Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

Ww ni mfupi sana na hujui mjadala unahusu nn,mambo uliyoorodhesha hapo yanaonyesha kwa kiasi gani huelewi the centre of the discussion,bro try to capture the difference,mnaandika mambo mengi sana ambayo ni nje ya kiini cha mjadala.
 
Ndugu yangu watu hawaelewi na wanadhani wanaojadiliana nao ni wafupi kama wao,wakati ule tulikuwepo na watu waligiga kelele Hv Hv kuhusu ubinafsishaji wa kukurupuka kunako ambatana na uvivu wa kusoma volume za mikataba matokeo yake ni kuingia kwenye mikataba ya kipumbavu na kishenzi leo hatunufaiki na madini yetu kisa mikataba ya kipumbavu ambayo vilaza walisain huko nyuma,sasa wajinga wasio elewa nchi na tulikotoka na madhara yaliyopo wao wanashabikia tuendelee na mikataba ya kijinga,na kwa kuvunja record sasa SAMIA anaenda kuuza mpaka nchi na watu wanashabikia.ujinga mkubwa kabisa.
 
The boss tupo humu jukwaani mda tu pamoja.
Kuna mambo huwa unakengeuka sana.
Hao Marais wastaafu tuwaache tuongee kilichopo mezani sasa.
 
Hizi mada ni za wasomi,
wale wanaopiga makelele ya bandari kuuzwa, wakati wanaishi nyanda za juu kusini mwa mwakaleli na wengine wanazungusha bodadaboda huko nyegezi hawataelewa kitu
Wa mwakaleli tuna ku zoom tuu hapa.nyie wa darsalamu mnatuangusha kwenye vitu vingi.ujanja wenu wote Bado mnaichagua ccm huko mjini
 
Mtahangaika sana na kuhaha kutafuta mifano mibovu, lakini hamtaweza kupata mfano unaoweza kulingana na ubovu wa kuiuza nchi kama inavyofanywa sasa hivi na Samia.

Na kitu mnachotaka kuwaaminisha watu ni kwamba kelele mwishowe zitakwisha. Hazitakwisha safari hii; kwa sababu huu ni mfano wa kipekee kabisa ya aina ya mikataba iliyowahi kuingiwa na nchi hii.

Watu hawatanyamaza, na wala hawatasahau. Msije mkashangaa yakatokea ambayo hayajawahi kutokea, huku mkisubiri watu washau na kunyamaza.
 
The boss tupo humu jukwaani mda tu pamoja.
Kuna mambo huwa unakengeuka sana.
Hao Marais wastaafu tuwaache tuongee kilichopo mezani sasa.
Huyo jamaa siku hizi kajipambanua kwelikweli.
Bila shaka anazo hisa maalum katika utawala huu wa Samia.
Hajawahi kujitokeza namna hii anavyofanya sasa.
 
Hii mada ni nzuri,lakini let's address the elephant in the room,mkataba wa DP,upoje?je unafsnana na hiyo aliyoingia mkapa na makaburu?
Tusilete histolia kwenye ishu hii,hii ishu tuijadili kwa data zake,
Mkapa alifsnaya vzr kwa NMB,ila tusisahahu aliiuza NBC kwa Bei ya kutupa,raia waliokosa huduma Bora za jamii kipindi hicho,kwa vile msapto ya kuuza NBC yaliliwa na wajanja,huwezi kuwalipa chochote.
Mkapa alijiuzia kiwira mining,mkapa alazimisha nchi inunue rada ya kijeshi kwa Bei kubwa,ili kuisaidia kampuni ya UK isifilisike,hakuwa malaika.
 

sio kwamba wanao piga hawajui ukweli bali wameamua kwa maksudi kupotosha ukweli kwasababu hawataki kuona Mama anafanikiwa kuipaisha nchi katika utawala wake.

kinacho takiwa kwa Serikali yetu ni kusonga mbele kwa mbele.
 
Bado hujajibu maswali ya msingi, je wanawekeza kwa muda gani? Je wanawekeza kwenye bandari ipi maana kwenye mkataba wamesema bandari za bahari na maziwa makuu, je walishindanishwa na nani mpaka wao wakaonekana kuwa bora zaidi? Maana hata mtoto anayekuwa wa kwanza darasani akiwa na average ya marks 25 ni bora ila ni bora kwenye wajinga pia umeeleza walikowekeza kwa mafanikio ila Mbona hujaeleza walikovurunda na kila kukicha ni migogoro?
Mbona huelezi mkataba unavyowapa hao waarabu hadhi ya state within the state? Mbona hujaeleza namna mkataba wao unakiuka hata baadhi ya sheria zetu kama nchi?
Kwakweli hata uandike kitabu kikubwa mithili ya biblia takatifu bila kutolea ufafanuzi masuala hayo na mengine ya msingi ambayo watu wanayauliza utakuwa umeandika porojo na kutafuta huruma.
 
Vifungu vingine watakuwa tayali kubadilisha lakini hiki cha kusuruhishwa kwenye mahakama zetu hawatokibali,mfano dangote kawekeza wakati wa jakaya kaja magu kampiga teke,hawa watu sio wajinga lakini bora wangeacha tu kuwapa TRA waendelee kuniria
 
Vifungu vingine watakuwa tayali kubadilisha lakini hiki cha kusuruhishwa kwenye mahakama zetu hawatokibali,mfano dangote kawekeza wakati wa jakaya kaja magu kampiga teke,hawa watu sio wajinga lakini bora wangeacha tu kuwapa TRA waendelee kuniria
 
2. Kwa nini mkataba haujajumuisha bandari za Zanzibar?.
Bandari za Zanzibar zina mzigo kiasi gani shehe (exports & imports) hadi zijumuishwe kwenye bandari za TPA(bara)?

Bandari za Tanga na Mtwara, na bandari za Maziwa Makuu(LV na LT), zikisimama moja moja zina shehena kubwa kuliko shehena yote ya nchi ya Zanzibar, lkn bado hizi bandari hazijumudu kwenye gharama za Uendeshaji na humtegemea ng'ombe mwenye maziwa - bandari ya Dar ili kujiendesha, sasa unataka na Zanzibar wajumuishwe waanze kunyonya maziwa ya Dar port? Si mtaanza tena kulalamika?
 
Zanzibar kuna biashara gani mpaka ijumuishwe? Meli yenye Contena 5,000 itashusha Zanzibar kwa biashara gani? Unajua mahitaji ya Zanzibar kwa Mwezi? Umejiuliza zanzibar inaingiza kiasi gani kwenye bandari zake? Haiwezekani mtu awekeze pesa nyingi halafu ale hasara, Kwani Rwanda, Burundi, Uganda, Zambia, Malawi wanachukulia mizigo yao Zanzibar,

Mbona mnajifanya hamjui au kuona?
 
Kama mpaka bandari kavu za zimejumuishwa kwenye mkataba zinashindikana Vipi za Zanzibar kuwemo?.
 
Mbona majibu yametoka..hukusikia?
Imesainiwa IGA.. intergovernmental agreement...Mkataba wa bandari lazima utakuwa na kikomo..na mda wa review utakapo sainiwa.. huelewi nini?Bunge limeridhia serikali iende kuingia mkataba.., mkataba halisi bado...
Kwahiyo makubaliano sio mkataba. Mbona akili hamna nyie chawa.
 
Akili ya kufanya analysis ya chochote ataitoa wapi ili hali akili yake ina ukungu wa UDINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…