Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

Asante sana The Boss umemaliza vyote. Tanzania kuna ujinga mwingi sana ambao kuna muda unasababishwa na chuki tu. Alafu mbaya zaidi watu hata wakija kugundua kuwa walikuwa wajinga hawarudigi kuomba radhi.
 
Mkataba unasema, Tanzania itaijulisha Kampuni ya DP kila fursa zatakazojitokeza zinazohusiana na Bandari!

Prof Tibajuka in voice
 
Dunia nzima ratio ya wenye maono ni ndogo sana

Na usiombe pingapinga wapewe nafasi…. On this one, wanaopinga eamekosea because hawako informed

Na wamesahau kabisa kwamba modern world Iko more transparent na ni ngumu sana nchi yoyote kuuza bandari (sijui nchi gani imeshauza bandari hadi sasa duniani)

Our biggest weakness ni kuachia kikundi kidogo cha watu kufikiri kwa niaba yetu, kutopenda kujifunza pamoja na kutumika vibaya

Walio against this move wanapata msukuko kutoka Kwa wanaotaka tudumae

But change is here
 
Yote uliyoyasema ni sahihi kabisa mimi ni muhenga na nilikuwa miongoni mwa wakosoaji wakubwa kipindi kile !! Kwakweli tulikosea sana !! Ninaomba msamaha kwa issue za zile Benki etc !

Lakini baadhi ya ubinafsishaji wa Viwanda alikosea pia !! Nia ilikuwa nzuri lakini waliokabidhiwa hivyo Viwanda hawakuwa watu sahihi ndio maana vikafa mazima !!
 
Hii nchi mbumbumbumbumbumbumbu wengi mnoo..... Nasema mbumbumbumbumbu ni wengi ndio mana kubinafsisha mamlaka wanaona kama kupoteza. Na ukiwapima wanaopinga bandari kubinafsishwa aidha ni watu wa magendo magendo huko bandarini au watu wa kile chama kikuu Cha kukosoa maamuzi ya serikali. Nothing else.
Tumeuzwa tumeuzwa... Wapi na lini nchi ikanunuliwa na nchi nyingine?
 
Hatukatazi uwekezaji, swali fikirishi unawekeza nini na wapi, je uwekezaji utaathiri vipi kizazi kijacho, kwa taarifa yako bandari ni mali asili lazima uamushe ubongo vya kutosha kabla hujaingia mikataba, angalizo huu mkataba ni baina ya nchi ya Tanzania na kamuni ya Dubai DPWORLD lakini bunge la CCM linadhani ni makubaliano kati ya Tanzania na falme za kiarabu, (The republic Tanzania and The United Arab Emirates (UAE). What are mode of business and corporation if any, what are terms of agreements?, what is strategy formulation and the aftermath of the business to the future generation of Tanzanians.
 
Kwani kwenye huu mkataba kuna eneo amepewa mwekezaji ili awekeze hadi tujue mode of business na terms of agreement?
 

Kanywe kahawa pale akikujibu, wanabakia kubwabwaja tu udini udini, na hoja za msingi hawajibu!!

Wajibu hizo hoja hapo juu na vipengele hivyo vya msingi viwekwe kwenye mkataba kama kuna Mtanzania atapiga kelele!!
 
Asante sana The Boss umemaliza vyote. Tanzania kuna ujinga mwingi sana ambao kuna muda unasababishwa na chuki tu. Alafu mbaya zaidi watu hata wakija kugundua kuwa walikuwa wajinga hawarudigi kuomba radhi.

Kuna jambo lolote lililofanywa na serikali huko nyuma likakosa watetezi? Yalipovurugika nani aliwahi kurudi kuomba radhi kwa kuyapigia debe?
 
Toka huu mjadala uanze, pande zote mbili za debate zinaongelea leaked agreement wewe unasema dunia ya leo iko transparent?
 
Umesoma kitabu cha Benjamini mkapa kwaninj yeye mwenyewe anajutia kubinafsisha masharika ya UMMA? Kama ilileta tija kwann aamua kujutia na kuandika kwenye kitabu chake?

Aliandika ili viongozi wanaokuja wasifanya makosa yale yale aliyofanya yeye!! Au wakiingia mikataba wasiingie mikataba ya hovyo ambayo watanzania wanapigia kelele sasa hv!!

Mbona ni akili kidogo sana kwenye hili jambo mbona watu hawaelewi!! Wabadili vifungu vilivyopo kwenye mkataba kwa maslahi ya nchi hakuna atakayepiga kelele!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…