??
mtu aliyekufa anaweza kukusaidia kitu..? wakati yupo huko na yeye anasubr hukumu yake.
NAONA UNAFANYA OPOTOSHAJI TU
Ndivyo ulivyofundishwa na whitesShetani ni malikia wa giza na giza ni rangi nyeusi rangi nyeusi uwakilisha uovu,uasi.Rangi nyeupe umaanisha nuru au mwanga.
Kwa mujibu wa ufahamu wa elimu ya mambo ya kirohoNdivyo ulivyofundishwa na whites
Mahubir ya Mungu wa kweli ni yupi unayahitaji...?Wewe kwako huyo mungu wa kweli ni yupi, na anakusaidiaje
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mimba iliingiajeKuhusu Kuabudu bikira maria ilo mbona liko wazi ni Ni ufedhuli unao fanywa na makanisa ya kiroma wabudu sanamu.
pili aliitwa bikira keasababu alibeba mimba bira kumjua mwanaume
Ila Wazungu waliokufa kuitwa Watakatifu na watu wanafundisha kuwaabudu ni sawa?Kama unamuamini Mungu wa kweli, sasa kabuli la babu yako nila nini?? unaenda kutafuta nn??
mtu aliyekufa anaweza kukusaidia kitu..? wakati yupo huko na yeye anasubr hukumu yake.
NAONA UNAFANYA OPOTOSHAJI TU
Ila kupiga magoti mbele ya masanamu ya watakatifu wa kizungu na misalaba kuomba ni sawa si ndio??Kuzuru makaburi ya wazee wetu sio mbaya wala haikatazwi hata kiimani,kinachokatazwa ni kuiomba roho ya marehemu, tunaomba kupitia jina la Yesu pekee.Kuyaenzi makaburi ni kuenzi historia yao maana still tunaunganiswa nao kupitia vitu walivyofanya mfano watoto hawa ni nyumba hizi ni za fulani.
Tunazuru makaburini kama historia na si kiimani.Mtu akishakufa kaburini pale ubakia mwili tu hasa mifupa roho yake haipo pale
Sio mimba tu,hata nyumba ulio nayo ilikuwa form of energy kwenye austral world kabla ya kuvaa mwili.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mimba iliingiaje
Mkuu naona kila mtu asimame kwenye imani yake iliyoletwa na wazungu na waarabu,Kama unamuamini Mungu wa kweli, sasa kabuli la babu yako nila nini?? unaenda kutafuta nn??
mtu aliyekufa anaweza kukusaidia kitu..? wakati yupo huko na yeye anasubr hukumu yake.
NAONA UNAFANYA OPOTOSHAJI TU
SiIla kupiga magoti mbele ya masanamu ya watakatifu wa kizungu na misalaba kuomba ni sawa si ndio??
#MaendeleoHayanaChama