Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

Kafie mbali, bomba litajengwa
Huyo ananihusu nini mimi kama akili yako siyo kama ya kuku?

Utakufa kabla hujaona hilo bomba likijengwa. Ungekuwa ni mtu mwenye akili timamu ningekueleza kwa nini habari ya ujenzi wa hilo bomba ni stori tu za kufurahisha vilaza kama wewe.
 
Sorry kwanza nilifanya typing error sio $t bali ni $b. Hizo $7.5b, na $3.5b hiyo miradi kuna hata mmoja umekamilika?
Kwani si iko inaendelea kujengwa we wafikiri inakamilika kwa siku moja ni Banda la njiwa?
 
Kwani si iko inaendelea kujengwa we wafikiri inakamilika kwa siku moja ni Banda la njiwa?

SGR kipande cha Dar-moro tuliambiwa kitakamilika na kuanza kazi November 2019, je hadi leo kimeanza?
 
SGR kipande cha Dar-moro tuliambiwa kitakamilika na kuanza kazi November 2019, je hadi leo kimeanza?
Yale yalikua makadilio kwani wewe mbona waminyana kwamba huoni kua wakandarasi wako site?
 
Sasa wewe umekatazwa kufanya hayo? Ni serikali ya Kenya ndio itazalisha hizo bidhaa?

Wewe umejenga kiwanda ukangimwa gas?

Ujinga na hofu za kipuuzi kama.hizi ndizo zinafanya hii Nchi iwe Mkiani kwenye Kila kitu licha ya kuwa na kila rasilimali..

Changamana na wenye uwezo Ili unifunze kwao vinginevyo ukijifungia utaishia kurithisha ujinga Kwa vizazi na vizazi..In fact tunatakiwa kufuta viza hapa EAC Ili tuweze kujifunza kwa wenzetu kuwa aggressive kwenye biashara nk badala.ya ulalamishi na mentality za kutegemea serikali.
Mkuu umenena,toka 1976 nilipoanza kusikia gesi asilia haijawekwa kibiashara kutuwekea kwenye mitungi.Sana sana pilot projects eti kujifunza matumizi yake.
Leta mzungu asimamie miundo mbinu na usambazi wa gesi kwa miaka miwili tu Tanzania itageuka Ulaya.
 
Hadithi ya gesi yetu hata baba wa Taifa aliiacha inatambwa hadi leo matambaji hajamaliza kutamba na anataka watu wa kenya waendelee na utambaji kabla hajamaliza kuwatambia watanzania. najuwa kuwa wakenya wataifupisha hiyo hadithi na kuiongezea nyimbo na ngoma kidogo kuwavutia wasikilizaji wao kuliko mtambaji wetu anavyoihadithia kwetu kavukavu hadi wasikilizaji wanasianzia na wengine kuaga kuondoka kwenda kujisaidia na wengine hawarudi kabisa kumsikiliza mtambaji.
 
Back
Top Bottom