Kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya

Kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya

Yani unataka kupewa zawadi na mwanamke ndo ujue kua anakupenda??
Mwanamke kwake ni kupokea sio kutoa.
Wewe unapenda malaya basi. Kama huyu, demu malaya (mpenda pesa) hawezi kuacha pesa , hivyo jua kuwa kila mwanaume mwenye uwezo akimtaka atamla kama unavyomla
 
Sikuhiz mim ndo nanunuliwa vtu aisee... Kuna hatua ukifikia kwenye mahusiano unafurah sanaa.. Kuna muda najiangalia.. kuanzia kiatu chin.soksi. suruali. Boxer.. vest.. shati vyote nmeletewa na bibie.. halaf ni demu tu.. nabak nasema dahh.. aisee.. mkuu.. hakikisha mwanamke anakupenda.. yaan tumia mbinu zote kwanza aamin unampenda halaf yeye atakupenda.. mwanamke akikupenda anakua kama chiz aisee . Nmeamin.. Ila nasisitiza.. hakikisha unamteka akil yake hata kwa kumdanganya aamin unampenda.. Na sikuzote mwanamke akikuomba kitu hata kama huna.. mwambie utamtaftia utampa.. ilhal unajua kabisa humpi... Hahah.. sis tunawateka hawa watu kwa vtu vidogo mno.. Ila fanya haya yote ukiwa uko vzur au una mwelekeo mzur wa maisha.. Bila hvyo.. kama huelewek.. utakua unatwanga maj kwenye kinu mkuu "Mipango ni mingi mno"
siku zote nasema hakikisha mwanamke uliye naye anakupenda tu.
Mwanamke akipenda kweli anakuwa na mambo mawili makuu.
1.Aibu
2.Huruma
Ukiona mpenzi wako anakosa hayo mbele yako jua unaliwa tu.
Sikuhiz mim ndo nanunuliwa vtu aisee... Kuna hatua ukifikia kwenye mahusiano unafurah sanaa..

Kuna muda najiangalia.. kuanzia kiatu chin.soksi. suruali. Boxer.. vest.. shati vyote nmeletewa na bibie.. halaf ni demu tu.. nabak nasema dahh.. aisee.. mkuu.. hakikisha mwanamke anakupenda.. yaan tumia mbinu zote kwanza aamin unampenda halaf yeye atakupenda.. mwanamke akikupenda anakua kama chiz aisee . Nmeamin..

Ila nasisitiza.. hakikisha unamteka akil yake hata kwa kumdanganya aamin unampenda..

Na sikuzote mwanamke akikuomba kitu hata kama huna.. mwambie utamtaftia utampa.. ilhal unajua kabisa humpi...

Hahah.. sis tunawateka hawa watu kwa vtu vidogo mno..

Ila fanya haya yote ukiwa uko vzur au una mwelekeo mzur wa maisha..

Bila hvyo.. kama huelewek.. utakua unatwanga maj kwenye kinu mkuu

"Mipango ni mingi mno"
 
Ilinikuta wiki iliyopita niko hospital kufanyiwa operesheni sehemu ya ubavuni halafu na demu anajua chaajabu ananiambia nimtumie kiasi cha hela yuko kwa wakala anataka kutoa kiasi fulani akanunue vitu vyake vya kutumia...nikasema yale yale unatoka jela baby anakuuliza unanipa zawadi gani

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
kosa kubwa hujamla, kama alikuwa pisi kali ni hasara
 
Ilinikuta wiki iliyopita niko hospital kufanyiwa operesheni sehemu ya ubavuni halafu na demu anajua chaajabu ananiambia nimtumie kiasi cha hela yuko kwa wakala anataka kutoa kiasi fulani akanunue vitu vyake vya kutumia...nikasema yale yale unatoka jela baby anakuuliza unanipa zawadi gani

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
demu anaomba zawadi kutoka jela😂😂😂
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
Ume mblock Ila kakutia loss
 
Kenny rogers kwenye Wimbo wake wa The Gamblers,, anasema kuwa.....

"You've got to know when to hold 'em,,,Know when to fold 'em,,,,,Know when to walk away And know when to run"

"You never count your money,, When you're sittin' at the table,,, There'll be time enough for countin',,,,When the dealin's done."

Kwahyo hapo mkuu hapo wewe ni U M E L I W A au kimtaani tunasema U M E P I G W A
 
Ilinikuta wiki iliyopita niko hospital kufanyiwa operesheni sehemu ya ubavuni halafu na demu anajua chaajabu ananiambia nimtumie kiasi cha hela yuko kwa wakala anataka kutoa kiasi fulani akanunue vitu vyake vya kutumia...nikasema yale yale unatoka jela baby anakuuliza unanipa zawadi gani

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Huyo ningemteka kabisa
 
Wewe unapenda malaya basi. Kama huyu, demu malaya (mpenda pesa) hawezi kuacha pesa , hivyo jua kuwa kila mwanaume mwenye uwezo akimtaka atamla kama unavyomla
View attachment 2231586
Kwahiyo unataka demu wako nae akupe zawadi ndo ujue kua anakupenda??
Daah wanaume wa kizazi hiki sijui mkoje aisee.

Wewe ndo uliemtongoza, akakubali bado unataka yeye ndo athibitishe upendo wale kwako wewe uliemshawishi.

Mfanye akuamini hizo zawadi ni nature tu ya mtu akupe au asikupe, kukuachia mwili wako na kukukubalia ni upendo huo.
Acheni kupenda mserereko bna.
 
CHOKO KWELI WW,MBUSUSU NI GIVEN KWA RIJALI SIO LAZIMA NTOE HELA
Kama sio lazima utoe hela basi nae sio lazima akupe zawadi unazotaka ili athibitishe anakupenda.

Huo uzwazwa wa kutaka zawadi ndio uchoko wenyewe, madem tuwape zawadi na nyie wanaume mnataka mmpewe vizawadi.

Tangu lini mwanaume akapokea kama sio uchoko wenyewe huo, mnaenda against na nature, na MTALIWA TU, nyie endekezeni mserereko.
 
Ni kweli ila sio hawa wa haki sawa.
Ni ajabu kama mwanaume nae anakua haeleweki kama mwanamke.

Anaeitaka haki sawa ni mwanamke, ukiiendekeza hiyo haki sawa na unajua sio sawa that means unaipromote zaidi, na hapo na weee unakua hueleweki tena ni unaitaka au huitaki, unaifata au huifati.
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
Kwhy 70k imeenda kizembe hivyo na hujaambulia chochote
 
Back
Top Bottom