Kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya

Mkuu umesema ya kweli nakuiga. Nakubaliiiii
Habari!

Hii hali ya wanawake kuwa tegemezi imekuwa kubwa sana hasa dunia hii ya tatu. Hata awe mwajiriwa serikalini au sekta binafsi bado utamkuta amejipa haki ya kuwa tegemezi. Yaani wanapenda kupewa kuliko kutoa.

Inafika wakati wanakera, unashindwa kujua kama wana upendo wa dhati kwako au wanakuigizia tu wakutie kwenye umaskini zaidi.

Ukimpa elfu 5, kesho atakuomba elfu 10, ukimpa elfu 10 kesho atakuomba elfu 20, dau litaoanda mpaka utakaposhtuka.
Ukimjibu sina pesa mara 3 mfululizo utaona kitakachotokea.

Sasa Mimi kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya;

1. Unanipenda?

Akijibu ndio namuuliza swali namba 2

2.Je, umewahi kunifanyia nini kudhihirisha upendo wako kwangu kwa level yako hiyohiyo ya maisha?

Mwisho namwambia hivi: Kama unaona hujawahi hata kunifanyia kitu au hukuwahi kunipa zawadi hata ya kitu chenye thamani ya elfu 5 kuanzia sasa tupoteane kila mtu akamtafute ampendaye. Biashara inaisha hapo.

Akipiga sipokei, akituma sms sijibu na mwisho wa siku ni kumblock basi.
Kijana mwenzangu usipokuwa makini hapa mjini unaweza kujikuta hata mama yako kule Mtambaswala anakosa dagaa na unga.
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie me akiomba helaa tu hanisikiii bora azuge hata siku 2 tatu
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
Hapo ulikosea mkuu . Ungekula mzigo Kwanza
 
Kuna mmoja hajawahi nipa chochote ila matonya hatari, ubaya kakutana na bahili
 
Mwanamke akiomba elfu 50 ya kizinga, muda huo huo nafanya muamala kwa mam mzazi urambo wa 100k bora Mama mzazi apate hiyo hela kuliko mchepuko

Mchepuko nitakuita tutakunywa pombe, tutakula pamoja then tutaenda kupunguza uzito pamoja ila si vinginevyo.
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
Dah[emoji24][emoji24] nina hasira utadhani mm ndio nmetoa hizo ela umezingua sana mkulungwa iweje umpotezee bila kumtia uyo matonya ungemgegeda alafu piga block hatar sana
 
Kama sio lazima utoe hela basi nae sio lazima akupe zawadi unazotaka ili athibitishe anakupenda.

Huo uzwazwa wa kutaka zawadi ndio uchoko wenyewe, madem tuwape zawadi na nyie wanaume mnataka mmpewe vizawadi.

Tangu lini mwanaume akapokea kama sio uchoko wenyewe huo, mnaenda against na nature, na MTALIWA TU, nyie endekezeni mserereko.
We wanakusira kweri kweri...Aliekwambia kwamba zawadi ni ishu kwangu ni nani? Mie mwanamke anipe zawadi au asinipe as long as ananipa mbunye bila masharti mambo yanaenda tu. Nachoongelea mimi ni kuendesha mapenzi kwa support ya mizinga eti unapigwa mizinga deile unaona sifa kutoa hela ukija gundua wahuni tunamla for free malaya wako huyo unaweza ukajinyonga
 
Hii nzuri na ukifanya hivyo utamla kila ukimuhitaji,Mana anajua atatoka na kitu.YANII AKIOMBA PESA MWAMBIE TANGULIA HOTEL ILEILE NAKUJA.

Sasa kwani anapata hasara gani??

Hakiozi hakiishi hakipotei

Pesa zako zinatumikaa gharama unaingia yeye akitoka hapo anajipoza na Hennessy

Acha uzinzi bro pesa zako zipone
 
We wanakusira kweri kweri...Aliekwambia kwamba zawadi ni ishu kwangu ni nani? Mie mwanamke anipe zawadi au asinipe as long as ananipa mbunye bila masharti mambo yanaenda tu. Nachoongelea mimi ni kuendesha mapenzi kwa support ya mizinga eti unapigwa mizinga deile unaona sifa kutoa hela ukija gundua wahuni tunamla for free malaya wako huyo unaweza ukajinyonga
😂😂😂😂😂 Bro baasi uliquote vibaya mi niliwaongelea wanaotaka zawadi kama wewe sio wa zawadi why uliniquote???

Halafu weka hii kitu kichwani mwako, kila mtu ana namna yake ya kupata kitu.

Mfano kazi, kuna wa connections, kuna wanaohonga, na wanaotumia maneno , vyeo, elimu etc.
Halafu mnaopiga bure huwa mnaumia kuliko wanaotoa pesa, we unatumia maneno mwingine hana hayo maneno ana pesa, si kila mtu anatumia alichonacho ndgu yangu, au kuna ubaya.
 
Mie siumii kabisa ni kama dalali tu, sijui uchungu hata wa tofali moja ila nakula sehemu ya kodi! Siujui uchungu wa CIF wala TPA ila nakula genji la million kwa kila anayeuza gari kifupi siinvest chochote kwa malaya 😂 😂 😂 😂
 
Ilinikuta wiki iliyopita niko hospital kufanyiwa operesheni sehemu ya ubavuni halafu na demu anajua chaajabu ananiambia nimtumie kiasi cha hela yuko kwa wakala anataka kutoa kiasi fulani akanunue vitu vyake vya kutumia...nikasema yale yale unatoka jela baby anakuuliza unanipa zawadi gani

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app

hawanaga Aibu hao viumbe
 
We wanakusira kweri kweri...Aliekwambia kwamba zawadi ni ishu kwangu ni nani? Mie mwanamke anipe zawadi au asinipe as long as ananipa mbunye bila masharti mambo yanaenda tu. Nachoongelea mimi ni kuendesha mapenzi kwa support ya mizinga eti unapigwa mizinga deile unaona sifa kutoa hela ukija gundua wahuni tunamla for free malaya wako huyo unaweza ukajinyonga
Huyo jamaa hajakuwa bado akikuwa ataelewa au ana umri mkubwa sana ndio maana anaamini kwenye kuhonga ili apate papuchi
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
Alafu bwana nimekuja kugundua hizi ndogo ndogo unazotoa ni nyingi kumbe ni bora utafute malaya wako pisi kali ulipe laki mbili ujigeggede kwa mwezi mara mbili basi.

Kwanza huna stress nyingi na wala hutaka usikie oh dear sizioni siku zangu
 
Ilinikuta wiki iliyopita niko hospital kufanyiwa operesheni sehemu ya ubavuni halafu na demu anajua chaajabu ananiambia nimtumie kiasi cha hela yuko kwa wakala anataka kutoa kiasi fulani akanunue vitu vyake vya kutumia...nikasema yale yale unatoka jela baby anakuuliza unanipa zawadi gani

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣Wapuuzi sana ila mbususu zao tamu....anyways wacha tuwatombagee tuu
 
Alafu bwana nimekuja kugundua hizi ndogo ndogo unazotoa ni nyingi kumbe ni bora utafute malaya wako pisi kali ulipe laki mbili ujigeggede kwa mwizi mara mbili basi.

Kwanza huna stress nyingi na wala hutaka usikie oh dear sizioni siku zangu
Yeap 🤣🤣50k unqchukua Malaya wako unapiga mpaka unazima
 
Back
Top Bottom