Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jomba hebu weka pembeni mambo ya vyama, havitakuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kujishughulisha.Na maendeleo ya CHADEMA yataletwa na nani?
Basi na wewe acha siasa za kusema Rais hahusiki na maendeleo ya nchi.Jomba hebu weka pembeni mambo ya vyama, havitakuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kujishughulisha.
Hakuna makosaHatuwezi kuendelea kuishi kwenye makosa kisa fulani alifanya makosa
Soma na mchango huu tenaKinachonisikitisha ni kushindwa kufahamu kwamba uendeshwaji wa benki za kibiashara (Commercial Banks) ndani ya nchi, hutegemea sana sheria na sera za uchumi (Fiscal & Monetary Policies) ambazo zinaratibiwa na benki kuu ya nchi ya Tanzania. Mabenki ni makampuni, lakini uendeshwaji wake hauko sawa na makampuni mengine. Mabenki hutumia mfumo wa FRACTIONAL RESERVE BANKING, kusema ni pesa za nje peke yake na wawekezaji ndiyo wametuinia ni kututukana watanganyika.
Hivyo unavyotoa mifano ya CRDB na NMB kufanikiwa, fahamu fika kwamba BOT imefanya kazi kubwa mno hadi hizi benki kusimama. Raisi Mkapa ataendelea kulalamikiwa kwasababu yeye aliziuza hizi benki kiholela jambo ambalo halikuwa sahihi kabisa. Halafu kama umefuatilia vizuri, kuna sababu nyingine kadhaa wa kadhaa, zinazofanya benki ya NMB kufanikiwa, mbali na mitaji ya wazungu.
Lakini mwisho kabisa nashangaa wewe umeshindwa kung'amua jambo rahisi kabisa ambalo hata mtoto wa chuo angeweza kuling'amua. Mkataba wa bandari na mkataba wa ubinafsishwaji wa mashirika ya ummah kipindi cha Mkapa ni tofauti kabisa. Kwenye mikataba mingi ya Raisi Mkapa, Tanzania bado inamiliki hisa za kutosha ambazo zinaipa nchi nguvu kubwa ya maamuzi hasa kwenye upigaji wa kura. Kubwa zaidi ni kwamba maamuzi ya mwisho ya usimamiz wa hizi benki uko chini ya usimamizi wa BOT na siyo wawekezaji wa nje.
Mkataba wa DP World, unainyang'anya Tanzania haki ya kufanya chochote kile. Tena hata kufikiria walishindwa wakasaini mkataba baina ya Tanzania na DP World ambalo ni shirika binafsi. Kule Djibouti, serikali iliunda kampuni ambalo liliingia ubia na DP World na kumiliki hisa zaidi ya asilimia 60%. Sisi huku tumefanya mambo ya hovyo kupita kiasi, ambapo zaidi ya kukusanya kodi hatuna chetu. Hivyo hata wafanyakazi wa bandari wanaweza kufukuzwa na tusiseme chochote kile.
Kikubwa mkataba huu wa bandari ni LOCK-OUT AGREEMENT, ambapo imewekwa bayana kabisa kwamba mashirika mengine ya ndani au kutoka nje hayataruhusiwa kuja kuwekeza kwenye bandari za Tanzania. Hivyo DP World wamepewa EXCLUSIVE RIGHT OF OWNERSHIP WHICH CREATES A MONOPOLY OVER OUR NATIONAL ASSETS. Mtu yoyote yule mwenye akili timamu na mwenye uzalendo na hii nchi, kamwe hawezi kushabikia huu ufedhuli.
Kule Uingereza ambako haki za binadamu zimeshika hatamu, DP World ilifukuza maelfu ya wafanyakazi wa kizungu wa shirika la P&O Ferries baada ya kulinunua. Sasa huko ni Uingereza, hapa Tanzania unadhani kitawakuta nini wale wafanyakazi wa bandari ? Mambo mengine muwe mnatumia akili nyie watu, siyo matumbo. Sasa hebu nikupashe kidogo:
Mwaka 2020, serikali ya Djibouti ilifunguliwa mashitaka na shirika la DP WORLD kwasababu lilivunja haki yake ya umiliki wa bandari za Djibouti bila kuingiliwa (Breach of Exclusive Rights), kwasababu serikali ilitaka kulipa shirika la China Merchants haki ya kuwekeza kwenye bandari ya Doraleh. Serikali ya Djibouti na China Mechants ziliburuzwa kwenye mahakama za kimataifa na kuamriwa walipe dola za Kimarekani milioni 200.
Ikumbukwe China Merchants ndiyo shirika linalotaka kuanzisha mradi wa bandari ya Bagamoyo, lakini baada ya huu mkataba kupita hiyo haki hawana tena. Unafahamu nini kinaenda kutokea hapa ? Bandari ya Bagamoyo inaweza ikaenda kujengwa nchini Kenya na tusibaki tunaamini chochote hapa. Ikumbukwe mpango wa serikali ya Uchina kipindi cha Raisi Hu Jintao ni kwamba bandari ijengwe kule Kenya lakini wakaamua kujenga Tanganyika. Sasa hapa unadhani nini kitawazuia wakenya kuwaruhusu wachina wajenge Kenya ? Subirini muone...
MWISHO KABISA:
Leo nimemsikiliza Tundu Lissu akichambua kuhusu mkataba wa DP World, ambapo amesema kwamba huu ndiyo mkataba wa ajabu kuwahi kusainiwa na serikali ya Tanganyika tokea mwaka 1920. Mimi nasema amekosea na hajafanya tafiti za kutosha. Mkataba kama huu ulishawahi kusainiwa na serikali ya Muingereza, Mbelgiji na Mfaransa juu ya matumizi ya bandari ya Dar es salaam.
Mkataba ulihusisha makoloni ya Tanganyika, Rwanda, Burundi na Congo DRC na uliitwa THE BELBASE TREATY, ambao ulisema kwamba makoloni ya Rwanda, Burundi na Congo yataruhusiwa kutumia bandari ya Dar es salaam kwa kipindi kisicho na ukomo (Infinitely/Indefinate Time), huku wakilipa kiasi cha paundi 2 za Uingereza kwa serikali ya Tanganyika. Mwalimu Nyerere kawa Waziri Mkuu akaukuta huu mkataba, yeye na Mzee Lusinde akiwa waziri mwenye dhamana waliuvunja huu mkataba bila kufikiria mara mbili kwasababu ulilenga kuiumiza Tanganyika na kuuza uhuru wake.
Hii IGA baina ya Tanzania na Dubai, ina mahadhi hayohayo ya The Belbase Treaty, kwamba waarabu wapewe bandari zetu zote za Tanganyika kwa kipindi kisicho na ukomo. Halafu wakaenda mbali zaidi kusema kwamba "Even in case of state succession, a new state shall be bound by the same treaty." Wakimaanisha kwamba hata leo hii muungano ukivunjika, serikali ya Tanganyika itakuwa imefungwa na huo mkataba ambao umesainiwa na watu watatu kutoka Zanzibar. Sasa kama huku siyo kuiuza Tanganyika ni nini ?
NB 1: Kila siku nilikuwa najiuliza nini kilipelekea wafaransa (The Jacobins) wakachanganyikiwa na kuwa na hasira kiasi cha kumuua mfalme wao Louis IV na familia yake bila huruma, kumbe mambo huwa yanaanzaga hivihivi.
Kule Yugoslavia muungano wao ulikuwa na amani kwelikweli kipindi cha mkomunisti Josep Broz Tito, lakini huwezi kuamini jinsi ambavyo wakristo wa kutoka Serbia walifanya ukatili kwa kuua maelfu wa Waislamu kutoka Bosnia na Kosovo kisa tu hawa waislamu walikuwa wanataka uhuru wao, hivyo wakaanza kushirikiana na mataifa ya kiislamu kama Uturuki ili kuhujumu nchi. Hadi leo Serbia, Bosnia na Croatia ni maadui utadhani siyo ndugu (Slavs) waliowahi kuwa nchi moja.
NB 2: Ukweli tunaufahamu kwamba mbali na kusingizio cha kufungua nchi na kuita wawekezaji kutoka nje, nyuma ya hizi siasa za Raisi Samia kuna kaharufu kakali ka UDINI. Wengi mnamtete Samia kwasababu tu ni mwenzenu kwenye imani. Hata wengine wanaomponda wanafanya hivyo kwasababu za kidini, hata kama watapinga. Sasa kama mambo ndiyo yako hivi, siku siyo nyingi Tanzania itakuwa imejaa chuki kubwa mno ya DINI.
Watanzania meingizwa kwenye mtego na ninyi mmejaa mazima.....Nawapa pole!
Na kuendelea kukaza fuvu' nitaamini ni walewale waliolipwa kuandika ujingaSaga la NBC in the long run limeiyumbisha sana Tanzania kuliko tunavyoweza kufikiri hasa kiuchumi.
Ilikua ni matakwa ya IMF kuiua NBC ili sekta binafsi ya kibenki iweze furukuta lakini kilichoipata NBC leo hamna mpambe anataka kizungumzia. Sekta ya benki imekua Yes... je implication yake kwa uchumi wa nchi ikoje ukilinganisha na nguvu ya NBC ya wakati ule? Je why benki nyingine zisingekuja kupambana na NBC?
Mkapa amekiri mara nyingi hadharani na kwenye kitabu chake kuwa ubinafsishaji kwa sehemu kubwa alikosea maana 80% ya mashirika ya umma yaliingia mifukoni mwa matapeli!
Hoja zile sile waliosimamia watu juu ya uwezo na aina ya mikataba ya hovyo ya ubinafsishaji ndizo zilikuja kuonekana wazi kweli waliopinga walikua na hoja tena kubwa sana.
Vipi NET group Solutions? ATCL? TRL?
Meremeta? Na mengine?
Shida yetu kubwa tunakimbilia sana kwenye petty issues when it comes to analysis
Mfano huu mkataba wa Tanzania na DP World ni wa hovyo usioelezeka! Hoja si kubinafsisha bandari Hoja ni mkataba wa hovyo!
Madini hadi leo yametufikisha wapi ukitulinganisha na Botswana na SA? Mbona kwao pia kuna sector binafsi?
HOJA sio ubinafsishaji hoja aina ya mikataba ya kishenzi ambayo nchi zetu zinaingia.
Mkuu si kila kitabu kinafaa kusomwa vingine tunaangalia pichaHizi mada ni za wasomi,
wale wanaopiga makelele ya bandari kuuzwa, wakati wanaishi nyanda za juu kusini mwa mwakaleli na wengine wanazungusha bodadaboda huko nyegezi hawataelewa kitu
Hilo ni genge la wasukuma wanaouota urais 2025, wengine ni nyumbu tu wanaofuata mkumbo wasiouelewa. Mtu anayeweza kuwasikiliza watu km Jenerali Ulimwengu, Tundu Lissu na huyu Dr. Wilbroad Slaa ana roho ngumu km mwendawazimu. Hawa watu hawajawahi kuwa positive ktk jambo linalofanyawa na serikali. Ni watu walalamishi ktkt kila jambo, badala watoe angaliu ushauri wa kujenga ni kulaumu, kupotosha. Mwisho kanisa Katoliki, hili kanisa ni hatari sana kwa ustawi wa binadamu, ndio waliosababisha mauaji ya halaiki Rwanda. Kanisa hili inaongozwa na watu wanafki, wabinafsi, wabaguzi, wadini, wezi wa mali za umma, wadhulumaji wakubwa, ukitaka kujua kafanye kazi ktk taasisi yao, ni makatili, mishahara midogo ya kinyonyaji, watu wa dili hatari.Sisi wengine tulikuwepo wakati Rais Mkapa (1995-2005)anatukanwa kila siku kuwa "anauza nchi Kwa makaburu".....ilifikia wakati hadi nyimbo zilitungwa zikimuimba naukumbuka wimbo mmoja .."Kama sio juhudi zako Nyerere, Mkapa angeuza nini"???..Mkapa alikuwa anatukanwa kisa ni kuleta wawekezaji wa kampuni zisizo zaidi tano kutoka Afrika Kusini..
Walikuja kuwekeza
1.TBL
2.. NBC
Zingine nimezisahau....Leo...
Uwekezaji wa NBC ulipelekea Serikali kuanzisha NMB ambayo nayo waliletwa Waholanzi kununua hisa zisizozidi asilimia 5..waka provide management baadae waholanzi wale wakashangaa jinsi soko lilivyo kubwa wakaomba kununua hisa zaidi now nasikia ni asilimia 25.
Mabadiliko ya sekta nzima ya Benki aliyoyasimamia Rais Mkapa kipindi kile Leo yamepelekea tuwe na sector ya bank kubwa inayofanya kazi Kwa ufanisi.
NMB Leo ni kubwa kuliko Zanzibar GDP..na bank zote 3 kubwa Tanzania.. NMB, NBC na Crdb ni kubwa kuliko Uchumi wa Burundi...
Haya yote yasingewekana kama Rais Mkapa angeogopa "kuitwa fisadi anaeuza nchi Kwa Makaburu"...kipindi kile usingeweza kumuelewa Mkapa ...since watu waliokuwa wanaompinga walikuwa Wana influence ya kutosha ..tukianzia na Mwl Nyerere.....Na Magazeti ya Jenerali Ulimwengu yaliyokuwa Yana influence kubwa Sana Kwa jamii ya wasomi na wakosoaji wakubwa. ungeweza fikiri nchi inauzwa kweli ukifatilia mijadala...
Leo hizo banks zote 3.. NMB na Crdb zinamilkiwa na watanzania asilimia 70 NBC pia Serikali bado ina hisa za kutosha na zote hizo serikali inapokea gawio la kutosha...wale waliokuwa wanasema Mkapa anauza nchi Kwa makaburu wamenyamaza kiimya na sasa wamehamia kwenye "Samia anauza nchi Kwa waarabu" as if nothing happened...wala hawajawi jiuliza walichokuwa wanapinga kipindi kile na Hali ikoje leo? Walikuwa sahihi??
Kama hawakuwa sahihi kwanini wasiombe hata radhi in public hapo hata waliokuwa washauri wa Mkapa ambao bado wako hai wafarijike??...kama Mkapa aliuza nchi Kwa makaburu, hii nchi wanayosema anauza Samia ni ipi tena?
Itoshe kusema TBL ilienda kuwa kampuni inayolipa Kodi kubwa kuliko kampuni zote Tanzania Kwa miaka mingi Sana kama sio mpaka Leo ninavyoandika hapa....lakini shukran pekee aliyoambulia Rais Mkapa ni kuitwa "fisadi anaeuza nchi Kwa makaburu"...
Na wale watukanaji wakubwa Hadi Leo hawajawi kusema "hatukuwa sahihi" tulikosea ...Sana Sana wamevamia basi jipya "la Samia anauza nchi Kwa waarabu" Kwa nguvu mpyaa kabisa ...wazungu wanasema "ignorance is bliss"..
Mtu mjinga ana faida ya kutojijua ujinga wake...anaweza ita hata watu werevu wajinga hadharani bila woga...'ignorance is bliss ".....ungemueleza nini Mtanzania wa kawaida kuwa Mwalimu Nyerere hayuko sahihi ..wakati CEO wa Crdb wakati ule anaenda Hadi Butiama kumuomba Nyerere anunue hata hisa kidogo za Crdb kama kushawishi jamii iamke na Ku embrace"mabadiliko ya uchumi "na Nyerere ananjibu waziwazi mbele ya Tv kuwa hakuna cha mabadiliko wala nini ..ni ubepari na wizi tu kubinafsisha mabenki"...
Kwa watanzania Wengi Nyerere ni close to God ... hawezi kuwa hayuko sahihi..huwa najiuliza kama kipindi kile mwaka 1996 kama Babu yangu angekuwa na Uwezo mdogo Tu na akanunua hisa nyingi Crdb mwaka 1996 mfano hisa zenye thamani ya hata ya milioni 2 mwaka 1996 Leo ingekuwa ni utajiri kiasi gani?but watanzania Wengi hawakuwa na uelewa na waliokuwa wanaopinga mabadiliko ndo hao kina Nyerere na Rais anaeongoza mabadiliko anatukanwa kama "anauza nchi Kwa makaburu"...miaka 17 later ... tunamtukana Rais Kwa kuleta nchini moja ya kampuni 3 kubwa duniani Kwa shughuli za Bandari... Dpworld... kampuni imewekeza kuanzia China Hadi USA Kwa mabingwa wenyewe wa uwekezaji..Hadi Kwa wajerumani mabingwa wa ubaguzi duniani......
Kampuni CEO mmarekani lakini tunaambiwa inakuja "kueneza Uislam"... kampuni imewekeza UK lakini tunaambiwa huko kote imewekeza "fair " Ila kwetu ndo "imeuziwa nchi"...hata serikali inaposema mkataba wa uwekezaji bado kusainiwa hatutaki kuelewa...
Watu unao fikiri Wana uelewa wanatokwa na mapovu kuongea with certain "hatari kubwa Sana " iliyo mbele yetu akija "huyu mwarabu"...na wimbo mpya wa Samia anauza nchi Kwa waarabu ndo unazidi kupandishwa chati Kwa nguvu kubwa... maandamano uchwara yanachochewa na Viongozi wa dini ambao unajiuliza ni Bandari tu au kuna agenda ingine?
The more things change the more they stay the same....
Walio muita Mkapa fisadi anaeuza nchi Kwa makaburu..sasa wanafanya miamala banks zile zile na pengine kununua hisa na kunywa Safari lager huku washasahau "matusi " yote waliyomtwisha Mzee Mkapa...angalau wajitokeze waombe radhi japo hata washauri wa Mzee Mkapa wafarijike...kabla hawajapanda hili basi lingine la "Samia anauza nchi Kwa waarabu"...
Pengine wanaweza wasiwe hai ikitokea haya yote yanayozungumwa Leo yakathibitika kuwa ni uzushi , upumbavu na propaganda za wanasiasa wanaotaka Mama Samia "awapishe kwenye kiti mapema".....ili waombe radhi...Bora kwanza waombe radhi hili la Mkapa ambalo limethibitika bila Shaka kuwa "kelele za Mkapa kuuza nchi Kwa makaburu" ilikuwa uwongo, upumbavu,upeo mdogo kuhusu uchumi na uwekezaji na kudandia mabasi ya propaganda ambayo hujui dereva wake nani.
Umeandika mengi ya msingi, lakini mkuu The Boss Kwa nini mkataba hauna ukomo?.
2. Kwa nini mkataba haujajumuisha bandari za Zanzibar?.
Sio rahisi hivyo kwa mazingira ya sasa. Rais Samia anastahili kushauriwa vizuri. Na Rais Samia, anatakiwa apatite ushirikiano wote ili afanye kazi zake mpaka ukomo wa terms zake.Mimi nadhani Mama Samia asonge mbele. Akiwasikiliza wanaopinga atachelewa sana kuwaletea watanzania maendeleo
Ndugu kuna kitu hujaelewa. Ukweli ninaoufahamu Zanzibaa tayari imeshakodisha bandari yake kwa hao DP World. Lingine kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu TPA(Tanzania Ports Authority) yaani mamlaka ya bandari Tanzania inasimamia bandari za Tanzania bara tu, bandari za Zanzibar zinasimamiwa na mamlaka ya bandari Zanzibar ambayo hata hivyo imeshaingia mkataba na hiyo kampuni ya DP World, sasa Zanzibar ipi tena mnaizungumzia? DP World haikodishiwi bandari zote, wala hakodishiwi bandari yote ya Dar Es Salaam, ukweli ni kuwa atapewa sehemu tu ya bandarii ya Dar Es Salaam yaani gati namba 1 mpaka gati namba 7 km alivyofafanua mh. waziri Prof Marawa. Mengine ni upotoshaji tu. Kuhusu DP World kuwa na kesi nyingi ni propaganda tu za uwongo za wale wasioitakia mema serikali yetu, lengo lao ni kukwamisha mipango mizuri ya maendeleo ya serikali yetu ili waje waikebehi wakati nafikiri wa uchaguzi kuwa imeshindwa. Mh waziri kuhusu kesi alitoa ufafanuzi mzuri sana ya kuwa DP World ndio wameshinda kesi zake karibu zote km siyo zote. Tutafute ukweli kutoka vyanzo sahihi na tuiamini serikali yetu ukizingatia tuna rais mkweli, mwuungwana, msikivu, mstaarabu, aisye na chembe ya ufisadi.Umeandika mengi ya msingi, lakini mkuu The Boss Kwa nini mkataba hauna ukomo?.
2. Kwa nini mkataba haujajumuisha bandari za Zanzibar?.
3. Kwa Nini apewe bandari zote mtu mmoja, mfano ataendeleza vipi bandari ya mtwara hali yakua anamiliki na bandari ya Msumbiji?.
4. Kwa Nini anaonekana kua na kesi nyingi kwenye bandari za Afrika alizowekeza?.
Hakuna ntanzania yeyote anaekataa uwekezaji, lakini watu wanakataa baadhi ya vifungu vilivyopo kwenye mkataba. Mfano wewe unaona nisahihi kubadili Sheria za nchi Kwa sababu ya muwekezaji mmoja?.
Kwa Nini apewe aridhi yeyote atakayoomba, na Serikali ndio iwajibike kulipa fidia Kwa wahanga?.
Ushawahi Kwa utashi na akili zako kuona mkataba usio na ukomo?. Nje nahuu wa Aliosaini Tz?.
Tulitunga Sheria kua masuala yote yanayohusu wawekezaji kesi zao zitatuliwe ndani ya nchi, Kwa Nini kwahuyu Serikali ikubali kua yeye kesi yake itakua S Afrika?.
Watanzania wakipindi Cha mkapa sio hawa waleo.
Kheri tubaki na Tanganyika yetu nawao wabaki na Zanzibar yao.
Kinachonisikitisha ni kushindwa kufahamu kwamba uendeshwaji wa benki za kibiashara (Commercial Banks) ndani ya nchi, hutegemea sana sheria na sera za uchumi (Fiscal & Monetary Policies) ambazo zinaratibiwa na benki kuu ya nchi ya Tanzania. Mabenki ni makampuni, lakini uendeshwaji wake hauko sawa na makampuni mengine. Mabenki hutumia mfumo wa FRACTIONAL RESERVE BANKING, kusema ni pesa za nje peke yake na wawekezaji ndiyo wametuinia ni kututukana watanganyika.
Hivyo unavyotoa mifano ya CRDB na NMB kufanikiwa, fahamu fika kwamba BOT imefanya kazi kubwa mno hadi hizi benki kusimama. Raisi Mkapa ataendelea kulalamikiwa kwasababu yeye aliziuza hizi benki kiholela jambo ambalo halikuwa sahihi kabisa. Halafu kama umefuatilia vizuri, kuna sababu nyingine kadhaa wa kadhaa, zinazofanya benki ya NMB kufanikiwa, mbali na mitaji ya wazungu.
Lakini mwisho kabisa nashangaa wewe umeshindwa kung'amua jambo rahisi kabisa ambalo hata mtoto wa chuo angeweza kuling'amua. Mkataba wa bandari na mkataba wa ubinafsishwaji wa mashirika ya ummah kipindi cha Mkapa ni tofauti kabisa. Kwenye mikataba mingi ya Raisi Mkapa, Tanzania bado inamiliki hisa za kutosha ambazo zinaipa nchi nguvu kubwa ya maamuzi hasa kwenye upigaji wa kura. Kubwa zaidi ni kwamba maamuzi ya mwisho ya usimamiz wa hizi benki uko chini ya usimamizi wa BOT na siyo wawekezaji wa nje.
Mkataba wa DP World, unainyang'anya Tanzania haki ya kufanya chochote kile. Tena hata kufikiria walishindwa wakasaini mkataba baina ya Tanzania na DP World ambalo ni shirika binafsi. Kule Djibouti, serikali iliunda kampuni ambalo liliingia ubia na DP World na kumiliki hisa zaidi ya asilimia 60%. Sisi huku tumefanya mambo ya hovyo kupita kiasi, ambapo zaidi ya kukusanya kodi hatuna chetu. Hivyo hata wafanyakazi wa bandari wanaweza kufukuzwa na tusiseme chochote kile.
Kikubwa mkataba huu wa bandari ni LOCK-OUT AGREEMENT, ambapo imewekwa bayana kabisa kwamba mashirika mengine ya ndani au kutoka nje hayataruhusiwa kuja kuwekeza kwenye bandari za Tanzania. Hivyo DP World wamepewa EXCLUSIVE RIGHT OF OWNERSHIP WHICH CREATES A MONOPOLY OVER OUR NATIONAL ASSETS. Mtu yoyote yule mwenye akili timamu na mwenye uzalendo na hii nchi, kamwe hawezi kushabikia huu ufedhuli.
Kule Uingereza ambako haki za binadamu zimeshika hatamu, DP World ilifukuza maelfu ya wafanyakazi wa kizungu wa shirika la P&O Ferries baada ya kulinunua. Sasa huko ni Uingereza, hapa Tanzania unadhani kitawakuta nini wale wafanyakazi wa bandari ? Mambo mengine muwe mnatumia akili nyie watu, siyo matumbo. Sasa hebu nikupashe kidogo:
Mwaka 2020, serikali ya Djibouti ilifunguliwa mashitaka na shirika la DP WORLD kwasababu lilivunja haki yake ya umiliki wa bandari za Djibouti bila kuingiliwa (Breach of Exclusive Rights), kwasababu serikali ilitaka kulipa shirika la China Merchants haki ya kuwekeza kwenye bandari ya Doraleh. Serikali ya Djibouti na China Mechants ziliburuzwa kwenye mahakama za kimataifa na kuamriwa walipe dola za Kimarekani milioni 200.
Ikumbukwe China Merchants ndiyo shirika linalotaka kuanzisha mradi wa bandari ya Bagamoyo, lakini baada ya huu mkataba kupita hiyo haki hawana tena. Unafahamu nini kinaenda kutokea hapa ? Bandari ya Bagamoyo inaweza ikaenda kujengwa nchini Kenya na tusibaki tunaamini chochote hapa. Ikumbukwe mpango wa serikali ya Uchina kipindi cha Raisi Hu Jintao ni kwamba bandari ijengwe kule Kenya lakini wakaamua kujenga Tanganyika. Sasa hapa unadhani nini kitawazuia wakenya kuwaruhusu wachina wajenge Kenya ? Subirini muone...
MWISHO KABISA:
Leo nimemsikiliza Tundu Lissu akichambua kuhusu mkataba wa DP World, ambapo amesema kwamba huu ndiyo mkataba wa ajabu kuwahi kusainiwa na serikali ya Tanganyika tokea mwaka 1920. Mimi nasema amekosea na hajafanya tafiti za kutosha. Mkataba kama huu ulishawahi kusainiwa na serikali ya Muingereza, Mbelgiji na Mfaransa juu ya matumizi ya bandari ya Dar es salaam.
Mkataba ulihusisha makoloni ya Tanganyika, Rwanda, Burundi na Congo DRC na uliitwa THE BELBASE TREATY, ambao ulisema kwamba makoloni ya Rwanda, Burundi na Congo yataruhusiwa kutumia bandari ya Dar es salaam kwa kipindi kisicho na ukomo (Infinitely/Indefinate Time), huku wakilipa kiasi cha paundi 2 za Uingereza kwa serikali ya Tanganyika. Mwalimu Nyerere kawa Waziri Mkuu akaukuta huu mkataba, yeye na Mzee Lusinde akiwa waziri mwenye dhamana waliuvunja huu mkataba bila kufikiria mara mbili kwasababu ulilenga kuiumiza Tanganyika na kuuza uhuru wake.
Hii IGA baina ya Tanzania na Dubai, ina mahadhi hayohayo ya The Belbase Treaty, kwamba waarabu wapewe bandari zetu zote za Tanganyika kwa kipindi kisicho na ukomo. Halafu wakaenda mbali zaidi kusema kwamba "Even in case of state succession, a new state shall be bound by the same treaty." Wakimaanisha kwamba hata leo hii muungano ukivunjika, serikali ya Tanganyika itakuwa imefungwa na huo mkataba ambao umesainiwa na watu watatu kutoka Zanzibar. Sasa kama huku siyo kuiuza Tanganyika ni nini ?
NB 1: Kila siku nilikuwa najiuliza nini kilipelekea wafaransa (The Jacobins) wakachanganyikiwa na kuwa na hasira kiasi cha kumuua mfalme wao Louis IV na familia yake bila huruma, kumbe mambo huwa yanaanzaga hivihivi.
Kule Yugoslavia muungano wao ulikuwa na amani kwelikweli kipindi cha mkomunisti Josep Broz Tito, lakini huwezi kuamini jinsi ambavyo wakristo wa kutoka Serbia walifanya ukatili kwa kuua maelfu wa Waislamu kutoka Bosnia na Kosovo kisa tu hawa waislamu walikuwa wanataka uhuru wao, hivyo wakaanza kushirikiana na mataifa ya kiislamu kama Uturuki ili kuhujumu nchi. Hadi leo Serbia, Bosnia na Croatia ni maadui utadhani siyo ndugu (Slavs) waliowahi kuwa nchi moja.
NB 2: Ukweli tunaufahamu kwamba mbali na kusingizio cha kufungua nchi na kuita wawekezaji kutoka nje, nyuma ya hizi siasa za Raisi Samia kuna kaharufu kakali ka UDINI. Wengi mnamtete Samia kwasababu tu ni mwenzenu kwenye imani. Hata wengine wanaomponda wanafanya hivyo kwasababu za kidini, hata kama watapinga. Sasa kama mambo ndiyo yako hivi, siku siyo nyingi Tanzania itakuwa imejaa chuki kubwa mno ya DINI.
Watanzania meingizwa kwenye mtego na ninyi mmejaa mazima.....Nawapa pole!
we ni mzushi mwongo pengine kwa kutojua au kutumiwa. Acha upotoshaji hautakusaidia kwa lolote.Kinachonisikitisha ni kushindwa kufahamu kwamba uendeshwaji wa benki za kibiashara (Commercial Banks) ndani ya nchi, hutegemea sana sheria na sera za uchumi (Fiscal & Monetary Policies) ambazo zinaratibiwa na benki kuu ya nchi ya Tanzania. Mabenki ni makampuni, lakini uendeshwaji wake hauko sawa na makampuni mengine. Mabenki hutumia mfumo wa FRACTIONAL RESERVE BANKING, kusema ni pesa za nje peke yake na wawekezaji ndiyo wametuinia ni kututukana watanganyika.

we ni zuzu kweli, huo upupu?Kongole kwa maandishi haya. Tunataka sana wawekezaji. Ila kwa mikataba yenye maslahi na nchi.
Acha udini we kima, huoni hata aibu we mchumia tumbo? Nyie mmeshashindwa, hata hivyo makubaliano yameshapitishwa na bunge kinachofuata ni kuingia mkataba kati ya TPA na DP World siku hiyo labda umeze wembe. Utakuja kutapika hizo pesa za zenye laanaKinachonisikitisha ni kushindwa kufahamu kwamba uendeshwaji wa benki za kibiashara (Commercial Banks) ndani ya nchi, hutegemea sana sheria na sera za uchumi (Fiscal & Monetary Policies) ambazo zinaratibiwa na benki kuu ya nchi ya Tanzania. Mabenki ni makampuni, lakini uendeshwaji wake hauko sawa na makampuni mengine. Mabenki hutumia mfumo wa FRACTIONAL RESERVE BANKING, kusema ni pesa za nje peke yake na wawekezaji ndiyo wametuinia ni kututukana watanganyika.
Hivyo unavyotoa mifano ya CRDB na NMB kufanikiwa, fahamu fika kwamba BOT imefanya kazi kubwa mno hadi hizi benki kusimama. Raisi Mkapa ataendelea kulalamikiwa kwasababu yeye aliziuza hizi benki kiholela jambo ambalo halikuwa sahihi kabisa. Halafu kama umefuatilia vizuri, kuna sababu nyingine kadhaa wa kadhaa, zinazofanya benki ya NMB kufanikiwa, mbali na mitaji ya wazungu.
Lakini mwisho kabisa nashangaa wewe umeshindwa kung'amua jambo rahisi kabisa ambalo hata mtoto wa chuo angeweza kuling'amua. Mkataba wa bandari na mkataba wa ubinafsishwaji wa mashirika ya ummah kipindi cha Mkapa ni tofauti kabisa. Kwenye mikataba mingi ya Raisi Mkapa, Tanzania bado inamiliki hisa za kutosha ambazo zinaipa nchi nguvu kubwa ya maamuzi hasa kwenye upigaji wa kura. Kubwa zaidi ni kwamba maamuzi ya mwisho ya usimamiz wa hizi benki uko chini ya usimamizi wa BOT na siyo wawekezaji wa nje.
Mkataba wa DP World, unainyang'anya Tanzania haki ya kufanya chochote kile. Tena hata kufikiria walishindwa wakasaini mkataba baina ya Tanzania na DP World ambalo ni shirika binafsi. Kule Djibouti, serikali iliunda kampuni ambalo liliingia ubia na DP World na kumiliki hisa zaidi ya asilimia 60%. Sisi huku tumefanya mambo ya hovyo kupita kiasi, ambapo zaidi ya kukusanya kodi hatuna chetu. Hivyo hata wafanyakazi wa bandari wanaweza kufukuzwa na tusiseme chochote kile.
Kikubwa mkataba huu wa bandari ni LOCK-OUT AGREEMENT, ambapo imewekwa bayana kabisa kwamba mashirika mengine ya ndani au kutoka nje hayataruhusiwa kuja kuwekeza kwenye bandari za Tanzania. Hivyo DP World wamepewa EXCLUSIVE RIGHT OF OWNERSHIP WHICH CREATES A MONOPOLY OVER OUR NATIONAL ASSETS. Mtu yoyote yule mwenye akili timamu na mwenye uzalendo na hii nchi, kamwe hawezi kushabikia huu ufedhuli.
Kule Uingereza ambako haki za binadamu zimeshika hatamu, DP World ilifukuza maelfu ya wafanyakazi wa kizungu wa shirika la P&O Ferries baada ya kulinunua. Sasa huko ni Uingereza, hapa Tanzania unadhani kitawakuta nini wale wafanyakazi wa bandari ? Mambo mengine muwe mnatumia akili nyie watu, siyo matumbo. Sasa hebu nikupashe kidogo:
Mwaka 2020, serikali ya Djibouti ilifunguliwa mashitaka na shirika la DP WORLD kwasababu lilivunja haki yake ya umiliki wa bandari za Djibouti bila kuingiliwa (Breach of Exclusive Rights), kwasababu serikali ilitaka kulipa shirika la China Merchants haki ya kuwekeza kwenye bandari ya Doraleh. Serikali ya Djibouti na China Mechants ziliburuzwa kwenye mahakama za kimataifa na kuamriwa walipe dola za Kimarekani milioni 200.
Ikumbukwe China Merchants ndiyo shirika linalotaka kuanzisha mradi wa bandari ya Bagamoyo, lakini baada ya huu mkataba kupita hiyo haki hawana tena. Unafahamu nini kinaenda kutokea hapa ? Bandari ya Bagamoyo inaweza ikaenda kujengwa nchini Kenya na tusibaki tunaamini chochote hapa. Ikumbukwe mpango wa serikali ya Uchina kipindi cha Raisi Hu Jintao ni kwamba bandari ijengwe kule Kenya lakini wakaamua kujenga Tanganyika. Sasa hapa unadhani nini kitawazuia wakenya kuwaruhusu wachina wajenge Kenya ? Subirini muone...
MWISHO KABISA:
Leo nimemsikiliza Tundu Lissu akichambua kuhusu mkataba wa DP World, ambapo amesema kwamba huu ndiyo mkataba wa ajabu kuwahi kusainiwa na serikali ya Tanganyika tokea mwaka 1920. Mimi nasema amekosea na hajafanya tafiti za kutosha. Mkataba kama huu ulishawahi kusainiwa na serikali ya Muingereza, Mbelgiji na Mfaransa juu ya matumizi ya bandari ya Dar es salaam.
Mkataba ulihusisha makoloni ya Tanganyika, Rwanda, Burundi na Congo DRC na uliitwa THE BELBASE TREATY, ambao ulisema kwamba makoloni ya Rwanda, Burundi na Congo yataruhusiwa kutumia bandari ya Dar es salaam kwa kipindi kisicho na ukomo (Infinitely/Indefinate Time), huku wakilipa kiasi cha paundi 2 za Uingereza kwa serikali ya Tanganyika. Mwalimu Nyerere kawa Waziri Mkuu akaukuta huu mkataba, yeye na Mzee Lusinde akiwa waziri mwenye dhamana waliuvunja huu mkataba bila kufikiria mara mbili kwasababu ulilenga kuiumiza Tanganyika na kuuza uhuru wake.
Hii IGA baina ya Tanzania na Dubai, ina mahadhi hayohayo ya The Belbase Treaty, kwamba waarabu wapewe bandari zetu zote za Tanganyika kwa kipindi kisicho na ukomo. Halafu wakaenda mbali zaidi kusema kwamba "Even in case of state succession, a new state shall be bound by the same treaty." Wakimaanisha kwamba hata leo hii muungano ukivunjika, serikali ya Tanganyika itakuwa imefungwa na huo mkataba ambao umesainiwa na watu watatu kutoka Zanzibar. Sasa kama huku siyo kuiuza Tanganyika ni nini ?
NB 1: Kila siku nilikuwa najiuliza nini kilipelekea wafaransa (The Jacobins) wakachanganyikiwa na kuwa na hasira kiasi cha kumuua mfalme wao Louis IV na familia yake bila huruma, kumbe mambo huwa yanaanzaga hivihivi.
Kule Yugoslavia muungano wao ulikuwa na amani kwelikweli kipindi cha mkomunisti Josep Broz Tito, lakini huwezi kuamini jinsi ambavyo wakristo wa kutoka Serbia walifanya ukatili kwa kuua maelfu wa Waislamu kutoka Bosnia na Kosovo kisa tu hawa waislamu walikuwa wanataka uhuru wao, hivyo wakaanza kushirikiana na mataifa ya kiislamu kama Uturuki ili kuhujumu nchi. Hadi leo Serbia, Bosnia na Croatia ni maadui utadhani siyo ndugu (Slavs) waliowahi kuwa nchi moja.
NB 2: Ukweli tunaufahamu kwamba mbali na kusingizio cha kufungua nchi na kuita wawekezaji kutoka nje, nyuma ya hizi siasa za Raisi Samia kuna kaharufu kakali ka UDINI. Wengi mnamtete Samia kwasababu tu ni mwenzenu kwenye imani. Hata wengine wanaomponda wanafanya hivyo kwasababu za kidini, hata kama watapinga. Sasa kama mambo ndiyo yako hivi, siku siyo nyingi Tanzania itakuwa imejaa chuki kubwa mno ya DINI.
Watanzania meingizwa kwenye mtego na ninyi mmejaa mazima.....Nawapa pole!
Mkuu, umesahau shirika la reli yaani TRC. Likawa TRL, sijui sasa lipo vipi?Sisi wengine tulikuwepo wakati Rais Mkapa (1995-2005)anatukanwa kila siku kuwa "anauza nchi Kwa makaburu".....ilifikia wakati hadi nyimbo zilitungwa zikimuimba naukumbuka wimbo mmoja .."Kama sio juhudi zako Nyerere, Mkapa angeuza nini"???..Mkapa alikuwa anatukanwa kisa ni kuleta wawekezaji wa kampuni zisizo zaidi tano kutoka Afrika Kusini..
Walikuja kuwekeza
1.TBL
2.. NBC
Zingine nimezisahau....Leo...
Uwekezaji wa NBC ulipelekea Serikali kuanzisha NMB ambayo nayo waliletwa Waholanzi kununua hisa zisizozidi asilimia 5..waka provide management baadae waholanzi wale wakashangaa jinsi soko lilivyo kubwa wakaomba kununua hisa zaidi now nasikia ni asilimia 25.
Mabadiliko ya sekta nzima ya Benki aliyoyasimamia Rais Mkapa kipindi kile Leo yamepelekea tuwe na sector ya bank kubwa inayofanya kazi Kwa ufanisi.
NMB Leo ni kubwa kuliko Zanzibar GDP..na bank zote 3 kubwa Tanzania.. NMB, NBC na Crdb ni kubwa kuliko Uchumi wa Burundi...
Haya yote yasingewekana kama Rais Mkapa angeogopa "kuitwa fisadi anaeuza nchi Kwa Makaburu"...kipindi kile usingeweza kumuelewa Mkapa ...since watu waliokuwa wanaompinga walikuwa Wana influence ya kutosha ..tukianzia na Mwl Nyerere.....Na Magazeti ya Jenerali Ulimwengu yaliyokuwa Yana influence kubwa Sana Kwa jamii ya wasomi na wakosoaji wakubwa. ungeweza fikiri nchi inauzwa kweli ukifatilia mijadala...
Leo hizo banks zote 3.. NMB na Crdb zinamilkiwa na watanzania asilimia 70 NBC pia Serikali bado ina hisa za kutosha na zote hizo serikali inapokea gawio la kutosha...wale waliokuwa wanasema Mkapa anauza nchi Kwa makaburu wamenyamaza kiimya na sasa wamehamia kwenye "Samia anauza nchi Kwa waarabu" as if nothing happened...wala hawajawi jiuliza walichokuwa wanapinga kipindi kile na Hali ikoje leo? Walikuwa sahihi??
Kama hawakuwa sahihi kwanini wasiombe hata radhi in public hapo hata waliokuwa washauri wa Mkapa ambao bado wako hai wafarijike??...kama Mkapa aliuza nchi Kwa makaburu, hii nchi wanayosema anauza Samia ni ipi tena?
Itoshe kusema TBL ilienda kuwa kampuni inayolipa Kodi kubwa kuliko kampuni zote Tanzania Kwa miaka mingi Sana kama sio mpaka Leo ninavyoandika hapa....lakini shukran pekee aliyoambulia Rais Mkapa ni kuitwa "fisadi anaeuza nchi Kwa makaburu"...
Na wale watukanaji wakubwa Hadi Leo hawajawi kusema "hatukuwa sahihi" tulikosea ...Sana Sana wamevamia basi jipya "la Samia anauza nchi Kwa waarabu" Kwa nguvu mpyaa kabisa ...wazungu wanasema "ignorance is bliss"..
Mtu mjinga ana faida ya kutojijua ujinga wake...anaweza ita hata watu werevu wajinga hadharani bila woga...'ignorance is bliss ".....ungemueleza nini Mtanzania wa kawaida kuwa Mwalimu Nyerere hayuko sahihi ..wakati CEO wa Crdb wakati ule anaenda Hadi Butiama kumuomba Nyerere anunue hata hisa kidogo za Crdb kama kushawishi jamii iamke na Ku embrace"mabadiliko ya uchumi "na Nyerere ananjibu waziwazi mbele ya Tv kuwa hakuna cha mabadiliko wala nini ..ni ubepari na wizi tu kubinafsisha mabenki"...
Kwa watanzania Wengi Nyerere ni close to God ... hawezi kuwa hayuko sahihi..huwa najiuliza kama kipindi kile mwaka 1996 kama Babu yangu angekuwa na Uwezo mdogo Tu na akanunua hisa nyingi Crdb mwaka 1996 mfano hisa zenye thamani ya hata ya milioni 2 mwaka 1996 Leo ingekuwa ni utajiri kiasi gani?but watanzania Wengi hawakuwa na uelewa na waliokuwa wanaopinga mabadiliko ndo hao kina Nyerere na Rais anaeongoza mabadiliko anatukanwa kama "anauza nchi Kwa makaburu"...miaka 17 later ... tunamtukana Rais Kwa kuleta nchini moja ya kampuni 3 kubwa duniani Kwa shughuli za Bandari... Dpworld... kampuni imewekeza kuanzia China Hadi USA Kwa mabingwa wenyewe wa uwekezaji..Hadi Kwa wajerumani mabingwa wa ubaguzi duniani......
Kampuni CEO mmarekani lakini tunaambiwa inakuja "kueneza Uislam"... kampuni imewekeza UK lakini tunaambiwa huko kote imewekeza "fair " Ila kwetu ndo "imeuziwa nchi"...hata serikali inaposema mkataba wa uwekezaji bado kusainiwa hatutaki kuelewa...
Watu unao fikiri Wana uelewa wanatokwa na mapovu kuongea with certain "hatari kubwa Sana " iliyo mbele yetu akija "huyu mwarabu"...na wimbo mpya wa Samia anauza nchi Kwa waarabu ndo unazidi kupandishwa chati Kwa nguvu kubwa... maandamano uchwara yanachochewa na Viongozi wa dini ambao unajiuliza ni Bandari tu au kuna agenda ingine?
The more things change the more they stay the same....
Walio muita Mkapa fisadi anaeuza nchi Kwa makaburu..sasa wanafanya miamala banks zile zile na pengine kununua hisa na kunywa Safari lager huku washasahau "matusi " yote waliyomtwisha Mzee Mkapa...angalau wajitokeze waombe radhi japo hata washauri wa Mzee Mkapa wafarijike...kabla hawajapanda hili basi lingine la "Samia anauza nchi Kwa waarabu"...
Pengine wanaweza wasiwe hai ikitokea haya yote yanayozungumwa Leo yakathibitika kuwa ni uzushi , upumbavu na propaganda za wanasiasa wanaotaka Mama Samia "awapishe kwenye kiti mapema".....ili waombe radhi...Bora kwanza waombe radhi hili la Mkapa ambalo limethibitika bila Shaka kuwa "kelele za Mkapa kuuza nchi Kwa makaburu" ilikuwa uwongo, upumbavu,upeo mdogo kuhusu uchumi na uwekezaji na kudandia mabasi ya propaganda ambayo hujui dereva wake nani.
Tulieni dawa ikwingieni....Tanzania will be Arabized mtake msitakeMkapa si aliomba radhi kwa kufanya hayo Madudu.
Huyu naye hatutaki aombe radhi kwa kutesa migongo yetu.
Mkapa alikuwa Raisi wa hovyo na aliomba radhi baada ya kuboronga.
Unaangaalia sampuli tuu za sehemu walizofanya vizuri. Hivi huyo mkapa alishindwa nini kuanzisha bank na aziuze? Tena unajua hili jambo lilimliza nyerere? Je watanzania wazalendo wangeshindwa kuendesha bank hizo na kuzifanya kuwa kubwa? NMB unayo sifia ndio hii inayo tupangisha foleni?
By the way ningekuwa someone leo... ila kutokana na madhira yawawekezaji kutoka bala asia huko mufindi maisha yangu Tangu utoto yamekuwa ya shida sanaa. Siwez kuelewa mambo ya uwekezaji