Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana hujui kufikiria sawasawa, hapa tunaongelea jitihada za serikali kupata hela, kutunza mazingira na kuinua quality ya maisha ya watu wake kwa kutumia gesi inayopatikana Tanzania. Yaani kama Kuna kiongozi haoni kama kutumia gesi kutaokoa misitu kukatwa huyo kiongozi hatufai. Mimi nataka kutumia gesi kupikia na kuendesha gari langu, Iko wapi?Wametaka kununua wakanyimwa? Dangote si ana kiwanda chake na anauziwa gesi?
Maadui wakubwa wa maendeleo ya nchi za kiafrika ni viongozi wao wanajiwaza wao na matumbo yao kwanza,
gesi yetu ni kama haija tufaidisha kabisa, Kila siku gesi ya kupikia inapanda bei, bei ya umeme imepanda, elfu 5 ilikua ni unit 42 zikashuka hadi 14 sasa hivi unapewa 10
Hapo hujagusa sekta nyingine kama ya maji nilishangaa Sana eti kigoma mjini walio karibu kabisa na ziwa Tanganyika Wana kaa hadi siku 7 bila maji, yani Kila sehemu ni upuuzi tuu
Mkuu unachokisema ni kweli lakini sio kweli ni maneno yaleyale ya tozo za miamala. Unachokisema ni sawa kama watanzania wangekuwa wamesambaziwa hiyo gesi nchi nzima na wanatumia gesi viwandani, kuzalisha umeme wa bei nafuu, kupikia, magari yao yanatumia ges badala ya diesel. Lakini mpaka Sasa ni zaidi ya miaka 20 Tanzania Ina gesi lakini watanzania wanatumia umeme ghali kuzalisha bidhaa, wanapikia mkaa na Kuni na wananunua mbolea kutoka nje. Wewe unadhani Kenya ni wazembe wa kiasi hiki?Kinacho tusumbua waTanzania wengi ni ujuaji tunapenda saana kudeal na vitu vilivyo nje ya uwezo wetu wa kifikira
Dunian nchi zote zinazozalisha nishati huuza nje ya nchi kwaajir ya kujipatia fedha za kigeni na mapato kiujumla sasa kuna shida gani Tanzania kuiuzia gesi kenya? Au kuna nchi gani dunian inayozalisha gesi kisha ikawa haifanyi exportation ya hyo gesi?
Swala la kenya kunufaika na gesi kuliko Tanzania pale itakapofika kenya hiki ni zaid ya kichekesho ni sawa na kusema Tanzania tunanufaika na mafuta kuliko muuzaji wetu Saudi Arabia,Unahitaj akili ndogo tu kuelewa kuwa muuzaji wa gesi ndio anaeamua bei ya kuuza na katu hawez kuuza bei sawa na ya ndani ya nchi hivo ni swala lililowaz kuwa bei ya gesi kenya itakuwa kubwa kuliko tz hivo kenya haiwez kuwa na advantage kwenye gharama za uzalishaji.
Kenya kutuuzia gesi ya kupikia kutokana na gesi yetu huu pia ni utoto sababu iko waz gesi inayoenda kuuzwa kenya ni gesi ya kawaida ambayo haijasindikwa hivo haiwez kutumika kwa matumiz ya kupikia bali kuendeshea mitambo na labda kuzalishia umeme pili unasahau kuwa plant kubwa ya kusindika gesi ambayo ndo hutumika kwa kupikia inajengwa Tanzania Lindi na kenya hakuna project kama hyo wala hawez kuwa nayo sababu initial cost yake ni kubwa saana na huwez kujenga hyo plant kama wewe sio gas producer na hata wakiforce kuijenga gesi yao itakuwa expensive kuliko yetu na hivo haitoweza kuuzika sokon hii ni sawa na kulangua ndizi bukoba Dsm afu ukaziuze tena Kagera.
Watanzania tuache uoga usiokuwa na sababu zozote za msingi kenya na Tanzania ndio superpowers wa East Africa hakuna namna yenye tunaweza kukwepana katika kufanya biashara pamoja, uchumi wa kenya ni advantage kubwa kwa uchumi wa Tanzania ni lazma tufaidike na soko la kenya kama ambavyo wao wananufaika na soko la Tanzania moja ya bidhaa ambayo ni game changer kwetu ni gesi na nilazma tuiuze kenya hatuna haja ya kuhangaika na masoko ya mbali wakati tunayo masoko ya jiran.
hii [emoji115]inafikirisha sana.Mwanza kuna tatizo la maji, wakati ziwa Victoria lipo hapo hapo.
Sisi tuna gesi kwa miaka mingi Sasa lakini mpaka Sasa bidhaa zetu sokoni ni ghali kuliko au Zina bei sawa na bidhaa kutoka Kenya. Je, kama Kenya ikipata gesi bidhaa zao zitakuwa na bei gani kwenye soko la Tanzania, congo, Sudan, somalia, Uganda na Ethiopia?Kinacho tusumbua waTanzania wengi ni ujuaji tunapenda saana kudeal na vitu vilivyo nje ya uwezo wetu wa kifikira
Dunian nchi zote zinazozalisha nishati huuza nje ya nchi kwaajir ya kujipatia fedha za kigeni na mapato kiujumla sasa kuna shida gani Tanzania kuiuzia gesi kenya? Au kuna nchi gani dunian inayozalisha gesi kisha ikawa haifanyi exportation ya hyo gesi?
Swala la kenya kunufaika na gesi kuliko Tanzania pale itakapofika kenya hiki ni zaid ya kichekesho ni sawa na kusema Tanzania tunanufaika na mafuta kuliko muuzaji wetu Saudi Arabia,Unahitaj akili ndogo tu kuelewa kuwa muuzaji wa gesi ndio anaeamua bei ya kuuza na katu hawez kuuza bei sawa na ya ndani ya nchi hivo ni swala lililowaz kuwa bei ya gesi kenya itakuwa kubwa kuliko tz hivo kenya haiwez kuwa na advantage kwenye gharama za uzalishaji.
Kenya kutuuzia gesi ya kupikia kutokana na gesi yetu huu pia ni utoto sababu iko waz gesi inayoenda kuuzwa kenya ni gesi ya kawaida ambayo haijasindikwa hivo haiwez kutumika kwa matumiz ya kupikia bali kuendeshea mitambo na labda kuzalishia umeme pili unasahau kuwa plant kubwa ya kusindika gesi ambayo ndo hutumika kwa kupikia inajengwa Tanzania Lindi na kenya hakuna project kama hyo wala hawez kuwa nayo sababu initial cost yake ni kubwa saana na huwez kujenga hyo plant kama wewe sio gas producer na hata wakiforce kuijenga gesi yao itakuwa expensive kuliko yetu na hivo haitoweza kuuzika sokon hii ni sawa na kulangua ndizi bukoba Dsm afu ukaziuze tena Kagera.
Watanzania tuache uoga usiokuwa na sababu zozote za msingi kenya na Tanzania ndio superpowers wa East Africa hakuna namna yenye tunaweza kukwepana katika kufanya biashara pamoja, uchumi wa kenya ni advantage kubwa kwa uchumi wa Tanzania ni lazma tufaidike na soko la kenya kama ambavyo wao wananufaika na soko la Tanzania moja ya bidhaa ambayo ni game changer kwetu ni gesi na nilazma tuiuze kenya hatuna haja ya kuhangaika na masoko ya mbali wakati tunayo masoko ya jiran.
$2t??? Unaijua $2t???Hakuna gas inapelekwa Kenya boss, zile ni porojo za kisiasa za miaka yote. Kuna makubaliano ya kuanzisha sarafu ya pamoja ya east Afrika, toka enzi Mwai Kibaki na Mkapa wakiwa maraisi, lakini hakuna lolote limetekelezwa hadi sasa! Kupeleka Gas Kenya haitapungua $2t, nani ana hizo pesa sasa hivi wakati hata gas yenyewe mikataba yake haieleweki?
Zile zilikuwa ni porojo za kufurahisha genge ili viongozi wapige imprest vizuri. Inshort ogopa story za viongozi matapeli.
Sio kila kilicho kwenye territory yako nj mali yako.Kama iko kwenye territory yetu basi ni mali yetu..mikataba siyo Bible au Koran inaweza badilishwa wakati wowote.
Kwani Kenya wanachukua gesi yote? Nani alitaka gesi akakosa kisa imeuzwa Kenya?Inaonekana hujui kufikiria sawasawa, hapa tunaongelea jitihada za serikali kupata hela, kutunza mazingira na kuinua quality ya maisha ya watu wake kwa kutumia gesi inayopatikana Tanzania. Yaani kama Kuna kiongozi haoni kama kutumia gesi kutaokoa misitu kukatwa huyo kiongozi hatufai. Mimi nataka kutumia gesi kupikia na kuendesha gari langu, Iko wapi?
Gesi IPO miaka mingi saasa laki bei ya umeme Haina tofauti na zile za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na somalia. Wao wanapikia Kuni na sisi tunapikia Kuni kwa kiwango kilele.hii [emoji115]inafikirisha sana.
kama wananchi waliozungukwa na ziwa baada ya miaka 60 ya uhuru awana maji safi na salama basi swala la gesi kusambazwa mikoani tusahahu.
Angalia taahira la akili hili hapa na mawazo ya kipumbavu kabisa.Sasa wewe umekatazwa kufanya hayo? Ni serikali ya Kenya ndio itazalisha hizo bidhaa?
Wewe umejenga kiwanda ukangimwa gas?
Ujinga na hofu za kipuuzi kama.hizi ndizo zinafanya hii Nchi iwe Mkiani kwenye Kila kitu licha ya kuwa na kila rasilimali..
Changamana na wenye uwezo Ili unifunze kwao vinginevyo ukijifungia utaishia kurithisha ujinga Kwa vizazi na vizazi..In fact tunatakiwa kufuta viza hapa EAC Ili tuweze kujifunza kwa wenzetu kuwa aggressive kwenye biashara nk badala.ya ulalamishi na mentality za kutegemea serikali.
Dah!Kwa hiyo usipowauzia Kenya hiyo gesi ndio utakuwa umefaidikaje?
Si hata hizo bidhaa utazikosa au kuagiza nchi ya mbali kwa bei ghali zaidi?
Na je Watanzania wamepigwa marufuku kutumia hiyo gesi?
Una mentality ya kichawi sana, yaani kwa kuwa wewe umeshindwA kutumia maji kulima unakataa kumuuzia jirani yako ili wote mfe njaa??
Umeandika pumba,kasome na mkeoAngalia taahira la akili hili hapa na mawazo ya kipumbavu kabisa.
Hao unaowakashifu kutofanya hayo, leo hii serikali hiyo hiyo inawanyang'anya hata hicho kidogo kwa jina la tozo na unyang'anyi mwingi mwingine, wewe huoni?
Siku zote akili yako ni ya ki'skunk, ki'skunk' tu kama lilivyo jina lako. Mawazo yako yanaacha harufu mbaya kila unapopita.
We ni mpumbavu sana, nilikupuuza ila bado upumbavu wako haujakuishaDah!
Kama huyo ana"'mentality' ya kichawi", ya kwako itakuwa ni ya kichawi kabisa. Ulishaona wapi mtu mwenye akili timamu akawa anamali za kuwafaidisha wengine huku yeye kwake akiwa ni hohehahe kabisa!
Hivi watu mnazo akili timamu za kutetea upumbavu wa mambo kama haya?
Huwezi kujiona kwamba umepungukiwa akili?
Hii misukule ya mwendazake ipo empty kichwani kuliko hata nilivyodhani, ni matusi na makasiriko tu, hakuna hoja yoyoteUmeandika pumba,kasome na mkeo
Ndio maana hakuna ilichofaulu kwenye masuala ya welfare..Hii misukule ya mwendazake ipo empty kichwani kuliko hata nilivyodhani, ni matusi na makasiriko tu, hakuna hoja yoyote
sijui viongozi wetu huwa wanafikiria nini mimi sijui kwakweli!Gesi IPO miaka mingi saasa laki bei ya umeme Haina tofauti na zile za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na somalia. Wao wanapikia Kuni na sisi tunapikia Kuni kwa kiwango kilele.