Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

Rostam aliwahi lalamika gesi yake kenya wanaikataa huku wakiipokea ya uarabuni.
Wakipata hii tutaona ule msemo usimwashe aliyelala.
 
Swali kuu kabisa la kujiuliza ni kama gesi inayozalishwa inatosheleza mahitaji ya ndani.
Kama haijatosheleza, hizo habari za kupeleka Kenya ni hadithi tu kama za Abunuwasi.
 
Wametaka kununua wakanyimwa? Dangote si ana kiwanda chake na anauziwa gesi?
Inaonekana hujui kufikiria sawasawa, hapa tunaongelea jitihada za serikali kupata hela, kutunza mazingira na kuinua quality ya maisha ya watu wake kwa kutumia gesi inayopatikana Tanzania. Yaani kama Kuna kiongozi haoni kama kutumia gesi kutaokoa misitu kukatwa huyo kiongozi hatufai. Mimi nataka kutumia gesi kupikia na kuendesha gari langu, Iko wapi?
 

Mwanza kuna tatizo la maji, wakati ziwa Victoria lipo hapo hapo.
 
Mkuu unachokisema ni kweli lakini sio kweli ni maneno yaleyale ya tozo za miamala. Unachokisema ni sawa kama watanzania wangekuwa wamesambaziwa hiyo gesi nchi nzima na wanatumia gesi viwandani, kuzalisha umeme wa bei nafuu, kupikia, magari yao yanatumia ges badala ya diesel. Lakini mpaka Sasa ni zaidi ya miaka 20 Tanzania Ina gesi lakini watanzania wanatumia umeme ghali kuzalisha bidhaa, wanapikia mkaa na Kuni na wananunua mbolea kutoka nje. Wewe unadhani Kenya ni wazembe wa kiasi hiki?

Urusi inasafirisha gesi kwenda Ulaya lakini warusi wahatumia Kuni Kuni kupikia majumbani, hii ni tofauti sisi ambao tutasafirisha gesi nje wakati sisi wenyewe tukiwa bado tunatumia mkaa kupikia.

Wakenya wataichakata hiyo gesi na kuwauzia umeme, gesi ya viwandani, bidhaa nafuu za viwandani Sudani kusini, somalia na Ethiopia faster na kupata faida mara 12 ya sisi wenye gesi.

Hapa sisemi kuwa gesi isiuzwe nje bali ninachokisena ni Tanzania kuitumia gesi hii zaidi kuliko wengine katika uzalishaji bidhaa, kulinda mazingira na kwa kilimo hata kabla ya kuwauzia majirani zetu.
 
Mwanza kuna tatizo la maji, wakati ziwa Victoria lipo hapo hapo.
hii [emoji115]inafikirisha sana.

kama wananchi waliozungukwa na ziwa baada ya miaka 60 ya uhuru awana maji safi na salama basi swala la gesi kusambazwa mikoani tusahahu.
 
Sisi tuna gesi kwa miaka mingi Sasa lakini mpaka Sasa bidhaa zetu sokoni ni ghali kuliko au Zina bei sawa na bidhaa kutoka Kenya. Je, kama Kenya ikipata gesi bidhaa zao zitakuwa na bei gani kwenye soko la Tanzania, congo, Sudan, somalia, Uganda na Ethiopia?
 
$2t??? Unaijua $2t???
 
Kwani Kenya wanachukua gesi yote? Nani alitaka gesi akakosa kisa imeuzwa Kenya?
 
hii [emoji115]inafikirisha sana.

kama wananchi waliozungukwa na ziwa baada ya miaka 60 ya uhuru awana maji safi na salama basi swala la gesi kusambazwa mikoani tusahahu.
Gesi IPO miaka mingi saasa laki bei ya umeme Haina tofauti na zile za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na somalia. Wao wanapikia Kuni na sisi tunapikia Kuni kwa kiwango kilele.
 
hii [emoji115]inafikirisha sana.

kama wananchi waliozungukwa na ziwa baada ya miaka 60 ya uhuru awana maji safi na salama basi swala la gesi kusambazwa mikoani tusahahu.
Rahisi kwao ni tozo TU.
 
Angalia taahira la akili hili hapa na mawazo ya kipumbavu kabisa.
Hao unaowakashifu kutofanya hayo, leo hii serikali hiyo hiyo inawanyang'anya hata hicho kidogo kwa jina la tozo na unyang'anyi mwingi mwingine, wewe huoni?

Siku zote akili yako ni ya ki'skunk, ki'skunk' tu kama lilivyo jina lako. Mawazo yako yanaacha harufu mbaya kila unapopita.
 
Dah!

Kama huyo ana"'mentality' ya kichawi", ya kwako itakuwa ni ya kichawi kabisa. Ulishaona wapi mtu mwenye akili timamu akawa anamali za kuwafaidisha wengine huku yeye kwake akiwa ni hohehahe kabisa!
Hivi watu mnazo akili timamu za kutetea upumbavu wa mambo kama haya?
Huwezi kujiona kwamba umepungukiwa akili?
 
Umeandika pumba,kasome na mkeo
 
We ni mpumbavu sana, nilikupuuza ila bado upumbavu wako haujakuisha

Ni hivi siwezi kujibishana na mpumbavu kama wewe, gesi itauzwa Kenya hutaki kaandamane
 
Hii misukule ya mwendazake ipo empty kichwani kuliko hata nilivyodhani, ni matusi na makasiriko tu, hakuna hoja yoyote
Ndio maana hakuna ilichofaulu kwenye masuala ya welfare..

Tafuta popote pale kama unaweza Kuta Mwendazake anazungumzia masua nyetu kama haya na namna ya kuyatatutua.

Viongozi wanaojielewa tuu ndio wanaweza toa statement kama hizi 👇 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221013-151351.png
    203.4 KB · Views: 3
Gesi IPO miaka mingi saasa laki bei ya umeme Haina tofauti na zile za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na somalia. Wao wanapikia Kuni na sisi tunapikia Kuni kwa kiwango kilele.
sijui viongozi wetu huwa wanafikiria nini mimi sijui kwakweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…