Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

Hyo gesi kaka ni lazma iuzwe nchi za nje ikiwemo Kenya ili kutuingizia fedha za kigeni nchin na labda nikwambie tu hilo Bomba likifika kenya ndo mwanzo wa kufika Ethiopia pia na zipo nchi nyingine zinazolihitaji hilo Bomba ikiwemo Uganda na Rwanda na hata Zambia na Malawi sasa huwez kukwepa kuexport gas maana na yenyewe ni bidhaa kama zilivyo bidhaa nyingine tu kama mahindi au sukari na hata hyo LNG plant inayotarajiwa kujengwa Lindi msing wake mkuu ni kuifanya gesi iwe portable kwenye mitungi ya kuhifadhia gesi katika form ya kimiminika ili iweze kusafirishwa na kuuzwa maeneo mbalimbali ikiwemo nje ya nchi kama ambavyo sasa sie tunaagiza gesi za kupikia kutoka nje ya nchi
 
Gesi yetu kwa kiasi kikubwa bado haijaanza kutumika ukiacha kiasi kidogo saana kinachotumika kuzalishia umeme kule kinyerezi.
kingine gharama za uzalishaji ni muunganiko wa factor nying sio tu nishati kuna issue za transport,scale of production, cost of raw materials levels of technology n.k bila kusahau issue za mfumo wa kodi na tozo mbalimbali
 
🤔🤔🤔🤔
 
We ni mpumbavu sana, nilikupuuza ila bado upumbavu wako haujakuisha

Ni hivi siwezi kujibishana na mpumbavu kama wewe, gesi itauzwa Kenya hutaki kaandamane
Ni hivi, sijawahi kuona takataka kama wewe. Sasa sijui utasemaje juu ya hili.

Ukweli ni kwamba takataka kama wewe ukipuuza ni neema kwangu. Sichangii humu JF kufurahisha takataka kama wewe.
 
we nae usiwe mjinga kwani Kati ya $7.5t,$3.5t na $2+t ipi ni nyingi zaidi wakati kabisa hilo bomba litajengwa kwa ushirikiano wa nchi 2.
 
Nchi umeme unakatika utadhani hatuna gesi wakati Urusi wao Gesi ndio inawapa maisha sisi gesi hata haitusaidii kitu kama wameingia mkataba wa muda mrefu hiyo gesi sio yetu wacha tuendelee kudanganywa na hayo uchimbaji mafuta...
 
Ni hivi, sijawahi kuona takataka kama wewe. Sasa sijui utasemaje juu ya hili.

Ukweli ni kwamba takataka kama wewe ukipuuza ni neema kwangu. Sichangii humu JF kufurahisha takataka kama wewe.
Wewe ndio unashobokea kujibu, kenge wewe... Bomba la gesi litajengwa na hakuna unachoweza kufanya, kajinyonge ukazikwe Chato..pumbav
 
Hakunashida waache tuu Kenya waupige mwingi kupitia gesi yetu! Sisi si tuko bize na tozo,! Hata hivyo maendeleo hayana chama
 
Mtu mwenye akili anaanza kutumia mali yake to the maximum kabla ya kuwasaidia wengine, yaani watoto wako hawajaifaidi mali tayari umeanza kuwagawia wengine, huko ni sawa na baba kutuza watoto wa kambo wakati wakwako umewafukuza nyumbani. Kenya hawatafanya huu uzembe wetu, punde TU watakapoipata hii gesi. Watakwenda kuiuza Ulaya ikibidi na kukamata masoko yote ya Sudan. Somalia, Ethiopia na kwingineko, sabuni ya Omo itakuja kuuzwa kwa bei ndogo kuliko foma ya Tanzania, bia ya Kenya itarudi kwetu ikiwa na bei ya sh. 1000 ttu dhidi ya bia yetu
 
Tumia rasilimali zako to the maximum kwanza kabla hujatafuta soko kwenda kuiuza kwa wengine. Chakata Dhahabu watu wako waivae kwa wingi na kwa bei nafuu kabla ya kwenda kuuza Dhahabu ghafi kwa wengine. Chakata kahawa yako inywewe ndani na watu wako kabla ya kupeleka ikiwa ghafi huko nje.
 
Hata kama sio gesi yetu, inachimbwa kwenye ardhi yetu na sisi ndio tunapaswa kuwa wa kwanza kunufaika nayo.
Una HAKIKA ni gesi yetu???

Tafuta mkataba kwanza ndo ushauri uyashauriyo.
 
we nae usiwe mjinga kwani Kati ya $7.5t,$3.5t na $2+t ipi ni nyingi zaidi wakati kabisa hilo bomba litajengwa kwa ushirikiano wa nchi 2.

Sorry kwanza nilifanya typing error sio $t bali ni $b. Hizo $7.5b, na $3.5b hiyo miradi kuna hata mmoja umekamilika?
 
Viongozi wetu wa nchi huwa nawafananisha na wasanii wa bongo movie, wote pamoja huwa hawajui kwamba wako nyuma ya muda yani wao mambo ambayo walitakiwa kuyafanya miaka kumi nyuma walikiyafanya leo hujiona wamefanya jambo kubwa sana kumbe hawajui wanazidi kupishana na muda.

Wote mawazo yao huishia kwenye duara hilo hilo tu hawatoki nje ya hapo ndio maana huwezi kuona mabadiliko makubwa kutoka kwao wanayofanya ni yaleyale tu hakuna mabadiliko.
 
Wewe ndio unashobokea kujibu, kenge wewe... Bomba la gesi litajengwa na hakuna unachoweza kufanya, kajinyonge ukazikwe Chato..pumbav
Kwa ni ni nikazikwe Chato?
Hilo bomba utabaki kulisikia magazetini. Usidhani nchi hii ni ya kijinga kama mnavyoichukulia wapumbavu nyinyi.

Msichezee mali za waTanzania, zitawamaliza msijue nini kimewatokea.
 
Hakunashida waache tuu Kenya waupige mwingi kupitia gesi yetu! Sisi si tuko bize na tozo,! Hata hivyo maendeleo hayana chama
Mkuu 'JWANY DA KING', hizo habari za bomba zisikutie wasiwasi. Hilo bomba halijengwi, si leo au kesho. Hizi ni habari za kujifurahisha tu hawa viongozi waonekane wapo.
 
Mwenyewe nashangaa gesi inapelekwaje Kenya kindezi hivyo
 
Kwa ni ni nikazikwe Chato?
Hilo bomba utabaki kulisikia magazetini. Usidhani nchi hii ni ya kijinga kama mnavyoichukulia wapumbavu nyinyi.

Msichezee mali za waTanzania, zitawamaliza msijue nini kimewatokea.
Aliyechezea katiba na mali za Watanzania yupo kaburini sasa hivi

Bomba litajengwa, utake usitake
 
Aliyechezea katiba na mali za Watanzania yupo kaburini sasa hivi

Bomba litajengwa, utake usitake
Huyo ananihusu nini mimi kama akili yako siyo kama ya kuku?

Utakufa kabla hujaona hilo bomba likijengwa. Ungekuwa ni mtu mwenye akili timamu ningekueleza kwa nini habari ya ujenzi wa hilo bomba ni stori tu za kufurahisha vilaza kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…