Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

Huenda hakuna Mungu ila Shetani kashikilia kila kitu. Angalia kwa makini utaona Dunia inaendeshwa kishetani. Labda shetani ni Muumba wa kila kitu. Mungu unamuumba tu kwenye ubongo unaposhindwa kupata uvumbuzi wa jambo.
 
Umepotea ndugu.

Historia uliochimba wewe nichamtoto..

Kuna jamaa kafundisha, video ipo YouTube

kaelezea tangu jinsi gani watu waliingia ardhi ya Tanzania..
Makabila kama wanyamwezi, wahehe, wapare, wahiraki yalianzishwa vipi na kwa maana zipi,.
imani hizo za mizimu zilianza vipi tulizitoa wap...

Shule ya maana.

na Hitimisho ni.. Sisi watu wa mataifa nje na Israel mwanzo wote hatukumjua Mungu wa kweli tulifanya ibada za Sanamu na kuabudu miungu pasipo kujua (Tunaita ni zama za ujinga)

lakini sasa tupo ambao tumeijua kweli, Tunamuabudu Mungu tunae mjua, Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo.
Wewe hujaelewa cyo kwamba zaman walijuwa hakuna mungu ,,,,walijuwa yupo lkn waliomba mungu kupitia mizimu wakiamn mizim wapo
krb na mungu
 
Wewe hujaelewa cyo kwamba zaman walijuwa hakuna mungu ,,,,walijuwa yupo lkn waliomba mungu kupitia mizimu wakiamn mizim wapo
krb na mungu
wew ndie huelewi.

maana kwanza naona unaandika neno 'Mungu" unaanza na herufi ndogo, hapo tunaelewa unamaanisha miungu, sio Mungu muumba wa mbingu na Nchi.



na unachotakiwa kujua ni kwamba hata shetani nae ni mungu, hata chochote kinachoabudiwa ni mungu ila swali linakuja ni mungu yupi mwenye sifa zipi.?
 
Kama unamuamini Mungu wa kweli, sasa kabuli la babu yako nila nini?? unaenda kutafuta nn??
mtu aliyekufa anaweza kukusaidia kitu..? wakati yupo huko na yeye anasubr hukumu yake.


NAONA UNAFANYA OPOTOSHAJI TU

Nimeshihudia kwa macho mawili mvua inaombwa kwa mizimu na inanyesha,
Inamaana wanaweza kuwasaidia
 
Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now.

nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana na maelezo yake niligundua aya.

kuwa waafrika kabla ya kuja waarabu, wareno , waingereza, waberigiji, wafaransa, wahindi na wachina. waliamini uwepo wa mungu ila swala lilikuja pale kumuabudia huyo mungu.

Nini maana halisi ya neno "Mzimu"?

Mzimu ni marehemu, ambapo Kiafrika kiasili tuliamini kuwa wafu wapo karibu na Mungu hivyo tulikuwa tunaomba mizimu utusaidie maana wao wapo karibu na Mungu. Ni sawa na Wakatoliki wanavyoamini katika saints.

lakini kwenye dunia ya leo tunaamini

"Maana ya neno "Mzimu", ni Mashetani ambao ndio humuongoza kufanya maasi, wakati mtu anakata roho hao Mashetani hutoka, hao ndio "Mizimu". Mizimu ni Mashetani walio toka kwa WAFU, kutii Mizimu ni kutii Mashetani, na si kutii WAFU."

ila ukweli wa mambo ni kuwa neno SHETANI sio neno lenye asili ya kiafrica . Concept ya shetani imeletwa afrika. waafrika walikuwa hawaamini uwepo wa shetani.

Mzimu imefananishwa na shetani baada ya dini za kigeni kufika afrika ila
imani ya uwepo wa shetani imeletwa hapo mwanzo haikuwepo.

Waafrika wengi wanaamini mababu zetu hawakuamini Mungu bali mizimu. Kumbe sio kweli Mungu alikuwepo ila tuliamini ndugu zetu waliokufa walikuwa wanatuunganisha sisi na Mungu, hivyo ili maombi yako yafanikiwe unaongea na mizimu (marehemu wa ukoo wenu).

Waafrika tuliamini Mungu, ila tukaamini Mungu yuko karibu na wafu (mizimu/mababu na ndugu walokufa) ambao tuliamini wanaishi katika mibuyu na miti nk. Sio kwamba tuliabudu miti

Ndio maana dini za Kiafrika hazikuwa na wamisionari wa kusambaza kwasababu, kila mtu aliomba Mungu kupitia mizimu ya ukoo wao. Mizimu ya ukoo wa mwezako ulikuwa hakusaidii hivyo hakukuwa haja ya kusambaza dini za asili, kila mtu aliomba kikwao.

Ila watu weupe ndio wakatufunza kuwa Mungu kwa imani zetu sio sahihi. Kwahiyo wasingekuwa wao bado tungeamini Mungu kinamna yetu.

nakualika kaka MshanaJr katika kutoa mawazo yako katika hili andiko

Mizimu ni kumuabudu shetani kwa mujibu wa Biblia. Na baada ya Mungu kumteua Ibrahimu Baba wa Imani hakuna kumuabudu Mungu wa Mbinguni bila kupitia kwa Bwana Yesu ama Taifa la Israel.
linalotokana na Yakobo wa uzao wa Isaka na Ibrahimu.

Mfano Mzuri wa kwamba kuabudu Mizimu ni kumuabudu Shetani soma Kitabu Katika Biblia cha Waamuzi Mlango wa Sita mambo ya Muamuzi Gideoni na Madhabahu ya Mizimu ya Shetani ya Baba yake. Hapa nimetumia Biblia sijui kuhusu Imani nyengine zinawafundisha vipi waumini wake.
 
Nimeshihudia kwa macho mawili mvua inaombwa kwa mizimu na inanyesha,
Inamaana wanaweza kuwasaidia
Ndio shetani uwezo wa kuleta mvua anao na hata kuzui.
Lakini unachotakiwa kujua Mungu muumba wetu, akiamua kuzuia kazi fulani ya shetani uwezo huo anao.

Na kikubwa unatakiwa kujiuliza je ni nini hasara ya kumtegemea Shetani na faida ni ipi.
 
Lakini kinachonishangaza, sanamu la shetani ni jeusi tena la kutisha. Sanamu ya Yesu ni nyeupe na ya kuvutia, hapo Kuna nini?
 
Umepotea ndugu.

Historia uliochimba wewe nichamtoto..

Kuna jamaa kafundisha, video ipo YouTube

kaelezea tangu jinsi gani watu waliingia ardhi ya Tanzania..
Makabila kama wanyamwezi, wahehe, wapare, wahiraki yalianzishwa vipi na kwa maana zipi,.
imani hizo za mizimu zilianza vipi tulizitoa wap...

Shule ya maana.

na Hitimisho ni.. Sisi watu wa mataifa nje na Israel mwanzo wote hatukumjua Mungu wa kweli tulifanya ibada za Sanamu na kuabudu miungu pasipo kujua (Tunaita ni zama za ujinga)

lakini sasa tupo ambao tumeijua kweli, Tunamuabudu Mungu tunae mjua, Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo.
Wazungu wana asili ya uzaramo kabisa.

uswahili mwiingi mixer michambo,

matendo kidogo sana tena itategemea una nguvu kiasi gani😅😅

Umepotea ndugu.

Historia uliochimba wewe nichamtoto..

Kuna jamaa kafundisha, video ipo YouTube

kaelezea tangu jinsi gani watu waliingia ardhi ya Tanzania..
Makabila kama wanyamwezi, wahehe, wapare, wahiraki yalianzishwa vipi na kwa maana zipi,.
imani hizo za mizimu zilianza vipi tulizitoa wap...

Shule ya maana.

na Hitimisho ni.. Sisi watu wa mataifa nje na Israel mwanzo wote hatukumjua Mungu wa kweli tulifanya ibada za Sanamu na kuabudu miungu pasipo kujua (Tunaita ni zama za ujinga)

lakini sasa tupo ambao tumeijua kweli, Tunamuabudu Mungu tunae mjua, Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo.

Hitimisho ni.. Sisi watu wa mataifa nje na Israel mwanzo wote hatukumjua Mungu wa kweli tulifanya ibada za Sanamu na kuabudu miungu pasipo kujua (Tunaita ni zama za ujinga)
Research juu ya nini chanzo cha imani ya hao wazee wa zaman unayo? Hiyo ibada ya sanamu ilianzaje ? Kwann waita miungu wakati hujui hata asili yake?
 
Adam(a.s) ni mtu na Mtume wa Allah(s.w) wa kwanza. Adam(a.s) ameumbwa kwa udongo uliofinyangwa ukafanywa kuwa sanamu la mtu kisha likapuliziwa roho na kuwa mtu kamili kama tunavyofahamishwa katika Qur-an:
Na (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi nitamuumba mtu kwa udongo mkavu unaotoa sauti, wenye kutokana na matope meusi yaliyovunda.”“Basi nitakapomkamilisha na kumpulizia roho inayotokana na Mimi, basi mumuangukie kwa kumtii.” (15:28-29)


NOTE
Kumbe Adam kuumbwa kwake aliumbwa udongo mkavu,,unaotoa sauti,,WENYE KUTOKANA NA MATOPE MEUSI YALIYOVUNDA.

Hii kitu huwa inanifanya niamini kabisa sisi watu weusi tuna kitu cha ziada,,sisi ndio msingi mkuu,,sisi ndio binadamu grade one (toleo la kwanza kabisa) ila sasa sijui ni kwanini hawa wenzetu wametupiga GAP kwenye mambo mengi [emoji23][emoji23][emoji23]
Upuuzi mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
chief, sijapotea hata kidogo uwenda ww ndo haujanielwa sina maana simuamin mungu ... ila tafsir iliyoletw na tuliyotenengezewa kuwa mizimu ni mashetan haipo sawa . na mpaka leo tunaogopa kwenda kwenye makabuli ya wazee wetu tukiamini ni sehem ya hatari wakati wenzetu wao wanapapambana na wanasema waliolala ni watukufu
Kuzuru makaburi ya wazee wetu sio mbaya wala haikatazwi hata kiimani,kinachokatazwa ni kuiomba roho ya marehemu, tunaomba kupitia jina la Yesu pekee.Kuyaenzi makaburi ni kuenzi historia yao maana still tunaunganiswa nao kupitia vitu walivyofanya mfano watoto hawa ni nyumba hizi ni za fulani.
Tunazuru makaburini kama historia na si kiimani.Mtu akishakufa kaburini pale ubakia mwili tu hasa mifupa roho yake haipo pale
 
Bikra maria bado yupo hai au sio???

Halafu anakuwaje bikra wakati alikwisha zaa???
Mtu aendelei kuwa bikira baada ya kuzaa,Anaitwa Bikira Maria kama cheo cha heshima akiwa kama daraja la Yesu Kristo kuwepo duniani.Bikira Maria yupo mbinguni na ajawahi rudi tena duniani baada ya kifo chake.Anaejifanya Bikira Maria na eti uwatokea watu ni jini wa kike anaitwa malikia wa kuzimu au Queen of Coast au malkia wa pwani.
 
Mara nyingi wakiweka mfano wa picha ya shetani huweka picha yenye rangi nyeusi yaan ni black
Shetani ni malikia wa giza na giza ni rangi nyeusi rangi nyeusi uwakilisha uovu,uasi.Rangi nyeupe umaanisha nuru au mwanga.
 
Samahani mkuu.

Unamzungumzia huyu Mungu alieshindwa Kujua walipo Adam na Hawa baada ya kuasi hadi akaita ADAMUUU UPO WAPI???

unamzungumzia huyu Mungu mwenye wivu??

Unamzungumzia huyu Mungu ambae alimtaka Ibrahim amchinje mwanae Isaka Ili ajue kama ana imani thabiti kwake???

Unamzungumzia huyu Mungu alieua wazawa wa kwanza wa Wana wa Israel waliokataa kupaka damu Milangoni???


Kama ndo huyo huyo, basi Mungu wenu ni FARA
Mbona ummemtaja kwa mabaya pekee
 
TULIAMINI HIVYO SABABU SHETANI KIPINDI HICHO ALIKUWA HAJAZALIWA HUKU AFRIKA.ALIPOKUJA MUZUNGU KAMILI SHETANI AKAHAMIA AFRIKA AKIWA MTU MZIMA NA MENO YAKE.SHETANI NI MUTU NYEUPA.
 
Back
Top Bottom